nime mmiss Golden Mpoleeee

nime mmiss Golden Mpoleeee

aisee kozi nzuri sana iyo,ina market sana..kuna jamaa zangu wengi kwenye kampuni zao wanatafuta sana watu kama wewe..tuendelee kuwasiliana tu..vipi upo hostel au unatokea home?

nipo hostel. Jamaa zako wana kampni kubwa kubwa?
 
kaka naona spidi mia kama kawaida
 
nipo hostel. Jamaa zako wana kampni kubwa kubwa?

safi sana,unajua kukaa hostel inakuongezea mda mzuri wa kuconcentrate..

Jamaa zangu wana kampun kubwa tu,za kuimport na kuexport bidhaa mbalimbali haswa magari,ata ukitaka gari kwa bei nzuri tunaweza kukuagizia,majina ya kampun nitakuPM sunajua hapa macho mengi.

Vp lakini mbona huwa unapotea sana lakin??huwa namiss sn swaga zako.
 
hizo dall za woga. Cpend me woga kwan watakujua kwa haya mafeki id? Ww bwabwaja yote hapa tumalzane! Sasa usianze kutoa ahad ambazo huwez kamilsha. Ukinipa 1 M mm poa tu. Na hunigus bila kukabdh mshiko tukionana. Hakksha umejinga na airtel mane kabla ya lolote waniingizia then maongez yuatafuata.
 
kuna Id nahisi zitaunganishwa mda si mlefu.
 
hizo dall za woga. Cpend me woga kwan watakujua kwa haya mafeki id? Ww bwabwaja yote hapa tumalzane! Sasa usianze kutoa ahad ambazo huwez kamilsha. Ukinipa 1 M mm poa tu. Na hunigus bila kukabdh mshiko tukionana. Hakksha umejinga na airtel mane kabla ya lolote waniingizia then maongez yuatafuata.
Makubwa!!! haya tupe iyo airtel na mimi uniuzie kidogo, ya laki mbili hamna? au ni kuanzia milioni moja na kuendelea tu?
 
toka lin tren ya umeme ikapita kwenye reli ya kienyej? Sbb ni ww fanya lak 9 na 90.
 
G. Mpoleeeeeee hebu nambia kwa nn kila siku wanakupa ban
Jana nakutafuna naona ban ,nini mbaya na wewe bi mdogo?
 
hizo dall za woga. Cpend me woga kwan watakujua kwa haya mafeki id? Ww bwabwaja yote hapa tumalzane! Sasa usianze kutoa ahad ambazo huwez kamilsha. Ukinipa 1 M mm poa tu. Na hunigus bila kukabdh mshiko tukionana. Hakksha umejinga na airtel mane kabla ya lolote waniingizia then maongez yuatafuata.

chill out babie!

Unajua we Mpole unastahili kitu special sana kama we mwenyewe,the Golden Mpole with golden swagg..mtoto wa ukweli sana.
Twende sawa tu utapata zaidi ya unachoitaji,malaika wazuri kama wewe wanaitaji vitu spesho..
 
G. Mpoleeeeeee hebu nambia kwa nn kila siku wanakupa ban
Jana nakutafuna naona ban ,nini mbaya na wewe bi mdogo?
ngoja niwasiliane na mod asimban maana kabla hajaniuzia kidogo, maana kumbe naweza kubargain
 
G. Mpoleeeeeee hebu nambia kwa nn kila siku wanakupa ban
Jana nakutafuna naona ban ,nini mbaya na wewe bi mdogo?

yaaaani hata cielew dada. Kuna mod atakua na bifu na wivu na mm sbb Invisible alilala kwangu wk 1 kumfundsha IT.
 
chill out babie!

Unajua we Mpole unastahili kitu special sana kama we mwenyewe,the Golden Mpole with golden swagg..mtoto wa ukweli sana.
Twende sawa tu utapata zaidi ya unachoitaji,malaika wazuri kama wewe wanaitaji vitu spesho..

tena mm ni mzuri hasa! Makalioa yang, matiti tangu na kakiuna haka kanyigu mithili ya malaika. Na kudo' ni fan yang no 1
 
Back
Top Bottom