G Mpoleeee
Senior Member
- Feb 9, 2012
- 153
- 16
- Thread starter
- #61
hehehe kweli nimejionea mwaya... Sasa kuwa makini usijemwagiwa tindikali bure...
hakuna wa kunpata kwa tindkali! Hapa brek ya watu wenye vihere here!
hehehe kweli nimejionea mwaya... Sasa kuwa makini usijemwagiwa tindikali bure...
Nitaongoza maandamano kwa PW kudai Golden aondolewe ban.
Pole sana kwa kummiss pacha wako..
Ila mind yake,kama si mind yake,mdomo wake,kama si mdomo wake,basi vidole vyake.... Ni Questionable!!!
Mweke chini,umwelekeze.. Najua atakuelewa..
G mpolee hujaandika bongo flava kweli kwenye pepa yako?
hahaha atakuwa alichora samaki
yaaaani hata cielew dada. Kuna mod atakua na bifu na wivu na mm sbb Invisible alilala kwangu wk 1 kumfundsha IT.
ongeza moja na nusu utapata na ulimi pia.