Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

4 Vionjo vya Arsis. Tiba ya ajabu" 1


Hiki ni kimoja ya kionjo kifupi sana cha Arsis, kasema weka wazi watu wafaidike:

Kwa wale wanaouliza kuhusu tiba jamani, kwanza tuelewane, mimi sio mganga wala sio mtu wa tiba. Mimi Nafahamiana na Arsis nafahamiana na jini Bakora na kisa nimekielezea nilivyowafahamu. Mgtu wa gtiba alikua babu yangu, mimi sijairithi hio kazi. Arsis kuna siku alinambia hivi kuhusu hapa JF.

Arsis, kuna tiba muhimu sana hapa JF. Hao wanaoitangaza sio waganga wala watu wa tiba lakini wanayo. Hiyo mimi naijuwa waliipoata wapi na kwanini waliipata. Sio kupitia kwangu lakini walipewa na jini la ukoo wa guyo mama. Ni jini lipo kwenye ukoo, ingawa alieipata hio dawa ni dawa huyo mzee lakini kwa kuelekezwa na huyoi jini bila yeye kujua.

Mimi: Dawa ipi hio.
Arsis: udongo, unatibu kila aina ya matatizo ya ngozi. ho mjukuu wao aliungua wakaoteshwa tiba mnayo kwanini hamuitumii. Mengine ukiwasoma JF utawaona. Wenyewe wameiita kivyao lakini hio jina lake ni lingine kabisa tunavyoijua sisi.

Mimi: Nipe jina niitafute.

Arsis; Hio dawa kuna watu wajanja, wameiona hapa JF sasa hivi wamebadili majina wanajiita Dokta, haijawahi kushindwa ugonjwa wa ngozi.

Arsis akanipa jina na mimi nikaifatilia, nikampigia huyoi mama akanambia ipo kariakoo, nikaifata , ninayo sijauitumia. Arfsis akanambia ndio hiohio. Usiidharau hhio, inatibu kila kitu kwenyue ngozi, mpaka saratani ya ngozi.
Mimi: Arsis, basi hao waee matajiri sasa hivi.
Arsis: Hawawezi kuytajirika kwa hio dawa, hawajui Wanaofaidika sasa wanaonunua kwao. Lbda wajukuu zao waafaidika wakijua, thamani yake, lakini wapo wapo tu, wamekua wanaiona nyumbanithamani yake, wao wanaona Mwenyezi Mungu kawapa na wao wanasaidia watu, wanaiuza kama bure jinsi ilivyo na nguvu. Labda wajukuu zao watatajirika nayo, lakini wamekaa hawana habari nayo kabisa, kwa kua wanaiona kwao kila siku hawajui kua haiatikani hovyo kama hujaoneshwa ilipo.

Mimi: hapa jamani nitawapa kisa sio cha tiba lakini kinahusiana na mali za ardhini ambazo baada ya kukosa mali za kijeriumani, Arsis akasewma yeye ana kitabu kingine kinatwa "kenz al ardh" maana yake hazina za ardhini, ndio hicho kimefannya aijue hio ytiba ya ngozi na nani anailinda chini ya Ardhi.

Nimeleta haya tiba jamani, wale wanaotaka tiba hata za kusomewa Qur'an au zingine, kuna watu naweza kuwapa namba zao. Mimi sifanyi kabisa. Mi i sio mganga wala sio mchawi. Arsis pia sio mganga wala sio mchawi, anasema yeye anatoia maarifa tu, hatoi uganga wala wal uchawi wala hafanyi utrabiri wala hafanyi ramli.

Natumai nimeeleweka, tiuchote maarifa hapa, halafu kila mtu ajue atatua vipi tatizo lake. Binafsi naweza kusaifdia ushauri na nani na wapi, kwa kua nina marafiki kama Jini bakora lakini sifanyi ano tiba wala sizijui. babu yangu ndio ilikua kazi yake ya tiba, akikuona tu, anajua umebeba hirizi, ankwambia itoe. Mimi hayo siyajui, isipokuwa najuwa watu na majini wabaya wakiepo. Sio utabiri wala ujanja wangu, nina pete ya Arsis na vijini vyake, vipo, lakini mika inapita siku hizisina kazi nao wala Arsis hawatumi kwangu.

Ahsanteni, nimeona hiki kionjp kimenijia nikiweke wazi.

Najibu maswali tu sasa mpaka nikiwa na mida nianze kionjo cha Ungujja cha msukule.
 
Kwaiyo udongo unaweza kutibu saratani ya ngozi?? Au Mimi sijaelewa.

Mwambie arsis aoe au yeye akikaa single hapati tamaa?
 
Tupe ushahidi, huo "wa Uislam na shirki". wacha porojo.

Kwanza kama wewe ni nkristo basi elewa kuwa automatic unafanya ushirikina. Au utatu siyo kushirikisha?
Kuamini na kutegemea majini siyo shirki!? Kwamba unatibu kwa nguvu za jini na bado unaamini uko sahihi!!!??? Au Allah ni jini?
 
Kuamini na kutegemea majini siyo shirki!? Kwamba unatibu kwa nguvu za jini na bado unaamini uko sahihi!!!??? Au Allah ni jini?
Qur'an inasema "hajakufuru selaiman. waliokufuru ni mashetani, wanawafundisha watu uchawi".

Mtu afanyiwe uchawi, wewe umtibu, inakua kufuru hiyo?

Mchawi ana haribu, mganga ana tibu. Hata hawa madaktari Kiswahili chake ni mganga, kiarabu ni ""tabib ukikazia na u mwisho hapo inakuwa Kiswahili.

Fikiri.
 
Halafu nimesoma mwanzo wa simulizi yako kuna mzizi ulipewa na Jini Bakora na akakupatia maelekezo yake ya kwamba ukiutafuna hauwezi kuonekana hadi pale utakapo tema huo mzizi toka kinywani ndio utaonekana kwa macho ya kawaida, swali langu kwako Bw. Arsis huo mzizi kuna mahali popote ulishawahi ujaribu na ukapata matokeo chanya? Lete majibu boss
 
kama hujapata jibu basi hilo swali linamuhusu Arsis atakuja kujibu. Kama linanihusu mimi niulize tena.
Simba.
Okay..

Swali nilishauliza na jibu nilijibiwa kwamba utanielekeza wewe ......na asubuhi post yako number 1342 umenijibu.

Imetokea post yako number 1068.

Arsis alinijibu post number 1038 baada ya kuuliza swali post number 1023.

Natumaini nimerefer vizuri umenielewa vzr.
 
Mbona hujataja jina la huo udongo unaotibu magonjwa mbalimbali ya ngozi? Ikiwezekana weka na picha yake ama elezea ni wapi huo udongo unapatikana. Asante
Huyo nimeshamjuwa, yupo hapa JF, ngoja nitafute uzi wa yule rafiki yangu, namjuwa mpaka namba zake kazitangaza hapa jF, mpigie 0769302206 anaitwa Bi Zainab, mumewe anamwita "Bi Mrembo", anaonesha ujana wake alikua mrembo kweli kweli, si mchezo. Hapa JF wengi wametumia hiyo tiba yake, mimi mmoja wapo, mpaka leo naitumia kulainisha ngozi kama urembo tu, Ni nzuri sana.
 
Nashukuru sana, ngoja niwasiliane naye kwa msaada zaidi, naomba ukipata huo uzi uni tag tafadhali 🙏🏾
 

Usichelewe sana simba
 
Nashukuru sana, ngoja niwasiliane naye kwa msaada zaidi, naomba ukipata huo uzi uni tag tafadhali 🙏🏾
Huyu hapa, kwani yupo mbali, ni hapahapa JF. Hiyo tiba ni kiboko, mimi nampigia debe, nimeshaitumia sana. Ongea nae tarartibu ni mtu mzima sana sasa. Namba zake ni 07693022060 au WhatsApp 06252449606.

 
Asante sana ngoja niupitie hapa
 
Arsis alinambia kuna wachawi na wanga wengi humu hawataki niandike. lakini anasema andika tu, usiogope. Andika kila unachojua kwa namna unavojua.
Simba
Acha kutuona wajinga, unavyoforce story yako ionekane ya kweli ndo unazidi kuharibu. Huyo Arsis wako baki naye kichwani maana hayupo so acha upuuzi andika story tuburudike tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…