X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,700
- 14,768
- Thread starter
- #21
Wahi nafasi ni chache mkuu... Mwisho wa usaili ni tarehe 30....
......usaili utafanyikia wapi mm muoga wa interview bwana
Wahi nafasi ni chache mkuu... Mwisho wa usaili ni tarehe 30....
huyo alikua na mtu wake fb anayedanganyana nae kuwa yupo single so kitendo cha kuweka inrelation ship status ndo umemuharibia kabisa..
Kila Mtu Kuna Asichopendelea, Usifos Mtu Akubaliane Na Unachoona Wewe Kinafaa, Muhimu Toa Details Zake Fb Alafu Mwombe Msamaha Yaishe, Muendelee Narelation, On Otherside Inawezekana Anahofia Kukamatika Kwa Another Bf Kuwa Yupo Nawe Mchunguze Ujue Why Hapendi Umweke Fb? Kama Sababu Nizamsingi Muondoe Msonge Mbele
Fb in relationship with Xxy,hay a siku hiZi watu hawaminika mmevurugana.what then!.....
Halafu na wewe kwani fb ndio sehemu ya kuonesha mapenzi ya dhati, na je kama ulikuwa unatafuta likes then umteme? Sio deal but anaweza kuwa yuko okay
......usaili utafanyikia wapi mm muoga wa interview bwana
Njoo kwangu niko singo!
Ulitakiwa umshirikishe kabla hujaweka na wewe
.........nifanyaje au nimuache aende zake
xaxa ww unamxhaur nn? Kulikuwa na haja gani ya kuruxhana fb?
Teh teh!
xaxa ww unamxhaur nn? Kulikuwa na haja gani ya kuruxhana fb?
Teh teh!