Nimeachana na mpenzi kisa Facebook

Nimeachana na mpenzi kisa Facebook

Hebu tuma maombi yako nione... Ambatanisha vitu vifuatavyo:-
1. Cheti cha kuzaliwa
2. CV
3. Vyeti vya sekondari na vyuo
4. Bank statement
5. Passport (Lazima iwe international)
6. National ID
7. Picha yako full nyuma na mbele
8. Valid driving licence
9. Picha ya nyumba iwe mpya
10. Picha ya gari namba D

Baada ya hapo ukifanikiwa utapigiwa simu...

Asante
ivi tarehe ya hii interview ilikuwa lini?
 
Hebu tuma maombi yako nione... Ambatanisha vitu vifuatavyo:-
1. Cheti cha kuzaliwa
2. CV
3. Vyeti vya sekondari na vyuo
4. Bank statement
5. Passport (Lazima iwe international)
6. National ID
7. Picha yako full nyuma na mbele
8. Valid driving licence
9. Picha ya nyumba iwe mpya
10. Picha ya gari namba D

Baada ya hapo ukifanikiwa utapigiwa simu...

Asante
1. Cha kuzaliwa, Mwakyembe mwenyewe hana
2. CV utapata kama za wabunge, mwaka mmoja kasom degree nne
3. Vyeti havitolewi kirahisi, KAULIZE Dar utaambiwa
4. Akaunti yenyewe sina, nini bank statement?
5. Mimi wa Kolomije, international passport niitoe wapi?
6. National ID si hazijatolewa zenye sahihi??
7. picha yangu ya nyuma, UNATAKA UONE nini?
 
Wanajamvu MMU nimerudi tena kijana mwenzenu naombeni ushauri kuna msichana nampenda sana na tumedumu kwa muda mrefu japo si sana mimi namuamini sana na kwa mujibu wake pia ana niamini ilikudhihirisha upendo wangu wa dhati kwake niliamua kumuweka in relation kwenye account yangu ya FACEBOOK.

La ajabu mpenzi wangu alinijia juu na kunitaka nifute kabisa hayo maandishi kule FACEBOOK jambo hilo limesababisha tuwe na mawasiliano mabaya inafikia kipindi nikimpigia simu hapokei wala hanitumii message kama zamani hivi kweli facebook inaweza kusababisha mimi na yeye tuachane?

Roho inaniuma sana kwani ananiacha kipindi ambacho bado namuhitaji na inavyoonekana yupo serious na uamuzi wake.

Naombeni ushauri wenu wana jamvi wenzangu.
Hivi unajua wanaume tuko wachache sana dunia hii? Kuna aliye bora kuliko huko wa fb..
 
huwa niko sensitive...ni culture kuweka fb in relation bila cosultation sio sahihi.....je mlivalishana pete kanisani au msikitini au kwenye ngazi ya kifamilia...bas mpaka hapo unaelewa nini shda kwani facebo unakuwa in pulic tena ninyiewawili tu mmeaongea...haijawa official kivile na pia unawezamuharibia kwako kwa wengine kama badoanafanya assessment...soni busara..minaona si saw...upandemwingine labdahakupendi but usimpe pressuire....so umekosea.....
Huu uandishi ni tatizo.
 
Kila Mtu Kuna Asichopendelea, Usifos Mtu Akubaliane Na Unachoona Wewe Kinafaa, Muhimu Toa Details Zake Fb Alafu Mwombe Msamaha Yaishe, Muendelee Narelation, On Otherside Inawezekana Anahofia Kukamatika Kwa Another Bf Kuwa Yupo Nawe Mchunguze Ujue Why Hapendi Umweke Fb? Kama Sababu Nizamsingi Muondoe Msonge Mbele
Sio kila mtu anapenda kuanikwa kila sehem coz watu hatutabiliki, ikitokea mmeachana utamtoa na kuchora picha mbaya fb na maeneo mengine maana tuliowengi hatujiamin
 
Back
Top Bottom