Nimeacha SEX! Eeeeh Ero jipe nguvu ushinde! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeacha SEX! Eeeeh Ero jipe nguvu ushinde!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Erotica, May 31, 2012.

 1. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jana nimefikisha alama yangu ya 29. Nilitia nia ya dhati wakati nimefika miaka 20 kuwa
  nikifikisha wapenzi 29 itakuwa mwihso wa kujihusisha na SEX. Mume wangu atakuwa ni wa 30.
  Nimepita mengi kwenye mambo ya SEX, nimeona mengi na kila style na saizi.
  Sasa inatosha! Kuanzia sasa nabadilika, akili na moyo wangu unataka hivo.
  Ingawa napenda SEX penye nia pana njia. I am a good lover, nitaji love. Nitakuwa mke mwema na
  mama mwema. nitam cherish mume wangu kwa masharti ya kusema nayeye ani cherish. nimeona
  nisianze mbali sana, nishaanza kupeleka propasals kwa wana jf ambao nahisi wananifaa.
  kusubiri nifatwe hali penye pontential nimepaona sio mpango!

  Saizi nataka mwanaume wa kuingia naye katika mahusiano kabisa, nisitumie condom tupime
  na afya zetu ikiwezekana hata nizae. tofauti ya sasa na kale sitakubali kudu hadi roho yangu iwe
  inanifanya niumwe kama nilivo umwa juzi kati nikimuona. sikubali tu du hadi tufunge ndoa sitaki tena
  kusali uongo uongo kila ninapotubu huku nikijua jioni yake naenda tena kudou.

  wanajamvi najikabidhi kwenu kwa ushauri wa kuweza timiza nia yangu bila kushindwa hii azma yangu.
  Nini Ero nifanye na nini niepuke? Makungwi wote wa mmu nitaomba tuition ya kuwa mke mwema.
  Btw boyfie wa sasa wa mujini nimemuacha, hafai kuwa dady wala hubby. yeye anafaa ushikaji tu!  mwaaaaaaaaah! I feel born again. :whoo:
   
 2. Dr.kapama

  Dr.kapama Senior Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongera mwanadada....
   
 3. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  daaaaaaa haya tumsubiri shemeji .......hongera pia kwa maamuz
   
 4. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Come to me and you wont regret.Am a super bachelor for the time being but we can work out something and you will get to see your friend Mwali on daily basis b'se i share the same roof with her...What do u say??
   
 5. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ero hongera sana! ngoja niwaachie wakungwi wakumwagie hilo darasa...ila hongera kwa kupitia mengi kwenye sex lol is part of life wala usijishangae...
   
 6. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0


  Nimesahau kusema kuna break ya mwaka mmoja.

  bado mapema, lazima nihakikishe nina vigezo vya kumove on na kuwa wife. mwaaaah.

  wapi Mwali? mbona simuoni? mwambie aje this way natamtaka.
   
 7. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kati ya hao 29 hukupata hata mmoja??
   
 8. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Malengo hayakuwa kuwa nawo maishani, ilikua kwa ajili ya kula maisha na sex.
   
 9. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Haupishani sana na yule aliyeishia SWEET NOVEMBER.
   
 10. J

  JOJEETA Senior Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahahah huishi vituko wewe looo........haya kila raheri mama ,umpate unaemtaka.c msemaji sana bt i wish u ol da best
   
 11. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  You are not serious lady go on with your little charade.Mwali is kinda busy lately hata mimi namuona mara mojamoja.
   
 12. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Such a kwita. nimeweka viwango vyangu vya kupimia. bibi yangu alishaniambiaga nyie

  wanaume sio ndugu zetu hata nikulambe koni. kukuambia tu nasubiri mwaka

  umeshaniona siko creious. u & me nani hayupo creious? unataka mie niwe mke wako

  unataka tuoane kesho? nimejipanga Ambitious. sidanganyiki!
   
 13. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Erotica darling, hongera sana kwa maamuzi yako. MUNGU akutangulia.

  Ila kuna sehemu umesema you are a good lover so utajilove mwenyewe.................Sasa kama ulishazoea ku-du, ukijisikia ku-du wakati bado Mr. Husband hajapatikana umeshajiandaa utafanyaje? ?

  MUNGU na akutangulie Mamii
   
 14. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ni maamuzi mazuri Ero mie nakutakia kila la kheri umpate umtakaye ingawa kwa CV uloweka hapa wengine wanaweza kusita kujitokeza kwa kuogopa experience ulonayo maaana kwa mtizamo wangu u must be highly experienced and u need someone with enough experience maana najua hao 29 hawakuonja asali na kuingia mitini wengi walirudia several time.....inanikumbusha signature ya SMILE...

   
 15. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Congs kwa maamuzi magumu...bt u need 1more thing, "kuyasimamia maamuzi yako"

  hapo ulipo ushamaliza utoto na umeamua ku-setle... lakini utakayempata huwezi jua kama kweli na yeye kamaliza utoto au bado anataka kurukaruka akidhani we ni mwenzie... ushauri wangu, jijengee heshima kwa jamii na mume mwema atatokea huko ila hapa JF kumpata itakuwa ngumu maana ULIVOJIANIKA
  ...kaaa!! I guess unaitaji hata kubadili hata jina lako..!

  kiufupi hakuna wanaume atapenda kuskia history ya mwenzi wake, inachefua na inapunguza hamu ya NGONO! keep ur mouth shut, au uongee +ve words ili kuijenga familia yako... NIhaYO tu EROTICA
   
 16. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Hamu najua itakuwepo. ila nitaepuka yote yale ambayo unifanya nitake kufanya.

  ikitokea nina hamu basi naji love bila hiyana. sante kwa maombi yako na pongezi.

  neno la ushauri tafadhali dada. nakutegemea kunipa maujuzi.
   
 17. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkirua idadi isikutishe. teh teh teh. watu wanalala na watu kibao hawasemi tu hasa watakatifu wa mmu,

  wanaona aibu na woga, wanawaonea aibu wale ambao ukute kalala na wengi kuliko hata yeye.

  kuwa experienced sio tija, i enjoy sex, nikimpata mbovu ama bora kuliko mimi tutafundishana tu tufurahie sex.

  Nipo wazi, akitaka anichukue akitaka aende zake asiniletee utukufu wa uongo na kuniona mbaya!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Niya yangu ya kusimamia maamuzi ndio yaliyonifanya nirushe thread ili nipate ushauri.

  hapa hapa jf nina hope nitapata, kuna watu huona zaidi ya kilichopo. sio lazima ikishindikana basi.

  Hili jina sasa kulibadili ishu. from Erotica to nani?? Labda aka yangu iwe Ero tu hivo hivo.
   
 19. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ndahani wea have u bin? nilikumiss! mwaaaaaah!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Umeshazoea kubembelezwaaaaa!!! au sio sasa wasubiri waje wanaojua hiyo michezo.
  Mimi nimeweka proposal mezani na moyo wako unao hapo hapo sasa hiyo probation period ya nini?If it is a yes a yes if a no a no.Hakuna kuuma kucha hapa zama hizo zimepita zamani.Mwaka mmoja nakusubiri wewe tu wakati ushafikisha wapenzi 29,kasema nani!!!
   
Loading...