Wakuu nilikuwa na uhusiano na msichana mrembo na mwishoni mwa mwaka niligundua ana uhusiano na mtu mwingine iliniuma sana maana nimekuwa nae kwa miaka mitatu na nilikuwa nasubiri amalize chuo mwaka huu nioe.Katika kipindi cha uhusiano wetu nilikuwa mwaminifu sana na sijawahi hata kumtongoza mwanamke yeyote kwa kumheshimu mama watoto mtarajiwa.Baada ya kugundua na yeye kukiri kuwa na uhusiano na mtu mwingine na aliamua kuniambia kuwa anapenda aendelee na jamaa kiukweli nilishindwa kugombania mtu ambaye sio mwaminifu na kukubali kushindwa,kinachonisumbua kwa sasa nina hamu sana ya ngono usiku napata shida sana maana sijafanya tangu mwezi November nafikiria hata kufanya mapenzi na wanaojiuza ila nashindwa nishaurini nifanyeje maana bado sijapata mwingine na nimeumia sana