Nimeachana na mke wangu leo

Nimeachana na mke wangu leo

Aisee...kumbe? Hapo swadakta! kwasababu siku hizi hadi lovers wanaitana twins ndo maana nkawa na-keep my distance kidogo. Naheshimu couples aise.
By the way it's so cool to have a twin brother 🙂


hahaah huyu mie wa kuzaliwa kbs
 
Mkiachana
[emoji1541]
Watoto laxima wasafe
[emoji1541]
Hawatapata shule na future inakua ovyo
[emoji1541]
Wanakuja kua wa ajabu ajabu/chokoraa
[emoji1541]
Mzunguko wa umaskini
[emoji1541]
Ukizeeka no help from ur kids
[emoji1541]
Taifa maskini
Aaahh wewe kama pesa ipo. Peleka boding mitoto yote

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Aaahh wewe kama pesa ipo. Peleka boding mitoto yote

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Usawa wa magufuli na unatumia iPhone 7s? Ila hiyo signature umelazimisha hahahaha wabongo buana
 
mkuu nakupa zawadi ya mche wa sabuni na kukutakia mkono wenye afya njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom