nimeachwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Nimeachwa nifanye nini

    2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
  2. Chizi Maarifa

    Nimeachwa tena

    Inaumiza sana. Kwa nini wanawake hawadumu na mimi? Wana matatizo gani lakini? Wanawake wa siku hizi hawafai yaani ukisema tu uutue moyo.... Yeye ameshaliamsha anasonga mbele. Mimi wa kuachwa kweli? Why? Mimi nampigia demu ananiambia niachane naye na namba yake nifute? Kuna shida kubwa kwa hawa...
  3. Ashampoo burning

    Nimeachwa wadau baada kufulia … Sina hamu

    Jamani ashampoo nilikuwa mshua fulani nilianza kuingiza hela toka nikiwa chuo huko sasa hela zilikuwa zinaingia sana kwa siku milioni kwanza kawaida .hapo nikiwa chuo mwaka wa pili tayari bank nina 50 millions kiukweli maisha yalikuwa mazuri sana Biashara niilikuwa nafanya gadgets...
  4. M

    Mwenzenu nimeachwa kweli!

    Habari za jioni! Jamani mwenzenu jana nimezinguana na baba watoto, katika purukushani nikamwambia niache nitikise kibiriti, akanijibu subiri. Sijakaa vizuri imeingia sms "Mimi baba Kidogoli nimekuacha Mamy K talaka 1, siyo mke wangu". Yani hapa nipo nipo sijui nilie, sijui nicheke, nahisi...
  5. Liverpool VPN

    Mwenzenu nimeachwa

    Moderator please delete huu Uzi.
  6. JaphetJacob

    Nimeachwa, naumia sana. Nifanyaje?

    Jamani nimeachwa na mpenzi wangu (girlfriend) ni takriban miezi miwili imepita. Naumia sana maana nilijitahidi kumtunza lakini ameniacha. Nina maumivu makali sana mpaka shughuli nyingine sifanyi kwa ufanisi naombeni ushauri, ni kama nimelose hope. Napmba ushauri.
  7. Camp Lehigh

    Wakuu nimeachwa mwenzenu

    Naandika haya simanzi nzito kichwani na moyoni[emoji22][emoji22]. Nimeachwa na mwanamke nimpendae, sijui nifanye nini. Nina vidonda tumbo vilikua vimetulia muda mrefu vimenijia now kwa mawazo niliyonayo, sijui hata nifanyeje. Sijui nitakua mgeni wa nani mimi, nahurumia moyo wangu ulizama kwake...
  8. huku kwetu

    Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

    Habari wana JF, Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi. Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda...
Back
Top Bottom