Nimeacha SEX! Eeeeh Ero jipe nguvu ushinde!

umenitenda kushindwa make a move na kukuomba walau a one spesho nite kwa

kudhania upo na FL1 kwa heshima na tadhwima kwake. basi tena ndio nimehakikisha leo hunipendi! :A S 12:

Haaaahaaa! Kwani unataka nikupende vipi? Kwa kuangalia picha ya koni, you are cute...mpaka hapo you are ok. Au unataka mpaka nikamilishe kabisa kwa kukuona vile alivyokuwa Eva?
 
Malengo hayakuwa kuwa nawo maishani, ilikua kwa ajili ya kula maisha na sex.

Dah! Nimeiwaza sana hiyo ya kwenye RED hapo. Kumbe kuna mpaka wa ku-sex naye? :eek:hwell: Nnaogopa kufikiria kuwa 29 wote walikuwa kwaajili ya hilo jambo so what would change ukipata huyo wa 30?

Tabia hujengwa na mazoea. Check kwa mfano: Nilikuwa nna friend (demu) ambaye ali-confess mbele yangu kuwa alishawahi kum-cheat BF wake na mume wa mtu (5 times without even feeling guilty mpaka mke wa jamaa alipomfuma) so upto kesho haamini kuwa "Love does exist". Jamaa akimwambia "I love you" anajibu "Thank you/I like you" and ku-sex kwake ni kama "ku-breath air" tu. Hajawahi kuwaza kuolewa (ofcos she is just 25) while that age anatakiwa awe kwny SERIOUS relationship.

My take: I believe you need to take that issue of making changes very SERIOUSLY ili uweze ku-fight hayo mazoea (Mazoea ndio yatakupa tabu)
 
Haaaahaaa! Kwani unataka nikupende vipi? Kwa kuangalia picha ya koni, you are cute...mpaka hapo you are ok. Au unataka mpaka nikamilishe kabisa kwa kukuona vile alivyokuwa Eva?

ndio........:A S-heart-2:
 
Kweli Jf ni zaidi ya social netiweki...

Hongera kwa hatua uliyoifikia na uamuzi uliouchukua ,ila kwa huyo mwanaume wako ,wewe utakuwa wa tatu ama wa nne itabidi umwachie naye awatafune huko nje mpaka afikie 29 ili ngoma iwe sawa .Kwenye mapenzi maridhiano ni muhimu ukizingatia wewe utakuwa na experience zaidi yake so ni bora naye aka-practice more huko nje- Practice make t perfect kama wewe.
 
Unajua nashanga mashine tofauti 29 zenye saizi tofauti zikamuingilia kwenye gridi moja hapo lazima hata Dawa ishindwe kazi.

Ngoja nikupe darasa.

K inatanuka kama mpira, ila hata hivo hata mpira nao pamoja na kua utitanua
huwa wajirudi hara hara utanuaji wake maana nao hulegea. hivo hakikisha unakuwa na mpira
ambao ni quality. na kwality papito haiiji hivi hivi, inatolewa jasho kubuni iwe vipi. hao wanaume sijalala
nao mwezi mmoja. SEX siku hizi miaka 15 unajibanjua, na kama unabadili kama nguo kwa sababu
zozote ulizo nazo hadi ufike miaka 25 unadhani unakuwa umelala na wangapi? hesabu na 3some,
one nite stands n.k. kwa hio usiwe na wasi wasi. ingekuwa sijafikisha wa 29
ningekupa ruhusa tujiburudishe week hii ila ndio hivo nishasitisha na sitaki tena!
 
Mh... Erotica....nimekosa jibu...
on a light note: Mbona bado sijaona PM yako au ndo......
 
Last edited by a moderator:
Dah! Nimeiwaza sana hiyo ya kwenye RED hapo. Kumbe kuna mpaka wa ku-sex naye? :eek:hwell: Nnaogopa kufikiria kuwa 29 wote walikuwa kwaajili ya hilo jambo so what would change ukipata huyo wa 30?

Tabia hujengwa na mazoea. Check kwa mfano: Nilikuwa nna friend (demu) ambaye ali-confess mbele yangu kuwa alishawahi kum-cheat BF wake na mume wa mtu (5 times without even feeling guilty mpaka mke wa jamaa alipomfuma) so upto kesho haamini kuwa "Love does exist". Jamaa akimwambia "I love you" anajibu "Thank you/I like you" and ku-sex kwake ni kama "ku-breath air" tu. Hajawahi kuwaza kuolewa (ofcos she is just 25) while that age anatakiwa awe kwny SERIOUS relationship.

My take: I believe you need to take that issue of making changes very SERIOUSLY ili uweze ku-fight hayo mazoea (Mazoea ndio yatakupa tabu)

Uliyosema ni sawa. ila jua kuwa sio wanaume wote ambao nililala nao kwa kujitambua. miaka ya

utineja nilikuwa na wanaume kama fashion. siku ya kwanza nimefikishwa kileleni nilitoa kilio cha mbwa!

toka hapo sasa ndio nikajua kua kumbe SEX ndio hivi? inachotakiwa ni kujitambua, kuwa na nia.

hakuna alieniazimisha na moyo wangu unanitonya kabisa kuwa maamuzi yangu ni sahihi.

saizi i want mo than sex. nataka maisha mapya ya kuwa na mtu ambae ni wako. hivo nitaweza tu!
 
What a coicidence!.,pls come to me baby mimi nilijiwekea malengo ya warembo 49 na wa 50 should be my wife,huyu niliyenae ndio wa 49 na her expiry date is approaching very fast.,so nafasi yako itakuwa wazi soon na I promise to be the best husband.
 
Ngoja nikupe darasa.

K inatanuka kama mpira, ila hata hivo hata mpira nao pamoja na kua utitanua
huwa wajirudi hara hara utanuaji wake maana nao hulegea. hivo hakikisha unakuwa na mpira
ambao ni quality. na kwality papito haiiji hivi hivi, inatolewa jasho kubuni iwe vipi. hao wanaume sijalala
nao mwezi mmoja. SEX siku hizi miaka 15 unajibanjua, na kama unabadili kama nguo kwa sababu
zozote ulizo nazo hadi ufike miaka 25 unadhani unakuwa umelala na wangapi? hesabu na 3some,
one nite stands n.k. kwa hio usiwe na wasi wasi. ingekuwa sijafikisha wa 29
ningekupa ruhusa tujiburudishe week hii ila ndio hivo nishasitisha na sitaki tena!

How does it go about? Is that not an orgy?
 
Kweli Jf ni zaidi ya social netiweki...

Hongera kwa hatua uliyoifikia na uamuzi uliouchukua ,ila kwa huyo mwanaume wako ,wewe utakuwa wa tatu ama wa nne itabidi umwachie naye awatafune huko nje mpaka afikie 29 ili ngoma iwe sawa .Kwenye mapenzi maridhiano ni muhimu ukizingatia wewe utakuwa na experience zaidi yake so ni bora naye aka-practice more huko nje- Practice make t perfect kama wewe.

sijampata bado. nia yangu nikimpata asitake mwengine atake mmi tu. ikifika kachoka

hataki anataka wengine ni divosi, naolewa tena hivo hivo. hata kama ni mara kumi. haina shida.
 
hahahahah Ero akikupigia kutaka ukamassage sehemu uliyotengua zamani hutakwenda kwa hisani ya watu wa Marekani

hio kazi ya massage naacha! itakuwa tu kwa mume wangu. atakae nipigia hata kama

namjua nitamuuliza wewe ni nani na umeanza vipi kupiga namba yangu? kumbuka nabadilisha namba BW.
 
Ngoja nikupe darasa.

K inatanuka kama mpira, ila hata hivo hata mpira nao pamoja na kua utitanua
huwa wajirudi hara hara utanuaji wake maana nao hulegea. hivo hakikisha unakuwa na mpira
ambao ni quality. na kwality papito haiiji hivi hivi, inatolewa jasho kubuni iwe vipi. hao wanaume sijalala
nao mwezi mmoja. SEX siku hizi miaka 15 unajibanjua, na kama unabadili kama nguo kwa sababu
zozote ulizo nazo hadi ufike miaka 25 unadhani unakuwa umelala na wangapi? hesabu na 3some,
one nite stands n.k. kwa hio usiwe na wasi wasi. ingekuwa sijafikisha wa 29
ningekupa ruhusa tujiburudishe week hii ila ndio hivo nishasitisha na sitaki tena!

kazi kweli kweli unaonaje ukaniPM ili unipe darasa in actual practical.
 
What a coicidence!.,pls come to me baby mimi nilijiwekea malengo ya warembo 49 na wa 50 should be my wife,huyu niliyenae ndio wa 49 na her expiry date is approaching very fast.,so nafasi yako itakuwa wazi soon na I promise to be the best husband.

Nataka mwanaume ambaye hana viporo. ambaye anamtaka Erotica tu!

nenda kwanza kamalizane na huyo ambae bado expiry haijaisha, then tutaongea!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom