Nimeachwa tena

Nimeachwa tena

Nilikua na 2000 pekee. Nauli ya kumpelekea funguo then nirudi ukimbini isingetosha hapo mkuu. Kwenye sherehe nilihudhuria na rafiki yangu hivyo nilimjuza usiku huo ni nini kinaendelea na nilimuomba Basi kabla hajaenda kwake usiku ule tupite kwangu kwanza ili tugonge mlango kwanza nikiingia Basi nayy aondoke tukagonga saana lkn hakufungua ucku huo ndipo ikabidi twende wote..
Huyu bwana Kuna cku pia nilienda kwenye sherehe nikarudi saa1 lkn alinipiga akinituhum kuchelewa

Hiyo ya kupigwa uliipotezea ukaendelea kubaki hapo

Mwanaume kamili hapigi mwanamke huyo wako hajiamini achana nae atakuja akuue
 
Dah aisee uwa nachukizwa sana kuona watu wanaachana sipendi aiseevpole dada jaribu kuongea na ndugu zake labda ataelewa..
 
Kauli ya mwanaume ni amri, kuolewa ni kuwa chini ya himaya, tayari mume alikuwa na walakini, mwanamke lazima ujue mume akishuku jambo iwe kweli ama si kweli tii wazo lake ndio jibu, nina visa vya wanawake ambao wakishaamua jambo lao na michepuko iwe kuachwa sawa iwe ugomvi sawa lazima aende. Ogopa mwanamke mwenyewe nafsi ya kiume ndani yake. Kwa aina hii ya wanawake mume hupata shida sana ila michepuko kiulaini wajilia vyao.

Ulipenda tukio kuliko himaya ya chini ya mume usijutie.

With possession no negotiations, Rudi nyumbani ni Rudi nyumbani haina maelezo.
 
Pole sana labda kama kuna sababu nyingine ambazo hujaziweka hapa vinginevyo huyo alishakuchoka alikuwa anatafuta pa kutokea.
 
Hakutaka umpelekee ufunguo, bali alikuwa anataka tendo; kama bado unamuhitaji, tumia wazazi kuwaunganisha
inauma sana eti mtu unataka chakula afu wa kukupa chakula hayupo inawezekana huyu bibie ashamchosha mkaka wa watu.
kwenye vitu huwa sifanyi masihara ni kwenye chakula ya mmewangu aseee hata kama kuna series yangu nzuri naachana nayo
na iko hivi ukishakuwa na mwanamke ama mwanaume ndani kuna vitu unatakiwa uache
 
Mnajali tamthiliya kuliko mume, koma.

Hiyo ilikuwa ni sababu tu ya kukuacha, tukisikia na upande wa pili itakuwa rahisi sana kutoa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ufunguo unao wewe ,yeye aliingiaje na akakufungia wewe nje .tuanzie hapo kwanza....ila kama ni kweli basi njaa ilikuponza manake ulishindwa kutoka harusini sababu ulikuwa haujala bado...sasa utakula jeuri yako
 
Back
Top Bottom