Nimeachwa tena

Nimeachwa tena

Inaonekana unaficha mambo. Kwa mfano kwenye stori suala la mtoto na malezi yake halikushtui kabisa. Yaani unajiongelea wewe tu
 
Alikupigia simu umpelekee funguo ...kwa maana kwamba yeye hakua nazo. Lakini uliporudi ukakuta amejifungia ndani? Au alivunja kitasa akatengeneza usiku huo huo?
Mimi ndio sijaelewa au wewe ndio haujaeleweka?
Alikuja kabisa kuzifuata hapo kwenye sherehe, kwa Bahati Kuna rafkiake Pete na kidole pia alikuepo na akamfata akamuomba abakie lakini bado aligoma kabisaa..... Alizifata nikampa.
 
Hata kama umeaga wiki Moja kabla Alikuwa hataki uende kwenye hafla ukamdharau ndio matokeo yake
Angenikataza mapema kweli nisingeenda mkuu, lakini nilimuaga wiki nzima nikitegemea majibu ma2 lkn waala hakukataa. Aliniruhusu
 
Heading inaonyesha unaachwa mara kwa mara...itakuwa una nyota ya kuachwa dada...jitafakari
Kiukweli nilishawahi kuleta uzi wa kuachwa humu sema ni mda mrefu sana ndio maana nikaandika NIMEACHWA Tena.
Hii ni platiform ambayo huwa inanisaidia sana nnapokwama kimahusiano.
 
Aisee huyu alikua na sababu zake tuuu, msubilie miezi miwili akiwa na msimamo huo huo jiondokee tu hana mpango na wewe..
Kuna maisha mengine lazima yaendelee kaka. Ntajipanga nikatoe vitu vyangu kwake niendelee na maisha
 
virginity kuna vitu haujaweka sawa.

1. Ni ndoa au sogea tukae?
2. Mna mtoto?
3. Una kazi ya ata kukuingizia kdg kwa siku?
4. Ni mara ya kwanza kufanya hivo?
5. Na mwisho, jamaa umemkosea nini?
Mkuu, ni sogea tukae tu, tunae mtt ndio,
Mimi ni mwanamke ninaejishughulisha haswa. Mpaka nimeondoka kwake tyr nilikua nimeanzisha biashara ya kukopesha kwa riba na naendelea nayo
 
Back
Top Bottom