Nimeamini hakuna anaekujua zaidi ya wewe

Nilibadilisha mtazamo, nikaacha simu na stimulation zoote. Lengo ilikua kukata distraction zote na kweli it's all about mindset
That is nice 👌
Enhee ulikua chumbani bila shaka?
Ulikua umevaa nini?
Uliwasha taa/ au mwanga hafifu/giza nene ?
Ulilala mlalo gani ?
 
Unataka kugundua nn?
Ratiba in naanza saa Moja before bedtime.
Instead of checking the phone una wind up na kitabu, meditation, au slow breathing mpka utakapo jiskia usingizi. Ndo unaenda kulala.
 
Binadamu tunatakiwa kuishi maisha kulingana na uhalisia wake. Tukitaka kuishi maisha ya kufikirika; basi tutambue fika msongo wa mawazo, maamuzi ya kukurupuka, chuki na hasira zisizo na kichwa wala miguu haziwezi kutuacha salama.

Ifikie wakati tuukubali ukweli ili maisha nayo yaendelee. Siyo lazima ufanye kazi ya ndoto yako! Ni wachache sana waliopata hiyo bahati. Hivyo ukipata kazi ya kukusaidia kuishi na kuisaidia familia yako, mshukuru Mungu! Siyo kazima uoe/uolewe na mwanamke/manaume uliyemuota ndotoni! Ukimpata mtu sahihi wa kuishi naye, mshukuru Mungu!
Uzi ufungwe!
 
Katika kitu niliwagomea nyumbani ni kwenda kanisani.
Tokea nikiwa mdogo nimepigwa sana mpaka wakachoka wenyewe.
Kuhusu kanisa nilichagua njia yangu.
SI uchawi uko ndani yako. Sishangai
 
Mambo ya sjui nimevaaje? Mlalo Gani!!
Hii imeichukulia serious sana 🤔 very sorry

Lakini ujue kuna mlalo ukilala unalala vizuri wataalamu husema hivyo
Ww si ulisema cause yako sio psychological ni physical, hio solution haita Fanya kazi
Hapa nakumbuka sikukupa jibu na kwasababu ya privacy yangu tu ila shida ni kati ya hayo mawili
 
Binadamu tunatakiwa kuishi maisha kulingana na uhalisia wake. Tukitaka kuishi maisha ya kufikirika; basi tutambue fika msongo wa mawazo, maamuzi ya kukurupuka, chuki na hasira zisizo na kichwa wala miguu haziwezi kutuacha salama.

Ifikie wakati tuukubali ukweli ili maisha nayo yaendelee. Siyo lazima ufanye kazi ya ndoto yako! Ni wachache sana waliopata hiyo bahati. Hivyo ukipata kazi ya kukusaidia kuishi na kuisaidia familia yako, mshukuru Mungu! Siyo kazima uoe/uolewe na mwanamke/manaume uliyemuota ndotoni! Ukimpata mtu sahihi wa kuishi naye, mshukuru Mungu!
Kuna cha kuongezea kwenye hili au niichukue tu hivi hivi 🔥
 
Hii imeichukulia serious sana 🤔 very sorry

Lakini ujue kuna mlalo ukilala unalala vizuri wataalamu husema hivyo
How does this have to do with, sleep circle.. labda ungesema quality of sleep. Ila shida ni kulala kabisa.

Hapa nakumbuka sikukupa jibu na kwasababu ya privacy yangu tu ila shida ni kati ya hayo mawili
Privacy na unashida? Ungesema hata indirectly. Mficha uchi hazai
 
Back
Top Bottom