UNSPECIFIED
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 1,087
- 3,596
Hata kama umeaga wiki Moja kabla Alikuwa hataki uende kwenye hafla ukamdharau ndio matokeo yake
Heading inaonyesha unaachwa mara kwa mara...itakuwa una nyota ya kuachwa dada...jitafakariJumamosi ya 27/8 nilihudhuria harusi ambayo nilianza kuiombea ruhusa wiki moja kabla, kabla ya kutoka mwenzangu alinijulisha kwamba Hana funguo hivyo badae tuwasiliane ili nimpatie.
Ukumbi haukua mbali sana na nyumbani tunapoishi.
Kwenye mida ya saa5 alinipigia akitaka nimpelekee funguo, nilimuomba aziijie kwani ckuwa na nauli ya ziada na najua acngenipatia, kumbe mwenzangu alitaka nirudi nyumbani mda uleule na kiukweli niligoma nikimwambia hata kula sikua nimekula hivyo kwavile Kuna rafiki yake alikua mwanakamati aje tujumuike pamoja kwani kama ni vinywaji vilikuepo.
Chaajabu nikwamba mwenzangu alikasirika sana kwamimi kutokurudi naeMimi pia nilipata fazaa kwayy kukataa kunisubiria turudi wote kwani ukiachana na sherehe hiyo mwenzangu c mtu anaependa kutoka namimi na siku ile nilitamani angalau abaki namm turudi wote nyumbani.
Baada ya kufika nyumbani Basi alinipigia cm akinitaka nilale hukohuko! Nilizani ni hasira lkn nilivyorudi alikua amenifungia kweli
Niliondoka nikaenda kulala kwa rafki yangu. Asubuhi nilirudi nikiwa na rafiki yangu huyo ili athibitishe nililala kwake.
Cha ajabu hakufungua mlango, tuligonga kwa masaa2 huku nikipiga cm yake Ila hakupokea. Nilipita dirishani kwake napo hakutaka kufungua.
Basi niliamua kuondoka Tena na kurudi kujihifazi kwa rafki angu huku nikisubiri asira zake zipungue anipigie.
Ilipita Tena siku nikimpigia hapokei na nikitumia namba yangu nyingine akijua nimm anakata.
J3 nilienda Tena ambapo alifungua lkn baada ya kuingia aliniuliza nataka nini?
Nilimjibu tu kistaarabu nataka baazi ya nguo kwajili ya mtoto (ckupenda reaction yake ikabidi nikapumzike hm) kweli nilichukua nikaondoka kuja kwetu kwa mda
Baada ya wiki2 nimempigia kumjulisha kwamba narudi lkn amegoma nisirudi na ametaka nikamalizie kilicho changu niondoke
Tunamiaka 4 sasa kiukweli bado nilikua namuitaji lkn kuniacha gafla hivyo najickia vbaya sana......
Wanaume na wanawake wenzangu naomba mniambie kosa langu hasa lilikua lipi na je naweza kutatua vip hii changamoto?
Naomba muusamehe muandiko wangu.
jamani jamaniPole, hata mimi nimeachwa.
ndio uache mke kisa asiende kwenye harus..i huu ni ubabe wa kifala sanaHata kama umeaga wiki Moja kabla Alikuwa hataki uende kwenye hafla ukamdharau ndio matokeo yake
Hongera,Kwa sh ngapi😆Pole, hata mimi nimeachwa.
ndio uache mke kisa asiende kwenye harus..i huu ni ubabe wa kifala sana
Mbona umemchekapole yangu iko na kazi sahivi, apambane na hali zake

Aisee🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pole yangu iko na kazi sahivi, apambane na hali zake
Sasa unataka nilie nae auMbona umemcheka![]()
Kwahiyo atafute warefuTii mamlaka, wanaume wafupi hatupendi dharau.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tii mamlaka, wanaume wafupi hatupendi dharau.