Nimeachana na mpenzi kisa Facebook

Nimeachana na mpenzi kisa Facebook

huwa niko sensitive...ni culture kuweka fb in relation bila cosultation sio sahihi.....je mlivalishana pete kanisani au msikitini au kwenye ngazi ya kifamilia...bas mpaka hapo unaelewa nini shda kwani facebo unakuwa in pulic tena ninyiewawili tu mmeaongea...haijawa official kivile na pia unawezamuharibia kwako kwa wengine kama badoanafanya assessment...soni busara..minaona si saw...upandemwingine labdahakupendi but usimpe pressuire....so umekosea.....
 
asante mkuu nilikosea....naamini kosa halitojirudia...tena
 
ulishapata mtuu...mamy maana fursa hii ilinipita

Hebu tuma maombi yako nione... Ambatanisha vitu vifuatavyo:-
1. Cheti cha kuzaliwa
2. CV
3. Vyeti vya sekondari na vyuo
4. Bank statement
5. Passport (Lazima iwe international)
6. National ID
7. Picha yako full nyuma na mbele
8. Valid driving licence
9. Picha ya nyumba iwe mpya
10. Picha ya gari namba D

Baada ya hapo ukifanikiwa utapigiwa simu...

Asante
 
ahaaahaaaa.....kama kazi vile....kutakua na mshahara mnenen hapo ngoja niapply....je vigezo visipo timia...si ndio nimebwagwa?
 
Mbona majibu unayo haupo mwenyewe so unavyo weka mambo hadharani una mbania riziki kwa wengine be careful mwanamke haridhishwi huridhika mwenyewe
 
Wanajamvu MMU nimerudi tena kijana mwenzenu naombeni ushauri kuna msichana nampenda sana na tumedumu kwa muda mrefu japo si sana mimi namuamini sana na kwa mujibu wake pia ana niamini ilikudhihirisha upendo wangu wa dhati kwake niliamua kumuweka in relation kwenye account yangu ya FACEBOOK.

La ajabu mpenzi wangu alinijia juu na kunitaka nifute kabisa hayo maandishi kule FACEBOOK jambo hilo limesababisha tuwe na mawasiliano mabaya inafikia kipindi nikimpigia simu hapokei wala hanitumii message kama zamani hivi kweli facebook inaweza kusababisha mimi na yeye tuachane?

Roho inaniuma sana kwani ananiacha kipindi ambacho bado namuhitaji na inavyoonekana yupo serious na uamuzi wake.

Naombeni ushauri wenu wana jamvi wenzangu.
Achana nalo hilo liende zake
 
Dah kumbe post ya zamani ebu nipe khabari uliliacha acha vipi
niliumwa...nikafanyiwa operation...hakunijuria hali wala hakuja kuniona...niliumia sana + maumivu ya kidonda sio siri nilikonda nikaumia...sijui nilipata ujasiri gani kwani mara baada ya kupona nilijikuta naanza kumsahau...mwanzo niliingiwa na roho ya kisasi kwakuwa anao wadogo zake...nilipata wazo la kuwapa mimba wadogo zake wote...lakini nikajiona mjinga...nikafanya kazi zangu...at the end nikajikuta stress free...now nina mke na muda si mrefu natarajia kuitwa baba.
 
Hongera sana aisee na pole sana.
Sema mimi ninaweza kukusaidia kurevenge maana sipendi ujinga..
 
Hongera sana aisee na pole sana.
Sema mimi ninaweza kukusaidia kurevenge maana sipendi ujinga..
visasi sio vizuri mkuu ila mdogo wake mmoja huyo hapo chini au mfate hapa kwa kubonyeza neno la mbele hapo la blue....dah kisha uje unipe mrejesho baada ya kutekeleza revenge kwa kunisaidia au sio
 
visasi sio vizuri mkuu ila mdogo wake mmoja huyo hapo chini au mfate hapa kwa kubonyeza neno la mbele hapo la blue....dah kisha uje unipe mrejesho baada ya kutekeleza revenge kwa kunisaidia au sio
Safi sana ngoja nikakusaidie kurevenge jino kwa jino.
Kwa mwendo huu kwa pamoja mimi na wewe tutafanikisha kujenga Tanzania ya viwanda
 
Safi sana ngoja nikakusaidie kurevenge jino kwa jino.
Kwa mwendo huu kwa pamoja mimi na wewe tutafanikisha kujenga Tanzania ya viwanda
haahaaaa....haya mkuu...nakutakia uwajibikaji mwema...usisahau ndomu
 
Huyo alikuwa na wanaume wengi mtandaoni sasa hakutaka kuonekana... ndio maana kawa mkali. Ila hayo ni matisho.. maana umemuharibia dili
 
Back
Top Bottom