Nimeachana na mpenzi kisa Facebook

Nimeachana na mpenzi kisa Facebook

Mgiriki bila shaka ww kimtazamo utakua na umri usiozid age ya 16 maana uandishi wako na mtoa mada bila shaka nyie ni watoto.uandishi wenu wa fb sijajua kwann jamii wanaruhusu mlete humu.

hahahaaa! Hamna mkuu wakat mwingne hata mtu mzima unaweza kuact kama mtoto ili upate matatizo ya watoto.. Mm ni mtu mzma kabisa muulize Khantwe
 
Last edited by a moderator:
Wengibwettu tumesema juu ya binti kuwa anaogopa michepuko yake itajua lakini msisahau kuwa hata familia pia inachangia coz sio wote wana uzungu ambao eti utapita na grlfrnd/byfrnd wakakuchekea.
 
Wanajamvu MMU
nimerudi tena kijana mwenzenu naombeni ushauri kuna msichana nampenda
sana na tumedumu kwa muda mrefu japo si sana mimi namuamini sana na kwa
mujibu wake pia ana niamini ilikudhihirisha upendo wangu wa dhati kwake
niliamua kumuweka in relation kwenye account yangu ya FACEBOOK.

La ajabu mpenzi wangu alinijia juu na kunitaka nifute kabisa hayo
maandishi kule FACEBOOK jambo hilo limesababisha tuwe na mawasiliano
mabaya inafikia kipindi nikimpigia simu hapokei wala hanitumii message
kama zamani hivi kweli facebook inaweza kusababisha mimi na yeye
tuachane?

Roho inaniuma sana kwani ananiacha kipindi ambacho bado namuhitaji na
inavyoonekana yupo serious na uamuzi wake.

Naombeni ushauri wenu wana jamvi wenzangu.

kapata mkubwa mwenzie wewe kwanza kua na umalize shule
 
Wanajamvu MMU nimerudi tena kijana mwenzenu naombeni ushauri kuna msichana nampenda sana na tumedumu kwa muda mrefu japo si sana mimi namuamini sana na kwa mujibu wake pia ana niamini ilikudhihirisha upendo wangu wa dhati kwake niliamua kumuweka in relation kwenye account yangu ya FACEBOOK.

La ajabu mpenzi wangu alinijia juu na kunitaka nifute kabisa hayo maandishi kule FACEBOOK jambo hilo limesababisha tuwe na mawasiliano mabaya inafikia kipindi nikimpigia simu hapokei wala hanitumii message kama zamani hivi kweli facebook inaweza kusababisha mimi na yeye tuachane?

Roho inaniuma sana kwani ananiacha kipindi ambacho bado namuhitaji na inavyoonekana yupo serious na uamuzi wake.

Naombeni ushauri wenu wana jamvi wenzangu.

Hakupendi huyo,au ni under 18 kwamba anaogopa wazazi,ndugu....
 
Back
Top Bottom