stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 18,044
- 27,874
Angalie usije kunywa sumu tu maana wengine mkisha achwa huwa mnajua wanawake wameisha.Vuta mmoja fasta wakati unafanya mkakati wa kutafuta atakae kufaa,ila condom ndio silaha yako kabla hujao si unaona mambo ya kuaminiana yalivyo mabaya maana hata huyo ulieachana naye nina imani ulikuwa huvai viatu sasa sijui kama umesalimika,nakwambia tena viatu ni muhimu kabla hujaoa.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums