Ooh ok 🙏🙏How does this have to do with, sleep circle.. labda ungesema quality of sleep. Ila shida ni kulala kabisa.
Mficha uchi hazai lakini sio kila kitu cha kuanika ndio maana kuna chumba cha daktariPrivacy na unashida? Ungesema hata indirectly. Mficha uchi hazai
Privacy wapi bhana wakati tunakujua ni muoga kutoka nje usiku?Hii imeichukulia serious sana 🤔 very sorry
Lakini ujue kuna mlalo ukilala unalala vizuri wataalamu husema hivyo
Hapa nakumbuka sikukupa jibu na kwasababu ya privacy yangu tu ila shida ni kati ya hayo mawili
Ukitaka kufanikiwa kimaisha ondoka kwenye mzunguka wa watu wanao kujua, kwenye utafutaji wako kuwa muaminifu.Stop waiting nenda kafanye, utachekwa trust me, utarudishwa nyuma na kukumbushwa haiwezekani, lkn unatakiwa ustahimili.
Very wise mkuu. Nimekupata kabisa, humble beginnings ndio mpango mzima. Ila first step ni direction, watu sahihi.Ukitaka kufanikiwa kimaisha ondoka kwenye mzunguka wa watu wanao kujua, kwenye utafutaji wako kuwa muaminifu.
Kwenye mafanikio unahitaji vitu viwili tu navyo ni jitihada na uaminifu, hivi ukiwa navyo utafika mbali sana. Pia usikatae kutumwa kwanza kwasababu anae kutuma akiona jitihada zako na uaminifu wako atakusogeza karibu yake na kukuonesha njia za kufanya anacho kifanya.
Jitahidi sana kuongea kidogo na kusikiliza sana, usipende kuhadisia maendeleo yako kwa wanao kujua ila omba ushauri kwa alie kunyanyua.
Asante sana hii inanihusu mimi🥹🙏🙏🙏Ukitaka kufanikiwa kimaisha ondoka kwenye mzunguka wa watu wanao kujua, kwenye utafutaji wako kuwa muaminifu.
Kwenye mafanikio unahitaji vitu viwili tu navyo ni jitihada na uaminifu, hivi ukiwa navyo utafika mbali sana. Pia usikatae kutumwa kwanza kwasababu anae kutuma akiona jitihada zako na uaminifu wako atakusogeza karibu yake na kukuonesha njia za kufanya anacho kifanya.
Jitahidi sana kuongea kidogo na kusikiliza sana, usipende kuhadisia maendeleo yako kwa wanao kujua ila omba ushauri kwa alie kunyanyua.
Wakati unajitafuta kimaisha ukisema uwasaidie watu uzito wa shida zao utakuangusha chini. Na wao shida zao ushawatatulia huondoka wakikuacha ukiwa chini.Very wise mkuu. Nimekupata kabisa, humble beginnings ndio mpango mzima. Ila first step ni direction, watu sahihi.
hakika !Wakati unajitafuta kimaisha ukisema uwasaidie watu uzito wa shida zao utakuangusha chini. Na wao shida zao ushawatatulia huondoka wakikuacha ukiwa chini.
Ukijitafuta ukasema uweke Ndugu au rafiki hawa wataona mali yako ndio njia ya kujitoa kwenye umaskini wao, Kwahio watakuibia sana. Kwenye hii dunia huna hela huna haki huna hela hupati mahitaji huna hela hupati heshima.
Nakupa ushauri wa ziada ukiwa kazini kuwa na uso wa bashasha siku zote, hata kazi iwe na uzito gani usije ukakaribisha hasira kwenye ajira yako au kwenye kujitafuta kwako.Asante sana hii inanihusu mimi🥹🙏🙏🙏
😅😅😅 utani wa ngumi huuPrivacy wapi bhana wakati tunakujua ni muoga kutoka nje usiku?
Jus kidding
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] utani wa ngumi huu
Kweli wanataka uwe wao, na ukipiga hatua chuki chungu mzimaWakati unajitafuta kimaisha ukisema uwasaidie watu uzito wa shida zao utakuangusha chini. Na wao shida zao ushawatatulia huondoka wakikuacha ukiwa chini.
Ukijitafuta ukasema uweke Ndugu au rafiki hawa wataona mali yako ndio njia ya kujitoa kwenye umaskini wao, Kwahio watakuibia sana. Kwenye hii dunia huna hela huna haki huna hela hupati mahitaji huna hela hupati heshima.
Mkuu, kuna level ya uelewa kuhusu maisha unayo. Kuishi na watu, watu ndo Kila kitu. Huwa nakuwa pissed easier na ndo kitu kinacho nirudisha nyuma sana. Kuvumilia madhaifu ya wengine inahitaji upeo mkubwa sanaNakupa ushauri wa ziada ukiwa kazini kuwa na uso wa bashasha siku zote, hata kazi iwe na uzito gani usije ukakaribisha hasira kwenye ajira yako au kwenye kujitafuta kwako.
Mwenye sura ya hasira anaonekana mtu wa kisirani mwenye bashasha huwa rahisi kutumwa maofisi tofauti kwa sababu ya bashasha yake. Hii bashasha yake ni njia nzuri sana kujenga connection na ofisi aendazo na hata waajiri wake.
Mwisho wa ushauri:- Kumbuka lengo lako ni kutafuta mafanikio yako sio kumtafutia mafanikio Boss wako. Wewe una ndoto zako hizi unahitaji kuzikamilisha sio uridhike na ajira yako kwa kutimiza ndoto za Boss wako.
Well, Samia The Butcher na majambazi wake wana script ambayo wanataka uifuate. Vinginevyo, huenda kiwiliwili chako kikaishia kuokotwa mto Rufiji na kichwa chako kukutwa kwa Sangoma Bagamoyo!Na hili ndilo lilinikosanisha na wazazi wangu (R.I.P) Nikakimbia kutoka masaki na kwenda kuishi keko machungwa lengo nitimize ndoto zangu .
Na hakika nilizitimiza and finally wakakubali kile nilichokipenda ila sio kile walichokitaka wao .
Simama leo jitetee ,pambana mpaka uwe wewe sio wao .
Mkuu unamaanisha nini kwangu ?Well, Samia The Butcher na majambazi wake wana script ambayo wanataka uifuate. Vinginevyo, huenda kiwiliwili chako kikaishia kuokotwa mto Rufiji na kichwa chako kukutwa kwa Sangoma Bagamoyo!