Msihangaoike sana, hilo tatizo dogo sana. Aende hospitali. Kifafa kinatibiwa au kuzuiliwa na kidonge kimoja tu kwa siku, tena kidogo sana na wala hakina side effects za kumstua mtu mzima.Mkuu Arsis, mimi ninaye Dada yangu anateswa na tatizo la kuanguka kifafa.
Tatizo hili limemuanza akiwa mkubwa. Kwa maelezo yake yeye, anadai kuna siku alikuwa anafua nguo zake huko ziwani akatokea ndege jamii ya mwewe akampiga na mbawa zake!
Akawa ameanguka na akapoteza fahamu!
Sasa tangu siku hiyo, tukio la kuanguka na kupoteza fahamu limekuwa likijirudia. Ni zaidi ya miaka kumi sasa Dada yangu anateswa na hii hali.
Tumezunguka sehemu nyingi kutafuta tiba ya ndugu yetu lakini hali hutulia kidogo lau kwa miezi miwili tu lakini wa tatu ataanguka tena...!
Hali hii inamnyima raha Mama yetu. Make hakubali mwanae aishi katika haya mateso. Bado hachoki kutafuta tiba...!
Sisi kama familia tulimshauri apumzike tu amwachie Mungu make uzee nao ushaanza kumsumbua, amebaki kutulaumu kwamba tumemtelekezea mwanae...!
Mkuu nimekuja kwako. Nakuomba utusaidie kumtibu dada yetu aondokane na haya maladhi na Mama yetu apate kutulia.
Kwa sasa yupo Mwanza ila kama inabidi kumsafirisha sisi tupo tayari.
shida yako ni NENO TAWHEED au yanayofundishwa ndani ya tawheed?Halipo kwenye Qur'an. Hapo ni kama unasewma nikwambie Adam sio mtu wa kwanza kuumbwa duniani, wakati hajasemwa kua mtu wa kwanza kuumbwa duniani.
Taweheed ni nini zaidi ya uzushi, ni ubunifu wa watu tu. Hata maana ya hilo neno amabalo halipo kwenye Qur'an umedanganywa. Maana ya yawheed nijuavyo mimi ni kukusanya vitu kiwe kimoja, kama mzigo wa kuni, una kuni nyingi zikikusanywa, zinaitwa kuni vile vile., lakini kuna msobaro humohumo, kunwa mwenbe, kuna mkorosho.
Sasa nyie mmekusanya nini kuifanya Tawheed?
Tawheed maana yake nishakuelezea sasa kama watu kujifunza upekee wa ALLAH kuzijua sifa zake ili wajiepushe na shirki ni uzushi basi kila kitu kitakuwa uzushi kwenye dini.Halipo kwenye Qur'an. Hapo ni kama unasewma nikwambie Adam sio mtu wa kwanza kuumbwa duniani, wakati hajasemwa kua mtu wa kwanza kuumbwa duniani.
Taweheed ni nini zaidi ya uzushi, ni ubunifu wa watu tu. Hata maana ya hilo neno amabalo halipo kwenye Qur'an umedanganywa. Maana ya yawheed nijuavyo mimi ni kukusanya vitu kiwe kimoja, kama mzigo wa kuni, una kuni nyingi zikikusanywa, zinaitwa kuni vile vile., lakini kuna msobaro humohumo, kunwa mwenbe, kuna mkorosho.
Sasa nyie mmekusanya nini kuifanya Tawheed?
Kuna kitu unajichanganya ndugu uliwahi kuulizwa hapa unavyosali magharib rakaa 3 wapi quran imesema uswali rakaa 3? hukujibu embu fikiria huu mfano utapata jibu ya kinachokusumbua.Allah hadithi zkae zipo ndani ya Qur'an, za nje ya Qur'an sio zake. Usisahau.
Unajua Qur'an ina hadithi na visa zaidi ya 60% ndani yake?
usiwe na jazaba ukaanza kuchanganya mada. Mada ulioianzisha wewe ni tawheed.
Simba.
Kama unataka kujifunza twende taratibu ni jibu swali langu shida yako ni nini kati ya neno tawheed na yanayofundishwa ndani ya tawheed?kama uunakiri hakuna, kwanini hufundishi yaliomo? Unajua elimu za kufundisha ni zipi, ziliomo kwenye Qur'an?
Nakuhahakishia hutayamaliza kabla hujabuni mapya yasiokuwamo.
Simba.
Sala na na mada ulioianzisha ya neno Tawheed vina husiana nini?Kuna kitu unajichanganya ndugu uliwahi kuulizwa hapa unavyosali magharib rakaa 3 wapi quran imesema uswali rakaa 3? hukujibu embu fikiria huu mfano utapata jibu ya kinachokusumbua.
unakimbia eeeee ha ha ha ..ni mfano jibu mbona huwa nakujibu mara nyingi tu Arsis alitoa mfano wa mbu hatukumuuliza mfano wa mbu na adam vina husiana nini? unajua kwanini sikumuuliza ? kwasababu najua mifano ndio njia bora ya kujifunza.Sala na na mada ulioianzisha ya neno Tawheed vina husiana nini?
Simba.
Nipo hapa kutoa elimu, futa kabisa neno kukimbia katika ufahamu wako unapojadili mada na mimi. Mimi napenda sana "challenges" nsdio maana mara kwa mara nasisitiza, kila mmoja aseme anachokijua yeye kwa namna yake,mimi nafahamu ndio fursa hio ya kumuelekeza niavojua mimi, mwisho wa siku ni yeye na nafsi yake au akubali elimuanayoipata au akatae.unakimbia eeeee ha ha ha ..ni mfano jibu mbona huwa nakujibu mara nyingi tu Arsis alitoa mfano wa mbu hatukumuuliza mfano wa mbu na adam vina husiana nini? unajua kwanini sikumuuliza ? kwasababu najua mifano ndio njia bora ya kujifunza.
nadhani kupitia mfano huo ushapata majibu haya unaswali lingine ?
Wewe usilolielewa uliza tu, dini zinahusiana na mapepo, majini, mashetani na yanyohisiana nayo, huwezi kuvitenganisha.Mambo yenu ya dini wekeni pembenii watu tupate burudani za vibuki
Sina swali lolote siamini dini yoyote lakini naamini Mungu yupoWewe usilolielewa uliza tu, dini zinahusiana na mapepo, majini, mashetani na yanyaohisiana nayo, huwezi kuvitenganisha.
Simba.
Namaanisha ulikuwa unakimbia hoja yangu na mfano niliokupa sio kukimbia mada.Nipo hapa kutoa elimu, futa kabisa neno kukimbia katika ufahamu wako unapojadili mada na mimi. Mimi napenda sana "challenges" nsdio maana mara kwa mara nasisitiza, kila mmoja aseme anachokijua yeye kwa namna yake,mimi nafahamu ndio fursa hio ya kumuelekeza niavojua mimi, mwisho wa siku ni yeye na nafsi yake au akubali elimuanayoipata au akatae.
Arsis hakutoa mfano wa mbu, ametoa aya ya mbu iliopo kwenye Qur'an. Tena bado hajamaliza kuielezea. Nalifahamu sana hilo la mbu, ni mada nzuri na ndefu, kila Muislam anatakiwa aelewe kwanini kuna aya ya mbu mwanzo mwanzo tu wa Qur'an? Inamaanisha nini?
Mfano upi huo? Sijakuelewa.
Simba.
hakuna dawa hio, utaibiwa. Kuna mashine, inafanya reverse osmosis, hio unainunua kwa kiasi cha lita unazotaka kusafisha kwa siku.Wataalamu kwema jamani, hivi kuna dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji?
Kipi kimekufanya uamini Mungu yupo?Sina swali lolote siamini dini yoyote lakini naamini Mungu yupo
Mkuu hivyo vidonge keshatumia sana!Msihangaoike sana, hilo tatizo dogo sana. Aende hospitali. Kifafa kinatibiwa au kuzuiliwa na kidonge kimoja tu kwa siku, tena kidogo sana na wala hakina side effects za kumstua mtu mzima.
Aanze kukutumia hivyo bila kuacha baada ya mwezi uje kutupa jibu hapa, hali inaendelea au vipi? Tutazama mengine ya kufanya.
Samahani nilikua sijaliona hili swali kabla ya leo.
Simba.
Nenda rukwa ndio utakua nenda kwa wakinga huko makete Kama utawaona waislamu alafu ulizia majini tembeeni sio mnaishi kwa shemeji zenu tu huko BUZAKwa hiyo Waarab ndiyo majini yenyewe na ndiyo maana Waislam pekee ndiyo wanakuwa na majini, si ndiyo? Sijawahi ona mtu aliye safi wa kiroho akawa na majini ni waislam tu pekee. Waafrika tunapigwa changa la macho hapa, tuwaachie Waarab na majini yao.
Oya simba weekend hii shusha vitu!!hakuna dawa hio, utaibiwa. Kuna mashine, inafanya reverse osmosis, hio unainunua kwa kiasi cha lita unazotaka kusafisha kwa siku.
Ni nzuri sana tena sana ni teknolojia tu. Inakutolea maji safi unaoweza kunywa hata ya shimo la choo.
Simba.
Mlimsitishia dawa kwa ushauri wa daktari au mliamua wenyewe tu?Mkuu hivyo vidonge keshatumia sana!
Tulimpeleka BUGANDO akaanzishiwa hizo dawa lakini baada ya kuvitumia kwa muda mwingi, mgonjwa alianza kukonda sana japo kweli hali ya kuanguka ilikoma, kama familia tulimwonea huruma tukamsitishia hizo dawa.
Sasa tangu tumstishie dozi, hali yake inasikitisha sana na inatia huzuni kumwona akiteseka ilhali sisi nduguze tungalipo!
Fanya mpango mkuu ndugu yetu apate kuondokana na hii hali.
Dunia yetu hii inabidi tujifunze. Huu uzi mtazijua siri nyingi sana za kishetani na matapeli wanavyotumia mwanya kujipigia pesa.Dunia ina mambo walah.
Vitu vitakuja usijali, gereji siku hizi kuna vijana wanafanya, mimi nawaelekeza tu, mdio maana unaona saa zote nikiwa na nafasi napandisha vitu.Oya simba weekend hii shusha vitu!!
Au ndio uko bize na magari yako gereji