Maili tatu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 830
- 1,076
Sidhani Kama hii ni habari kamili, kila mtu anafahamu ukweli nauhalisia nafsini mwake.
Kwani kulikua na ulazima sana wa wewe kula chakula cha sherehe?Jumamosi ya 27/8 nilihudhuria harusi ambayo nilianza kuiombea ruhusa wiki moja kabla, kabla ya kutoka mwenzangu alinijulisha kwamba Hana funguo hivyo badae tuwasiliane ili nimpatie.
Ukumbi haukua mbali sana na nyumbani tunapoishi.
Kwenye mida ya saa5 alinipigia akitaka nimpelekee funguo, nilimuomba aziijie kwani ckuwa na nauli ya ziada na najua acngenipatia, kumbe mwenzangu alitaka nirudi nyumbani mda uleule na kiukweli niligoma nikimwambia hata kula sikua nimekula hivyo kwavile Kuna rafiki yake alikua mwanakamati aje tujumuike pamoja kwani kama ni vinywaji vilikuepo.
Chaajabu nikwamba mwenzangu alikasirika sana kwamimi kutokurudi naeMimi pia nilipata fazaa kwayy kukataa kunisubiria turudi wote kwani ukiachana na sherehe hiyo mwenzangu c mtu anaependa kutoka namimi na siku ile nilitamani angalau abaki namm turudi wote nyumbani.
Baada ya kufika nyumbani Basi alinipigia cm akinitaka nilale hukohuko! Nilizani ni hasira lkn nilivyorudi alikua amenifungia kweli
Niliondoka nikaenda kulala kwa rafki yangu. Asubuhi nilirudi nikiwa na rafiki yangu huyo ili athibitishe nililala kwake.
Cha ajabu hakufungua mlango, tuligonga kwa masaa2 huku nikipiga cm yake Ila hakupokea. Nilipita dirishani kwake napo hakutaka kufungua.
Basi niliamua kuondoka Tena na kurudi kujihifazi kwa rafki angu huku nikisubiri asira zake zipungue anipigie.
Ilipita Tena siku nikimpigia hapokei na nikitumia namba yangu nyingine akijua nimm anakata.
J3 nilienda Tena ambapo alifungua lkn baada ya kuingia aliniuliza nataka nini?
Nilimjibu tu kistaarabu nataka baazi ya nguo kwajili ya mtoto (ckupenda reaction yake ikabidi nikapumzike hm) kweli nilichukua nikaondoka kuja kwetu kwa mda
Baada ya wiki2 nimempigia kumjulisha kwamba narudi lkn amegoma nisirudi na ametaka nikamalizie kilicho changu niondoke
Tunamiaka 4 sasa kiukweli bado nilikua namuitaji lkn kuniacha gafla hivyo najickia vbaya sana......
Wanaume na wanawake wenzangu naomba mniambie kosa langu hasa lilikua lipi na je naweza kutatua vip hii changamoto?
Naomba muusamehe muandiko wangu.
Kwanini unapenda kutoka toka wakati mwenzawako hapendi kutoka toka? Na kwenye kutafuta mwenza lazima uangalie je mwenzangu anapenda kutoka toka usiku ili muendane sasa wewe unapenda kutoka kujichanganya yeye mwenzako yupo tofauti hapendi" lakini na wewe hutaki kucheza mfumo anao upenda tatizo linaanza hapo, Wanaume tupo tofauti wengine hawapendi mikusanyiko ya watu wengi na wengine wanapenda mikusanyiko.Nilikua na 2000 pekee. Nauli ya kumpelekea funguo then nirudi ukimbini isingetosha hapo mkuu. Kwenye sherehe nilihudhuria na rafiki yangu hivyo nilimjuza usiku huo ni nini kinaendelea na nilimuomba Basi kabla hajaenda kwake usiku ule tupite kwangu kwanza ili tugonge mlango kwanza nikiingia Basi nayy aondoke tukagonga saana lkn hakufungua ucku huo ndipo ikabidi twende wote..
Huyu bwana Kuna cku pia nilienda kwenye sherehe nikarudi saa1 lkn alinipiga akinituhum kuchelewa![]()
Dah 🤣🤣🤣Kwani kulikua na ulazima sana wa wewe kula chakula cha sherehe?
Hapo umenena. Unakuta yeye mtu wa club, bar, outings hafu wewe mtu wa ndani sana. Lazima mtapishana.Kwanini unapenda kutoka toka wakati mwenzawako hapendi kutoka toka? Na kwenye kutafuta mwenza lazima uangalie je mwenzangu anapenda kutoka toka usiku ili muendane sasa wewe unapenda kutoka kujichanganya yeye mwenzako yupo tofauti hapendi" lakini na wewe hutaki kucheza mfumo anao upenda tatizo linaanza hapo, Wanaume tupo tofauti wengine hawapendi mikusanyiko ya watu wengi na wengine wanapenda mikusanyiko.
maelezo ya upande mmoja huwezi kuyajua uwenda mwanamke naye ni mtu wa mashereheTatzo lenu mnataka 50/50 unaambiwa rud nyumban unakaid labda jamaa alikuwa anataka kuchakata ukamlaza wima km watchman unajua shida anayopata mwanaume ikiwa anataka kuchakata na akakosa mbususu tena kisa sherehe kwendraaa amna namna
inawezekana tabia inajirudia zaidi ya mara moja wanawake wa siku hizi nao ni pasua kichwandio uache mke kisa asiende kwenye harus..i huu ni ubabe wa kifala sana
na mimi nilikuwa nawaza hapa, lkn kama jamaa ana akili timamu basi huyu bibie ana shida ambayo hajaielezea hapa.Alikufungia funguo alitoa wapi?
Unailazimishia nfoa nini ... mbona wanaume ambao hawajaoa bado ni wengi!Jumamosi ya 27/8 nilihudhuria harusi ambayo nilianza kuiombea ruhusa wiki moja kabla, kabla ya kutoka mwenzangu alinijulisha kwamba Hana funguo hivyo badae tuwasiliane ili nimpatie.
Ukumbi haukua mbali sana na nyumbani tunapoishi.
Kwenye mida ya saa5 alinipigia akitaka nimpelekee funguo, nilimuomba aziijie kwani ckuwa na nauli ya ziada na najua acngenipatia, kumbe mwenzangu alitaka nirudi nyumbani mda uleule na kiukweli niligoma nikimwambia hata kula sikua nimekula hivyo kwavile Kuna rafiki yake alikua mwanakamati aje tujumuike pamoja kwani kama ni vinywaji vilikuepo.
Chaajabu nikwamba mwenzangu alikasirika sana kwamimi kutokurudi naeMimi pia nilipata fazaa kwayy kukataa kunisubiria turudi wote kwani ukiachana na sherehe hiyo mwenzangu c mtu anaependa kutoka namimi na siku ile nilitamani angalau abaki namm turudi wote nyumbani.
Baada ya kufika nyumbani Basi alinipigia cm akinitaka nilale hukohuko! Nilizani ni hasira lkn nilivyorudi alikua amenifungia kweli
Niliondoka nikaenda kulala kwa rafki yangu. Asubuhi nilirudi nikiwa na rafiki yangu huyo ili athibitishe nililala kwake.
Cha ajabu hakufungua mlango, tuligonga kwa masaa2 huku nikipiga cm yake Ila hakupokea. Nilipita dirishani kwake napo hakutaka kufungua.
Basi niliamua kuondoka Tena na kurudi kujihifazi kwa rafki angu huku nikisubiri asira zake zipungue anipigie.
Ilipita Tena siku nikimpigia hapokei na nikitumia namba yangu nyingine akijua nimm anakata.
J3 nilienda Tena ambapo alifungua lkn baada ya kuingia aliniuliza nataka nini?
Nilimjibu tu kistaarabu nataka baazi ya nguo kwajili ya mtoto (ckupenda reaction yake ikabidi nikapumzike hm) kweli nilichukua nikaondoka kuja kwetu kwa mda
Baada ya wiki2 nimempigia kumjulisha kwamba narudi lkn amegoma nisirudi na ametaka nikamalizie kilicho changu niondoke
Tunamiaka 4 sasa kiukweli bado nilikua namuitaji lkn kuniacha gafla hivyo najickia vbaya sana......
Wanaume na wanawake wenzangu naomba mniambie kosa langu hasa lilikua lipi na je naweza kutatua vip hii changamoto?
Naomba muusamehe muandiko wangu.
Hajakuoa na hajakulipia mahari mnaishi wote....wazazi wamelifumbia tu macho ???Muandiko wangu sio mzuri kaka, nikweli hatujaanza kuzinguana leo. Cc hatuna ndoa tulikua tunaishi tu. Nilivyokuja nyumbani ckusema ukweli niliwaambia tu nimekuja kusalimia. Na sijawaambia mpaka sasa nafkiria namna ya kuwaambia ukweli na hata wakijua hakunawakutukalisha maana mwanaume hajafata protocol![]()
Mpaka nimekuja hapa naumia kwa kuachwa kwani ckutegemea kuachwa nilijua tutasolve maisha yaendelee
Hao hao wengi siku hizi wanaogopa kuoa 'single mothers'!Unailazimishia nfoa nini ... mbona wanaume ambao hawajaoa bado ni wengi!
Pole kwa yote yaliyokupata.Jumamosi ya 27/8 nilihudhuria harusi ambayo nilianza kuiombea ruhusa wiki moja kabla, kabla ya kutoka mwenzangu alinijulisha kwamba Hana funguo hivyo badae tuwasiliane ili nimpatie.