Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,136
- 55,607
Hakutaka umpelekee ufunguo, bali alikuwa anataka tendo; kama bado unamuhitaji, tumia wazazi kuwaunganisha
una akili sanaHajakuoa na hajakulipia mahari mnaishi wote....wazazi wamelifumbia tu macho ???
Hamjaanza kuzinguana leo....anafikia hatua ya kukulaza nje unaona sawa???
Na kuna sehemu umeandika ushawahi enda sherehe ukarudi saa moja jioni akakupiga.....
Kwa haraka haraka nadhani wewe ndio tatizo.
Kuna namna mtu wako anataka u behave na wewe una behave tofauti. Kwanini usifuate anachotaka? Ni lazima kwenda kwenye sherehe kama yeye hataki??
Nafikiri ishi nae vizuri msome tabia yake na ufanye vile anavyopenda kuna kitu kinaitwa ku compromise....kuna baadhi ya mambo huna budi kuyaacha kwa ajili ya afya ya mahusiano yako.Pia moja ya sifa ya mke ni kua submissive ( ila reasonably submissive usiwe mtumwa) Issue za ukatili zikizidi kama kupigwa , kulazwa nje etc chukua hatua hapaswi kukufanyia hayo.
Pole sana I hope mtayamaliza.
👏👏👏 Comment maridadi kabisa hii kutoka kwa "wife material". Swali moja tafadhali. Je, Binti 1 umeolewa?. Jibu lako litafanya ama niishie hapa hapa sebuleni au nipige hodi kuomba kuingia chumbani (inbox).Hajakuoa na hajakulipia mahari mnaishi wote....wazazi wamelifumbia tu macho ???
Hamjaanza kuzinguana leo....anafikia hatua ya kukulaza nje unaona sawa???
Na kuna sehemu umeandika ushawahi enda sherehe ukarudi saa moja jioni akakupiga.....
Kwa haraka haraka nadhani wewe ndio tatizo.
Kuna namna mtu wako anataka u behave na wewe una behave tofauti. Kwanini usifuate anachotaka? Ni lazima kwenda kwenye sherehe kama yeye hataki??
Nafikiri ishi nae vizuri msome tabia yake na ufanye vile anavyopenda kuna kitu kinaitwa ku compromise....kuna baadhi ya mambo huna budi kuyaacha kwa ajili ya afya ya mahusiano yako.Pia moja ya sifa ya mke ni kua submissive ( ila reasonably submissive usiwe mtumwa) Issue za ukatili zikizidi kama kupigwa , kulazwa nje etc chukua hatua hapaswi kukufanyia hayo.
Pole sana I hope mtayamaliza.
Kwa kisirani hicho inabidi uwe malaika ndio usiachwe.Miaka minne hujajua kisirani cha mwenzako kikoje
Shukuru Mungu upepo wa haya mauwaji haujakipitia
😂😂😂 uwiii nimecheka! Kweli lakini we unajua kabisa umegundisha na gundi ya mnyaa halafu unaleta mbwembwe! Haya mambo wawaachie wapendwao.Eeeeh haya mwanakulitafuta, we kung'ang, ania ule kwenye shughuli kwenu huli?
Mkijua wapenzi wenu wanawapenda kwa kuungaunga msilete mzaha.
Jumamosi ya 27/8 nilihudhuria harusi ambayo nilianza kuiombea ruhusa wiki moja kabla, kabla ya kutoka mwenzangu alinijulisha kwamba Hana funguo hivyo badae tuwasiliane ili nimpatie.
Ukumbi haukua mbali sana na nyumbani tunapoishi.
Kwenye mida ya saa5 alinipigia akitaka nimpelekee funguo, nilimuomba aziijie kwani ckuwa na nauli ya ziada na najua acngenipatia, kumbe mwenzangu alitaka nirudi nyumbani mda uleule na kiukweli niligoma nikimwambia hata kula sikua nimekula hivyo kwavile Kuna rafiki yake alikua mwanakamati aje tujumuike pamoja kwani kama ni vinywaji vilikuepo.
Chaajabu nikwamba mwenzangu alikasirika sana kwamimi kutokurudi naeMimi pia nilipata fazaa kwayy kukataa kunisubiria turudi wote kwani ukiachana na sherehe hiyo mwenzangu c mtu anaependa kutoka namimi na siku ile nilitamani angalau abaki namm turudi wote nyumbani.
Baada ya kufika nyumbani Basi alinipigia cm akinitaka nilale hukohuko! Nilizani ni hasira lkn nilivyorudi alikua amenifungia kweli
Niliondoka nikaenda kulala kwa rafki yangu. Asubuhi nilirudi nikiwa na rafiki yangu huyo ili athibitishe nililala kwake.
Cha ajabu hakufungua mlango, tuligonga kwa masaa2 huku nikipiga cm yake Ila hakupokea. Nilipita dirishani kwake napo hakutaka kufungua.
Basi niliamua kuondoka Tena na kurudi kujihifazi kwa rafki angu huku nikisubiri asira zake zipungue anipigie.
Ilipita Tena siku nikimpigia hapokei na nikitumia namba yangu nyingine akijua nimm anakata.
J3 nilienda Tena ambapo alifungua lkn baada ya kuingia aliniuliza nataka nini?
Nilimjibu tu kistaarabu nataka baazi ya nguo kwajili ya mtoto (ckupenda reaction yake ikabidi nikapumzike hm) kweli nilichukua nikaondoka kuja kwetu kwa mda
Baada ya wiki2 nimempigia kumjulisha kwamba narudi lkn amegoma nisirudi na ametaka nikamalizie kilicho changu niondoke
Tunamiaka 4 sasa kiukweli bado nilikua namuitaji lkn kuniacha gafla hivyo najickia vbaya sana......
Wanaume na wanawake wenzangu naomba mniambie kosa langu hasa lilikua lipi na je naweza kutatua vip hii changamoto?
Naomba muusamehe muandiko wangu.
Asha mambo!!!Hivi mnaolewaga na wanaume wa aina gan?.
Anyway, kwakua unamjua mtu wako, ulitakiwa kumpelekea ufunguo.
Kwakua Mtu yako, ni MWANAUME DHAIFU LENYE WIVU NA KERO ZISIZO MAANA basi hata kuja na rafiki yako wa kike, hakuwez kumuaminisha kua umelala Kwa rafikio maana alihisi umempanga tu .
Una Mikono?
Una miguu??
Una Akili??
Embu achaneni na kasumba ya kumtegemea Mwanaume, wanaume wa Sasa ni wapo Machoko na wakila aina..
Nyinyi Wanawake pambaneni kujikombia kiuchumi, ili yasiwatese , muwe mnaamua wenyewe kuyaacha ,mkiyaacha, yanajinyonga ,tunayazika ,yanasahaulika.
Poleeee, pamoja nakwamba umezaa,. Shukru Kwa Yote, usitafute kujirudi, wee bado mrembooooooo , Katoto Kako kamoja ndo kakupe shida??? Na unakwenu??
Embu achana nahiyo mbwaaa, Wala isikupanikisheeeee!!.
ES na ww yamekukumba?Pole, hata mimi nimeachwa.
Pole sana jamaniUsijali dada, hauko peke yako. Hii hapa ya kwangu ya leo leo. Nimeona taaabu hata kumjibu, nimefuta tu namba. Watu tupo billion 7 na sehemu hapa duniani, nahangaika na 1, kweli?
“Stokaa nkaja kwako wala kuonana na wewe ni sameh kwa hilo nilikwambia uninunulie cm ukakataa kabisa , na naonaga nakujaga kwako unanichukulia kama maraya tu pamoja na yote nakujituma kote kwenye mahusiano hujawah kuiona thamani yangu hata sk moja”

Mimi sio mkamilifu Ila kwenye kumpenda nilimpenda kiasi ambacho nisingeweza kwenda kwenye sherehe usiku bila kuaga yaani najitahidi kutii kwa kiwango changu sema nikwamba mwenzangu hajawahi kunikanya kuhusu labda kutokaHajakuoa na hajakulipia mahari mnaishi wote....wazazi wamelifumbia tu macho ???
Hamjaanza kuzinguana leo....anafikia hatua ya kukulaza nje unaona sawa???
Na kuna sehemu umeandika ushawahi enda sherehe ukarudi saa moja jioni akakupiga.....
Kwa haraka haraka nadhani wewe ndio tatizo.
Kuna namna mtu wako anataka u behave na wewe una behave tofauti. Kwanini usifuate anachotaka? Ni lazima kwenda kwenye sherehe kama yeye hataki??
Nafikiri ishi nae vizuri msome tabia yake na ufanye vile anavyopenda kuna kitu kinaitwa ku compromise....kuna baadhi ya mambo huna budi kuyaacha kwa ajili ya afya ya mahusiano yako.Pia moja ya sifa ya mke ni kua submissive ( ila reasonably submissive usiwe mtumwa) Issue za ukatili zikizidi kama kupigwa , kulazwa nje etc chukua hatua hapaswi kukufanyia hayo.
Pole sana I hope mtayamaliza.
Asante kwa kunipa ukweli kakaNilichogundua ni kuwa wewe mwenyewe hujipendi,hujitambui na tena huna maadili. Haiwezekani mwanamke unaenda kukaa kwa mwanaume bila kufuata taratibu,mnaishi kihuni huni tu. Kaa chini tafakari na usirudie huo upuuzi tena,unadharaulika kwasababu hujitambui,umejipendekeza kuishi na mwanaume bila ndoa mwisho wa siku hata haki yako utaikosa. Tena umeniudhi sana nimeficha hasira zangu jiongeze,jithamini,wewe siyo mbuzi bhana taratibu zifuatwe siyo unaishi kienyeji na mtu. Hata wewe una wazazi na pia una kwenu fateni taratibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli labda Kuna sababu, pengine yy anatunza bila mm kujuaKama sababu ni hiyo jamaa yakonni kenge sana. Bado mkulima ila isijekuwa kuna visa unamfanyiaga umeficha.
Sasa na wewe kaa kimya fanya yako hasira zikiisha atakutafuta tu na wewe usipokee simu.
Usiishi na mwanaume bila ndoa wanaume hatupendagi vitu rahisi. Asante kwa kunielewa.Asante kwa kunipa ukweli kaka
HeheheeeKwaio hadi dakika hii unaishi kwa kujihifadhi?
Wkend hii nahitaji mgeni, j3 utaangalia utaratibu mwingine
If its okey. Njoo pm
Kimasihara on the process
kumbe ndo zako