lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,608
- 2,064
Nina mpango kabambe wa kukuoa ili nikuondoe kwenye hicho chama haramu![emoji4][emoji4][emoji4]
AfadhaliNina mpango kabambe wa kukuoa ili nikuondoe kwenye hicho chama haramu![emoji4][emoji4][emoji4]
We bwana mdogo huyo mke umempata wapi au ni yule mjita uliyemtorosha wakati ule?
MKE ANAHITAJI MATUNZO MASHINE KASAGIE MAHINDIMwanaume mashine.
Akili za usiku
AiseeMbona yako nimadogo ,,Mimi wangu nilimfuma miaka kadhaa ilopita lkn mpaka sasa nipo naye na kanizalia watoto wazuri nawenye afya . sembuse we kutokukuheshimu tu suala ambalo unapaswa umpigishe shule ????? .
Hafai..mchepuko raha yake awe na mkeMeans hufai Hata kuwa mchepuko wa mtu...
Wewe si uliniambia hujaoa?Mbona yako nimadogo ,,Mimi wangu nilimfuma miaka kadhaa ilopita lkn mpaka sasa nipo naye na kanizalia watoto wazuri nawenye afya . sembuse we kutokukuheshimu tu suala ambalo unapaswa umpigishe shule ????? .