Nimeamini kweli mke ni ubavu wa pili

We nae acha uzembe bana. Mbona kupika kazi rahisi tu. Anyway, niko napika hapa. Eti ukizidisha chumvi kwenye tambi unafanyaje waungwana? Au nitafute chips?

Hhahahahah yani we jamaa unaniua mbavu
Unajua kupika halafu hujui kiwango cha chumvi au kama chakula kinatakiwa kuwekwa chumvi

Wewe unakoroga michanganyo
Tuanzishe club ya wasiojua kupika basi wewe uwe mwenyekiti mie niwe makamu mwenyekiti
 
Dah.... Chumvi gani unatumia mkuu? Sodium Chloride au Potassium chloride?

Sent using Beretta ARX 160

Unajua mpaka aina ya chumvi
You reminded for back in time when I was studying PCB
NaCl huh????
 
Hhahahahah yani we jamaa unaniua mbavu
Unajua kupika halafu hujui kiwango cha chumvi au kama chakula kinatakiwa kuwekwa chumvi

Wewe unakoroga michanganyo
Tuanzishe club ya wasiojua kupika basi wewe uwe mwenyekiti mie niwe makamu mwenyekiti
Dakika kumi zote najiuliza niweke chumvi au sukari. Matokeo yake nikaweka chumvi tena ikazidi. Imebidi niagize chips asee.
 
Dakika kumi zote najiuliza niweke chumvi au sukari. Matokeo yake nikaweka chumvi tena ikazidi. Imebidi niagize chips asee.

Hahahahaha dah aisee
Ulivyokula zinalika kweli?
Usikute umekaanga kama nilivyokaanga chapati jana, ikawa kaukau

Fanya mpango uoe kaka kwa namna hii utakula chips kila siku
 
Gily next time jaribu chapati za maji, ni rahisi zaidi. Za kusukuma hata mie zilishanishindaga.

Kumbe siko mwenyewe kuna watu humu wananijungua sana kwa kweli
Kila kitu kina ujuzi wake

Kupika ni kazi kama kazi nyingine kuna watu wanasomesha kwa kupika; watu wasichukulie simple sana
Za maji sijui zinapikwaje, ngoja nitauliza nikipata jibu hata kesho nitajaribu kupika
Wife yuko mbali inabidi nipike tu
 
Back
Top Bottom