Nimeachana na mpenzi kisa Facebook

Nimeachana na mpenzi kisa Facebook

Hahahaha! Unamharibia mipango mwenzio!!!
Labda wazazi wake wapo Fb na hataki waone hiyo status
 
Hahahaha! Unamharibia mipango mwenzio!!!
Labda wazazi wake wapo Fb na hataki waone hiyo status
labda ilikuwa hivyo naamini hii ni siri yeye mwenyewe ndio alipaswa atoe majibu....dah ila wasichana mna vitimbi sana...joks
 
Ukitaka tugombane anza hizo drama mara umeniweka profile pic mala unanipost hovyo hovyo..

Sitavumilia huo ujinga
 
Kumbe darassa alikosea unaweza subiri embe chini ya mnazi na ukapata bwana toka kwa mpita njia..
Mwakani ntakuletea kadi uhudhulie harusi yetu aisee.
haahaaa....haya mkuu mimi yangu macho na masikio nitachanga tena naomba kadi yangu ya mchango iwe vip
 
Back
Top Bottom