Nimeacha SEX! Eeeeh Ero jipe nguvu ushinde!

Natuma pm nyingi wengine nasahau, ngoja nikutumie upya. alafu au nini?

Erotica has chosen not to receive private messages or may not be allowed to receive private messages. Therefore you may not send your message to him/her.

If you are trying to send this message to multiple recipients, remove Erotica from the recipient list and send the message again.
 
Kumbe ndio maaaaaana!!?? mie natuma zinapotea na wewe ukituma ndio unapata ujumbe huo Ndahani?

Mods wea ar u pamoja na Invisible wenu mje mnieleze tatizo lipo wapi?? Kaaaaah! mie tu ndio nimeonewa?
 
Last edited by a moderator:
Sijti ni kwa nini ulitaka ufikishe hao 29 kisha mumeo awe wa 30,dah!Uko used mno nahisi tairi zote zimeisha zimebaki rim!
 
Kumbe ndio maaaaaana!!?? mie natuma zinapotea na wewe ukituma ndio unapata ujumbe huo Ndahani?

Mods wea ar u pamoja na Invisible wenu mje mnieleze tatizo lipo wapi?? Kaaaaah! mie tu ndio nimeonewa?

Mi sijawahi kutuma....nimeona tu hiyo msg....ila wewe huwezekani kwa ujanja. Unataka kumuingiza mtu mjini mtu kichwa kichwa,lol!
 
Sijti ni kwa nini ulitaka ufikishe hao 29 kisha mumeo awe wa 30,dah!Uko used mno nahisi tairi zote zimeisha zimebaki rim!

mb** yako huwa inapungua ukubwa kila ufanyapo? kama ndio then kweli nipo used!

watu tunafanya mambo kwa malengo sio tu vitu vinavo husu pesa, hata vinavohusu SEX.
 
kwa mimi hunifai maana utakuwa umetumika sana mpaka nahisi sitafaidi. jamani hebu fikiria 29 wote wamepita eti mimi wa 30 nitaweza kweli? ingawa kuna usemi ng'ombe hazeeki maini lakini mhii kila nikifikiria roho inakataa labda ataokea wa kukufaa nakutakia mafanikio mema
 
Hi love, nikupe hongera kwa kufanya mabadiliko makubwa. As always l am here to support you in anythhing, you just name it.

Kwa vile ni mtu unayesimamia maamuzi yako, nina uhakika utashinda; na utapata mtu mwenye mapenzi ya dhati ilmradi nawe uwe tayari kupenda. Paxman alikuwa analilia pendo lako ujue, na kuonesha how torelant he is akakubali masharti yote il mradi awe karibu nawe, remember?

BTW l did miss you a lot, hadi nikataka kutafuta kwa thread.

Napenda pia signature yako mpya.
 
Last edited by a moderator:
kwa mimi hunifai maana utakuwa umetumika sana mpaka nahisi sitafaidi. jamani hebu fikiria 29 wote wamepita eti mimi wa 30 nitaweza kweli? ingawa kuna usemi ng'ombe hazeeki maini lakini mhii kila nikifikiria roho inakataa labda ataokea wa kukufaa nakutakia mafanikio mema

sitaweza kubali mtu mwenye mawazo kama yako, nakuona bado upo ndotoni na unadhani

dunia ilisimama pale Eva na Adam walipo kuwa bustanini. hivo hata wewe hunifai. sante lkn kwa welwishez.
 
Nipo Mangi..mbonya tsafo!??
Najaribu kumuelewa dada Erotica na kuona kama nitapata fursa ya kuwa na moyo wake..

Poa Mkuu inyi ngimcha kapisa monowama....usiwe unapotea hivyo...

Back to the topic
Erotica
kajitahidi kuwa mkweli na kama umekubaliana na ukweli wake na kama CV yake imekuvutia ipe roho kitu inapenda mwanawani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom