Nimeachana naye hali yangu ni mbaya sana msaada please

Nimeachana naye hali yangu ni mbaya sana msaada please

Acheni tu Bujibuji akimbie mmu kama mambo yenyewe ndo haya.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama vp nikupatie movies zangu upungeze mingale itakuchomoa roho hiyo!
 
Duuh siamini kama mtu ukiwa na hamu ya kugegeda unakuja kusema mmu.
 
Jitahidi kufanya mazoezi Mara nyingi ,epuka kukaa sehemu zenye vshawishi kwani hyo hali inakuja kwa mda tu! au Ukiona bado ni shida kwako tafuta mwanamke am baye atakufaa mkapime ndipo mufanye maana cku hz maradhi mengi kaka.
 
Acha ushamba uaminifu sana its too dangerous for your health,life and future,Next time chapa pembeni

Ngoja nikutajie viwanja ukishindwa huko mtaani kwenu corner bar(ambiance),meeda,maisha club,Diddys,Buguruni ,Mango garden etc
Kwani kakuambia ye yupo Dar?l....Hovyoooo kabisa!! Uzinzi
 
Get more hoez..than that nigga John Legend...u shuld too...
 
pole ndugu yangu hayo ni mapito tu! na kwa upande wangu naona sio tatizo ingawa kwako ni tatizo,hivyo cha kufanya sasa ni kuangalia mipango na ndoto zako zilizobaki maishani ukiaachana na huyo binti ambaye alishakuwa ndoto zako,fanya yako kaka taifa letu linakutegemea sana acha kuwaza ngono waza kujenga taifa letu na hilo ndo jambo litakalokufanya usipate tabu na usahau kabisa ngono ndugu yangu.
 
mkuu kabla ya yote...naomba nikuswalike kaswahili kadogo....ulivyo gunguwa ana uhusiana na mwingine na yeye kukiri...je angekuomba msamaha na kuengelea na ww ungemkubalia.?...
Hapana nisingekubaliana nae
 
Ajitokeze Mwana JF mmoja humu amsaidie huyu Jamaa... Ladies chukueni Fursa mwen.....zenuu.
 
Piga sana zoezi afu jarbu sana kuzingatia ibada na kusoma vitabu vya din,hv vitu vinakusaidia kupunguza stres mkaka
 
duh a gentleman hawez kuendeshwa na stimulation za ngono,fanya maamuz fasta ila usisahau ngoma is around the corner.
 
hapa kidogo naomba niende kinyume na wewe. usimshauri kuchukua msichana wa mtaani au kwenda kununua dada poa. afanye mazoezi na kuweka mawazo katika mambo mengine. ungemuuliza kwa mfano akiwa ndani ya ndoa akaambiwa mkewe anamatatizo na anatakiwa kukaa miezi sita bila kujamiiana hataweza? kama hataweza kutakuwa na uwalakini
asante mkuuu kwa kunielimisha....na naomba ajibu hili swali Mlanje njoo hapa hapo kwenye nyekundu kuna swali jibu haraka sana
 
Back
Top Bottom