kukumega
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 1,134
- 485
Yule ana facebook account mimi sina....
Aaaaagh! Hapo umeharibu kafungue fasta.
Yule ana facebook account mimi sina....
Ha ha haaaaaa my daughter you made me laugh loudly lol
Kuna watu wengine unakuta marafiki wao wa Fesibuku ni pamoja na mama na baba zao wazazi na ukoo mzima, halafu unakuta wewe wote hao hawajui kama unamahusiano ya kimapenzi na ndugu yao. Sasa wakiona yupo kwenye mahusiano ambayo hawayajui si watashtuka?
Ulitakiwa kumuuliza kama ukifanya hivyo itakuwa poa kwake.
Miss you loads mummy......... :A S 11::A S 11::A S 11:
Kuna watu wengine unakuta marafiki wao wa Fesibuku ni pamoja na mama na baba zao wazazi na ukoo mzima, halafu unakuta wewe wote hao hawajui kama unamahusiano ya kimapenzi na ndugu yao. Sasa wakiona yupo kwenye mahusiano ambayo hawayajui si watashtuka?
Ulitakiwa kumuuliza kama ukifanya hivyo itakuwa poa kwake.
nakuja mwaaaaaNjoo kwangu niko singo!
hongera mkuuuWakati wewe unaachana na MWEZIO KISA FACEBOOK MI NDO ILINIPATIA MKE NA SASA TUNA WATOTO WAWILI NA TUNAISHI KWA fURAHA NA Amani na Upendo ndani yake.
usaili wetu vipi au...nimeshachelewa?Nakushukuru Bwan'shemeji....
Duh umeifufua thread ya 2014...!!! Mliishiana naye vipi??nakuja mwaaaaa
hakunitafuta tena sijui alilogwa na nani yule....Duh umeifufua thread ya 2014...!!! Mliishiana naye vipi??
Pole..!hakunitafuta tena sijui alilogwa na nani yule....
nilishapoa...ila bado namkumbuka sana sijui nae alinilogaPole..!
Huo ndo uhusiano wa mwendo kasi! Hapo huna mtu. Piga chini tu. Wallah atakutia presha huyo.Wanajamvu MMU nimerudi tena kijana mwenzenu naombeni ushauri kuna msichana nampenda sana na tumedumu kwa muda mrefu japo si sana mimi namuamini sana na kwa mujibu wake pia ana niamini ilikudhihirisha upendo wangu wa dhati kwake niliamua kumuweka in relation kwenye account yangu ya FACEBOOK.
La ajabu mpenzi wangu alinijia juu na kunitaka nifute kabisa hayo maandishi kule FACEBOOK jambo hilo limesababisha tuwe na mawasiliano mabaya inafikia kipindi nikimpigia simu hapokei wala hanitumii message kama zamani hivi kweli facebook inaweza kusababisha mimi na yeye tuachane?
Roho inaniuma sana kwani ananiacha kipindi ambacho bado namuhitaji na inavyoonekana yupo serious na uamuzi wake.
Naombeni ushauri wenu wana jamvi wenzangu.
Asana ubarikiwe sanaHuyo hakuwa anakupenda kwa dhati kiasi kwamba amechukizwa kwa kuwa displayed hilo analiona kama umemfunga zaidi asipate mtu mwingine.Ushauri wangu achana naye uangalie ustaarabu mwingine
Sababu hiyo kakutafutia mkuu. Kutakuwa kuna kidume alikuwa anammendea huyo demu wako so huyo mchizi kakushinda kete aisee.Wanajamvu MMU nimerudi tena kijana mwenzenu naombeni ushauri kuna msichana nampenda sana na tumedumu kwa muda mrefu japo si sana mimi namuamini sana na kwa mujibu wake pia ana niamini ilikudhihirisha upendo wangu wa dhati kwake niliamua kumuweka in relation kwenye account yangu ya FACEBOOK.