Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,488
- 203,174
Ninao mmoja, siwezi peanaUmpe moyo![]()
Ninao mmoja, siwezi peanaUmpe moyo![]()
Jumamosi ya 27/8 nilihudhuria harusi ambayo nilianza kuiombea ruhusa wiki moja kabla, kabla ya kutoka mwenzangu alinijulisha kwamba Hana funguo hivyo badae tuwasiliane ili nimpatie.
Ukumbi haukua mbali sana na nyumbani tunapoishi.
Kwenye mida ya saa5 alinipigia akitaka nimpelekee funguo, nilimuomba aziijie kwani ckuwa na nauli ya ziada na najua acngenipatia, kumbe mwenzangu alitaka nirudi nyumbani mda uleule na kiukweli niligoma nikimwambia hata kula sikua nimekula hivyo kwavile Kuna rafiki yake alikua mwanakamati aje tujumuike pamoja kwani kama ni vinywaji vilikuepo.
Chaajabu nikwamba mwenzangu alikasirika sana kwamimi kutokurudi naeMimi pia nilipata fazaa kwayy kukataa kunisubiria turudi wote kwani ukiachana na sherehe hiyo mwenzangu c mtu anaependa kutoka namimi na siku ile nilitamani angalau abaki namm turudi wote nyumbani.
Baada ya kufika nyumbani Basi alinipigia cm akinitaka nilale hukohuko! Nilizani ni hasira lkn nilivyorudi alikua amenifungia kweli
Niliondoka nikaenda kulala kwa rafki yangu. Asubuhi nilirudi nikiwa na rafiki yangu huyo ili athibitishe nililala kwake.
Cha ajabu hakufungua mlango, tuligonga kwa masaa2 huku nikipiga cm yake Ila hakupokea. Nilipita dirishani kwake napo hakutaka kufungua.
Basi niliamua kuondoka Tena na kurudi kujihifazi kwa rafki angu huku nikisubiri asira zake zipungue anipigie.
Ilipita Tena siku nikimpigia hapokei na nikitumia namba yangu nyingine akijua nimm anakata.
J3 nilienda Tena ambapo alifungua lkn baada ya kuingia aliniuliza nataka nini?
Nilimjibu tu kistaarabu nataka baazi ya nguo kwajili ya mtoto (ckupenda reaction yake ikabidi nikapumzike hm) kweli nilichukua nikaondoka kuja kwetu kwa mda
Baada ya wiki2 nimempigia kumjulisha kwamba narudi lkn amegoma nisirudi na ametaka nikamalizie kilicho changu niondoke
Tunamiaka 4 sasa kiukweli bado nilikua namuitaji lkn kuniacha gafla hivyo najickia vbaya sana......
Wanaume na wanawake wenzangu naomba mniambie kosa langu hasa lilikua lipi na je naweza kutatua vip hii changamoto?
Naomba muusamehe muandiko wangu.
Mhazime kwa mdaNinao mmoja, siwezi peana
Atii mamlaka tu, huyo mrefu ni balaa zaidi coz ana option nyingi.Kwahiyo atafute warefu
Kweli ataumiaAtii mamlaka tu, huyo mrefu ni balaa zaidi coz ana option nyingi.
Kuna information haijakamilika hapa. Hapa ni kunywa mtori tu, nyama ziko chiniAlikupigia simu umpelekee funguo ...kwa maana kwamba yeye hakua nazo. Lakini uliporudi ukakuta amejifungia ndani? Au alivunja kitasa akatengeneza usiku huo huo?
Mimi ndio sijaelewa au wewe ndio haujaeleweka?
Hard heart ndo yenyeweUmejishusha sana ndio maana anakuona ndezi, mvungie endelea na life lako uone kama hatokutafutaView attachment 2357898
Hajawahi kukupenda..pole sanaJumamosi ya 27/8 nilihudhuria harusi ambayo nilianza kuiombea ruhusa wiki moja kabla, kabla ya kutoka mwenzangu alinijulisha kwamba Hana funguo hivyo badae tuwasiliane ili nimpatie.
Ukumbi haukua mbali sana na nyumbani tunapoishi.
Kwenye mida ya saa5 alinipigia akitaka nimpelekee funguo, nilimuomba aziijie kwani ckuwa na nauli ya ziada na najua acngenipatia, kumbe mwenzangu alitaka nirudi nyumbani mda uleule na kiukweli niligoma nikimwambia hata kula sikua nimekula hivyo kwavile Kuna rafiki yake alikua mwanakamati aje tujumuike pamoja kwani kama ni vinywaji vilikuepo.
Chaajabu nikwamba mwenzangu alikasirika sana kwamimi kutokurudi naeMimi pia nilipata fazaa kwayy kukataa kunisubiria turudi wote kwani ukiachana na sherehe hiyo mwenzangu c mtu anaependa kutoka namimi na siku ile nilitamani angalau abaki namm turudi wote nyumbani.
Baada ya kufika nyumbani Basi alinipigia cm akinitaka nilale hukohuko! Nilizani ni hasira lkn nilivyorudi alikua amenifungia kweli
Niliondoka nikaenda kulala kwa rafki yangu. Asubuhi nilirudi nikiwa na rafiki yangu huyo ili athibitishe nililala kwake.
Cha ajabu hakufungua mlango, tuligonga kwa masaa2 huku nikipiga cm yake Ila hakupokea. Nilipita dirishani kwake napo hakutaka kufungua.
Basi niliamua kuondoka Tena na kurudi kujihifazi kwa rafki angu huku nikisubiri asira zake zipungue anipigie.
Ilipita Tena siku nikimpigia hapokei na nikitumia namba yangu nyingine akijua nimm anakata.
J3 nilienda Tena ambapo alifungua lkn baada ya kuingia aliniuliza nataka nini?
Nilimjibu tu kistaarabu nataka baazi ya nguo kwajili ya mtoto (ckupenda reaction yake ikabidi nikapumzike hm) kweli nilichukua nikaondoka kuja kwetu kwa mda
Baada ya wiki2 nimempigia kumjulisha kwamba narudi lkn amegoma nisirudi na ametaka nikamalizie kilicho changu niondoke
Tunamiaka 4 sasa kiukweli bado nilikua namuitaji lkn kuniacha gafla hivyo najickia vbaya sana......
Wanaume na wanawake wenzangu naomba mniambie kosa langu hasa lilikua lipi na je naweza kutatua vip hii changamoto?
Naomba muusamehe muandiko wangu.
Lazima story ya upande wa pili ipatikane, hizi harusi, kitchen party, saloon zile za nyumbani kwa mtu bila kusahau Safari za kulala kwa mama mdogo au shangazi au kwa rafiki kipenzi zinatumika Sana siku hizi.Inawezekana ni mwendelezo wa dharau hii ni stori ya upande mmoja .
-Inawezekana mtoto aliachwa kwa jirani Tena usiku kisa arusi
-Inawezekana machale yamemcheza tu mtu na mke wake bwana
.Wewe umeoa?
Daaah kumbe una roho mbaya hivi 😂😂😂😂Hongera,Kwa sh ngapi😆
Na weweDaaah kumbe una roho mbaya hivi
Haya bana nimeachwa