Mwami Atale
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 489
- 1,787
Ni kweli lakini usisahau pia kuna Siri ambazo sio za kila mtu...... Kuna vitu watu huwa hawaambiwi mpk waulizeNa atashangaa zaidi,Allah anasema katika qur'an yeye yupo karibu nasi kuliko hata sisi tulivyo karibu na mshipa wetu wa shingo,sasa ebu jiulize mshipa wa shingo upo mwilini mwako lkn Mungu yupo karibu zaidi kuliko huo mshipa
Nimepata jibu moja,sisi viumbe tumepuliziwa roho itakayo kwake,kwahiyo roho ambayo ipo ndani yetu hakika ndio ukaribu wetu na mungu zaidi.
Lakini kwa kukazia zaidi,iwapo bwana simba akitaka kuongea na arsis huwa anaongea nae kwa mawazo tu na kumbuka huyo ni kiumbe wa Mungu,je vp kuhusu muumba mwenyewe?
Naam na hasa hasa usiku mnene ndio una daraja kubwa sana,lau watu wenye changamoto zetu tukaamka usiku wa manane na kuzungumza na Allah hakika matokeo tutayaonaNi kweli lakini usisahau pia kuna Siri ambazo sio za kila mtu...... Kuna vitu watu huwa hawaambiwi mpk waulize
Kuna mazungumzo ya dharula na mazungumzo rasmi... Simba akiwa ndani huzungumza na Arsis kwa dharula lkn akiwa kwenye mlango wa kiroho huzungumza mazungumzo rasmi🤝🤝
Swali Kama Arsis anaweza ongea popote na akawa comfortable kulikuwa na ulazima gani kumwambia awashe gar kwenda baharini???
Kwahyo hata Allah yupo kila sehemu na anasikia na kujibu popote lakini Kuna maeneo ukienda kunakuwa na mazungumzo rasmi 🤝🤝
Logic yangu ni hiyo
jina jili lina idadi ya kulitamka? Na je lini idadi vilevile la siku kulitamkaNa kuna hili jina la Allah ambalo ukitaka kupewa siri mbali mbali ebu dumu nalo hakika utayajua mengi Ya hakam,taja hili mara nyingi nyakati za usiku utakuja kuyaona mengi
Utulivu na ukimya. Katika Uislam huitwa "Sakinah" (tranquility).Ni kweli lakini usisahau pia kuna Siri ambazo sio za kila mtu...... Kuna vitu watu huwa hawaambiwi mpk waulize
Kuna mazungumzo ya dharula na mazungumzo rasmi... Simba akiwa ndani huzungumza na Arsis kwa dharula lkn akiwa kwenye mlango wa kiroho huzungumza mazungumzo rasmi🤝🤝
Swali Kama Arsis anaweza ongea popote na akawa comfortable kulikuwa na ulazima gani kumwambia awashe gar kwenda baharini???
Kwahyo hata Allah yupo kila sehemu na anasikia na kujibu popote lakini Kuna maeneo ukienda kunakuwa na mazungumzo rasmi 🤝🤝
Logic yangu ni hiyo
Nilitaka jibu kwanza mkuuUlitaka kusemaje ndugu
'HIVO VITABU VIPO, VISOME'Kama nilivyokuahidi, kua Arsis anamfahamu na alishahi kunipa kisa cha Yesu zamani. Nimeipata kumbukumbu yake.
Nilipomuuliza Arsis alinipa majibu ya ajabau sana, ambayo ni kinyume cha mafundisho ya Ukristo na Uislam na yenye utata sana.
Utata wa kwanza; ni kuhusu Maria Bikira ( Bi Mariam kwa Waislam) hakua bikira kabla ya kuzaliwa kwa Yesu na Yesu hakua mtoto wake wa kwanza.
Utata wa pili; Mariam mama wa Yesu ni Mmisri wa ukoo wa wafalme wa Kimisri aitwae Meritaten
Huu utata wa pili, Arsis alisema "tafuta kwenye simu yako 'meritaten" utaiona picha yake iliotengenezwa wakati wake, sio hizo za kuchorwa zilizojaa kila sehemu. Ukweli huo unafichwa sana.
Utata wa tatu; Arsis anaamini Waislam wana kitabu kizuri sana, Qur'an, lakini hawakisomi kwa kukielewa, wanakisoma kwa kuimba tu.
Utata wa nne; Nilipomuuliza kuhusu Biblia akasema, hicho ni kitabu cha wagiriki. Nilipomwambia afafanue zaidi, akanijibu , mimi sikuja kukufundisha Biblia wala Qur'an, hivyo vitabu vipo, visome usichokielewa niulize.
Navisoma sana sana sana. Wewe unavisoma?'HIVO VITABU VIPO, VISOME'
Nilipewa pete na Bakora na uwezo wa kuwaita wenye pate na bakora na wasaidizi wao tu.Kwa hiyo ni kama alivyofanyiwa Simba? Kapewa pete. Kafundishwa jinsi ya kuita majini...
Binafsi hamuwezi kuniona, mimi sio mganga wa tabibu wala Sheikh.Arsis
Unaposema tuje jukwaa la wazi kuna Mambo mengine ya ndani mtu hawezi kufunguka hapa.
Basi Uwe unatulekeza unapopatikana tuje tukuone kama inawezekana
Nimeandika dawa zako zote ulizotowa humu, labda iwe zingine sijaziona.Binafsi hamuwezi kuniona, mimi sio mganga wa tabibu wala Sheikh.
Nilijaribu kuwaelekeza watu humu waende wapi wakapate tiba ya matatizo ya ngozi mwilini watu wakaona ndio ilikua sababu ya huu uzi. Nilishaanza kuongea na Sheikh mmoja amabae mimi namfahamu sana kua ni mtu wa tiba mtu alienyooka na mpole sana, nilipoona manaeno yanazidi nikasitisha kumpigi na kuongea nae. Huyo ana dawa mpaka ya saratani kafundishwa na Arsis kupitia kwangu. nafahamu kua alimtibu mtu tezi dume na hio dawa mpaka madaktari wameshangaa.
Kusema kwangu sitaki kuongea na mtu private ni kuwapa faida wengi, unaweza kuja na ID feki ukauliza jukwaa la wai kama ulionayo inajulikana.
Nimeshatoa dawa nyingi kwenye huu uzi, ambazo watu wakitumia ni tiba kubwa sana. Ushauri wangu hauhitaji mtu wa tatu, wewe mwenyewe unaweza kutatua matatizo yako bila mtu mwengine. Lakini kama pesa zinawawasha mnatafuta pakuzipeleka, wapo watu ambao ni watu wa tiba kweli, sio matapeli lakini hawafanyi mambo yao bure.
Simba.
Hio ndio tahajudi na uradi kwa pamoja.Na kuna hili jina la Allah ambalo ukitaka kupewa siri mbali mbali ebu dumu nalo hakika utayajua mengi Ya hakam,taja hili mara nyingi nyakati za usiku utakuja kuyaona mengi
Sijafahamu hapo, malizia kuandika kipande hiko.Sema Arsis anakwama sana ukiona watu wanaj
Simba,Nimeandika dawa zako zote ulizotowa humu, labda iwe zingine sijaziona.
Story zipo, haziishi, vionjo vya Arsis ninavo vya zaidi ya miaka 30.Kwahiyo story hakuna Tena sahiz ni mazungumzo
Nimekuelewa unachosema, lakini hao viumbe wasioonekana wenye ushetani, wengi wao ni waongo.Dah huu mtihani mkubwa Sana.... Watu wengi n wahanga wa hili tatzo ila, amini nakwambia Bora upatwe na mashetwan wanaotaka kukufanyia ubaya mwingine kuliko huyo kiumbe😶😶
Yani n anabalaa na nusu
Sio Kibaha ni kusini huko. Zipo video clips za Sheikh Kishki alipomtembelea.Binadamu walijiamulia kuwa na miungu yao kutafuta shortcut ambazo hazipo, au zenye madhara.
Nasikia hata huko Kibaha kulikuwa na mganga maarufu akijiita Mungu wa kabili (wa pili)
Wala halina idadi maalum,ni wewe tu na juhudi zako,kikubwa udumu kulitaja,unajua Allah anapenda ibada za kudumu hata kama unafanya kwa uchache,mfano hata kama kwa siku unamtukuza mara tano tu kwa kusema Subhanallah [umetakasika Allah] basi hakika anapenda sanajina jili lina idadi ya kulitamka? Na je lini idadi vilevile la siku kulitamka
Na yale majina ya Barhatiyah yamo humo ndani ya majina hayo 99Wala halina idadi maalum,ni wewe tu na juhudi zako,kikubwa udumu kulitaja,unajua Allah anapenda ibada za kudumu hata kama unafanya kwa uchache,mfano hata kama kwa siku unamtukuza mara tano tu kwa kusema Subhanallah [umetakasika Allah] basi hakika anapenda sana
Hilo ni miongoni mwa majina 99 ya Allah,na Allah anasema hakika yeye ana.majina mazuri mazuri basi niombeni kwa kupitia majina hayo
Ok, thanks kwa usahihishoSio Kibaha ni kusini huko. Zipo video clips za Sheikh Kishki alipomtembelea.
Kibaha kuna anaejifanya mtume Eliyasi.
Simba.