Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,584
Arsis ni nani, ni jini ama ni nani? Maana siyo binadamu kama mimi na wewe, naomba hapa paelezee vizuri.Sura Ipo na mtu yupo lakini anakua hapendi tutazamane uso kwa uso au nikimuona hivi sutra naiona sio nilioiona jana au mapema.
Simba.
uu ni uzi wa wazi, ukiona majibu yangu ni mepesi tusaidie wewe kwa majibu mazito, ili wengi tupate faida. Elimu haina mwisho.Inaonyesha bwana Arsis majibu yako ni mepesi. Mtu yoyote anaweza kujibu hivyo. Kama hawana maasi je? Tunajua mawazo.ya binadamu yanazurura sana. Macho.yanaona. jioni tunasali kushukuru ya siku. Asubuhi tunasali kuanza siku. Wewe kama mtaalam una majibu gani ya ziada?
Leta kesi sio kufikiri tu, ingekua hivi au vile. Hatuendi hivyo.Inaonyesha bwana Arsis majibu yako ni mepesi. Mtu yoyote anaweza kujibu hivyo. Kama hawana maasi je? Tunajua mawazo.ya binadamu yanazurura sana. Macho.yanaona. jioni tunasali kushukuru ya siku. Asubuhi tunasali kuanza siku. Wewe kama mtaalam una majibu gani ya ziada?
Sasa kama kuna hao kina vibuki tusiowaona. Kuna ulozi tusiouona. Kuna majini tunatupiwa, ni vipi tunaishi kwa usafi wa roho na mwili wakati binadamu wenzetu wanatuharibia? Wewe na ukoo wako mna ulinzi wa kijini. Kwa wengine waishi vipi? Yani kwa kuishi bila dhambi unadhani ndio ukomo wa kujaribiwa? Ndio kufanikiwa maishani? Maisha yenyewe yamevaa jinsiuu ni uzi wa wazi, ukiona majibu yangu ni mepesi tusaidie wewe kwa majibu mazito, ili wengi tupate faida. Elimu haina mwisho.
Binafsi naamini kufanya vitu kwa wepesi wake sio ugumu wake. Kwanini nimtie mtu taharuki isiokuepo?
Mimi kwa miaka mingi sana nimefanya kazi za ufundi wa magari tabata, mzee wangu ananiusia mpaka kesho usikuze kitu kama mafundi wa tabata, wakati ananambia hayo mimi na yeye ni mafundi wa tabata.
Kwa tabia yake hio, imefikia mpaka tabata mafundi wanachukua kazi halafu wanazileta kwa mzee wangu awatatulie matatizo yao, wao wanakwenda kuchukua ujira kwa mteja wao mara mbili au tatu ya walicholipa kwetu.
Nikimwambia Mzee kuhusu hilo, anasema watazame hali zao na zetu, na kazi ni hio hio. Napata jibu.
Simba.
Simba hongera sana, Swali la FF umetumia busara nyingi kulijibu, nikupongeze kwa darsaaa adhimu unaloendelea kutoaKwa ufupi huyo ni simba mwenzetu. Ukoo wake ni maarufu sana Tanga mjini. Mengine yote ugtayapagta kwenye habari. Ni habari kubwa sana hio.
Hii Sheikh ukiisoma Qur'an imeielezea vizuri na mau;aama wa Kiislaam wamefafanua kisomi, kasoro ni lugha tu tofauti.
Mfano Surat Israai (Bani Israel) au ukisoma popote kwene Qur'an neno )Jowz) pair. Hata Kisa cha adam na pair yake iliokua Peponi, wengi wameitafsiri nimkewe (Hawa) sijui wamemtoa wapi., Kwa mujibu wa Arsis hio ni quantum physics. Pia utaipata kwenye Yassin na sehemu zingine.
Arsis anasema hii Maulamaa wa Kiislam kwa miaka mingi sana wanaijua quantum physics, majina tu yanapishana, Arsis amechomekea anasema hata hilo neno Quantum linatokana na Kiarabu Antum.
Elimu ni bahari
Simba.
Hakuna jini wala binadam anaeweza kukulinda zaidi ya Mwenyezi Mungu.Sasa kama kuna hao kina vibuki tusiowaona. Kuna ulozi tusiouona. Kuna majini tunatupiwa, ni vipi tunaishi kwa usafi wa roho na mwili wakati binadamu wenzetu wanatuharibia? Wewe na ukoo wako mna ulinzi wa kijini. Kwa wengine waishi vipi? Yani kwa kuishi bila dhambi unadhani ndio ukomo wa kujaribiwa? Ndio kufanikiwa maishani? Maisha yenyewe yamevaa jinsi
Hizo ni lugha (lisan) za kukuchapa pesa zako kiulaini.Ukiambiwa nyota imeshushwa au imechafuliwa ,inakuwa nani anaichafua,?Au una vifungo hii inakuwaje?Na jinsi gani waweza jisafisha na dawa gani?
Yup ipo hiyoSwali zuri sana hilo.
Kwanza kwa sauti zao, halafu ile uwepo wao tu ukishauzoea unajua hapa yupo fulani. Binadam tuna hisia za ajabu sana. Hatujui kuzitumia tu. Arsis ananipa sana masomo ya hisia za ibinadam. Mimi kichwa changu tu cha mawaya ya magari. Lakini hachoki tutaleta hivyo vipande visobisogo kiila tunavypendelea.
Hujawahi kuhisi kama mtu fulani nyuma yako ukigeuka ikawa ni kweli, ni huyo huyo uliemuhisi?
Simba.
Kuna bwana nilimsikia anasema kuwa eti huwa yanaona soniSura Ipo na mtu yupo lakini anakua hapendi tutazamane uso kwa uso au nikimuona hivi sura naiona sio nilioiona jana au mapema.
Simba.
Hiz ibada na kujiweka karibu na Mungu, inaapply Kwa waumini wa dini zote au waislam tuu?Pole sana.
Ushauri wa kwanza ni ibada na nyote kuacha maasi.
Simba
Kama unaamini au huamini Mungu, abudu ujuavyo. Mimi naamini hakua Mtu asiejua mema na mabaya. Si unaona hata shughuli za Kiserikali wanakuwepo waumini wa imani tofauti wanaomba dua kivyao? Haijalishi.Hiz ibada na kujiweka karibu na Mungu, inaapply Kwa waumini wa dini zote au waislam tuu?
Inawezekana, sina elimu hio. Nitawauliza.Kuna bwana nilimsikia anasema kuwa eti huwa yanaona soni
Shukran, nita research nipate angalau ABC juu ya hii kituHii Sheikh ukiisoma Qur'an imeielezea vizuri na mau;aama wa Kiislaam wamefafanua kisomi, kasoro ni lugha tu tofauti.
Mfano Surat Israai (Bani Israel) au ukisoma popote kwene Qur'an neno )Jowz) pair. Hata Kisa cha adam na pair yake iliokua Peponi, wengi wameitafsiri nimkewe (Hawa) sijui wamemtoa wapi., Kwa mujibu wa Arsis hio ni quantum physics. Pia utaipata kwenye Yassin na sehemu zingine.
Arsis anasema hii Maulamaa wa Kiislam kwa miaka mingi sana wanaijua quantum physics, majina tu yanapishana, Arsis amechomekea anasema hata hilo neno Quantum linatokana na Kiarabu Antum.
Elimu ni bahari
Simba.
Karibu sana tupe elimu, usiwe na wasiwasi kabisa.'Hilo ni ingilio tu'...
Amani
Shukraan.Kama unaamini au huamini Mungu, abudu ujuavyo. Mimi naamini hakua Mtu asiejua mema na mabaya. Si unaona hata shughuli za Kiserikali wanakuwepo waumini wa imani tofauti wanaomba dua kivyao? Haijalishi.
Mimi naelezea kwa msimamo wa Kiislam, ndio niujuao kwa kina.
Simba.
Ahsante,Karibu sana tupe elimu, usiwe na wasiwasi kabisa.
Simba.
Mambo ya Arsis na Simba yatufikirisha sana Waislam, ana challenge za nguvu. Ambazo kwa upande wangu naona anataka tusome kwa kina tunachokisoma, siyo kukariri tu.Tukija Kwa Suala la Adam kuwa wa kwanza au la.. Bado kuna utata kwa upande wangu kwa Mujibu wa Bible hiyohiyo.
Rejea.
"Mwanzo 26 mpaka 30: "
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
29 Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;
30 na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo.
-Kwa hapo unaona waliumbwa watu wawili na wakapewa maagizo kwa pamoja mpaka ya kuzaliana.
-Ukirudi kwenye Habari za Adamu sasa utakuta maagizo ya Kuzaa ni kama laana kwa mwanamke (Hawa) au adhabu ya kosa walilolifanya na kula kwa jasho ikawa adabu ya Mwanaume. (Adamu)
-Bado maandiko yanasema Mungu alimuona Adamu ni mpweke. Je si kwasababu alikua anajua palikua na pea ya Binadamu wa kiume na kike kama alivyowaumba ila sasa kabaki Adam peke ake ndio kumtia usingiz ili huyu mwanamke wa sasa Atokane na yeye mwenyewe na si kumuumbia mwingine tena.
-Kwaniwazavyo mimi, kama Adamu ndie Mtu wa kwanza kuumbwa basi hakuumbwa peke ake au tayari walihaumbwa watu wengine kabla yake.
-Na kama ni yeye, basi inabidi tumfahamu aliyeumbwa nae ni nani na akaenda wapi hadi Adam akabaki mpweke?. Na Je mwanamke huyo sio ndio Shetani aliyemdanganya Hawa? Na kama ndiye je Sio ndio haya Majini tunayopata story zakua na uwezo wakua chochote kile?
Huu Uzi unaniconnectisha Dot Dot nyingi sana ambazo nabahatikaga kukutana nazo katika maandishi na story mbao mbali za kiroho na kimwili plus na tafakari za uhuru wa fikra zangu.