Yap nililiona mapema sana ukimsoma btn the lines namfananisha na mwalimu anayefundisha kwa mfumo wa kuulizia maswalinzaghamba naona na wewe umepigwa na mshangao.
Usishangae, Arsis ana kichwa kinafikiria tofauti na sisi. Hujaliona hilo katika kumsoma hapa?
Simba.
Umeona sasa!, kwahiyo umekiri kuwa sio kila jambo unalolifanya lipo kwenye quranSi kila ninachokifanya kipo kwenye Qur'an, ambacho hakipo ni hakipo tu, silazimishi kiwepo.
Najitahidi sana kutofanya yote ambayo yamekatazwa na Qur'an, sijaona kama sala ya kusalia maiti imekatazwa au wewe umeona imekatazwa kwenye Qur'an?
Unayo aya ya au aya za Qur'an zinazosema Adam ni mtu wa kwanza kuumbwa au hauna?
Hawa umemtoa wapi?
Simba.
Asipokujibu hapa asikupotezee mda wenye hekima zetu tunaelewaUmeona sasa!, kwahiyo umekiri kuwa sio kila jambo unalolifanya lipo kwenye quran
Ikiwa hivyo ndivyo nimebaini yafuatayo kwenye maelezo yako.
1. Ulikuwa unaswalia maiti bila kuwa na ushahidi wowote kwa kuiga tu wazazi wako.
2. Baadae ukawa unaswalia maiti kwa kusoma kwa muhadithun.
Sasa nisome vizuri hapa..., Ikiwa uliweza kufanya jambo kubwa la ibada ya kumswalia maiti pasina uthibitisho wa quran na pasina uthibitisho kutoka kwa muhadithun vipi unapinga Suala la Adamu ambalo katajwa kwenye quran na wanazuoni wakubwa wenye heshima kubwa katika dini kama Ibn Kathir (Ismail ibn Umar ibn Kathir) katika fasiri yake ya quran na Ibn al-Jawzi katika kitabu chake cha "Al-Muntaẓam fi Tārīkh al-Mulūk wa al-Umam" - Kitabu cha historia ambacho kinaeleza maisha ya Mitume pamoja na historia ya Adam. Wametaja kuwa Adamu ndio mwanadamu wa kwanza kuumbwa.
Sasa nijibu maswali yangu
1. Ni kipimo gani ulitumia kuikubali sala ya maiti na haijaelezwa katika quran na ni kipimo gani umetumia kukataa kuwa Adamu sio mwanadamu wa kwanza na kaelezwa kwenye quran?
2. Ikiwa sala ya maiti umeijua kupitia muhadithun kama ulivyosema na sio qur an kwanini suala la Adamu unataka kulijua kupitia Quran na sio Muhadithuni?
Mkuu asante kwa kumuelewesha kwa kutumia lugha rahisi nkabisa Mimi nilikuwa nadhani labda lugha ninayotumia ni ngumu ndio maana haelewi.Bwana Arsis kuna kitu nimekiona kwako ambacho si kizuri katika kutafuta elimu,,unaleta ubishi badala ya kusikiliza na kisha upime kile unachoambiwa
Bwana Lidafo alikuwa anakuuliza kuhusu kuswali swala ya jeneza / Maiti,msingi wa hoja yake,je kwenye qur'an limeelezwa hilo? Jibu ni hapana je kwanini watu wanaswalia maiti wametoa wapi hayo?
Unaanza kukimbia kwa kujua kwamba tutakuja kule kule kwenye hoja yetu ya msingi,kuswali maiti kumeelezwa na Mtume,kwahiyo hata adam kuwa mwanadamu wa kwanza qur'an haijaweka wazi lkn kupitia ulimi wa Mtume Muhammad (s.a.w) ametufahamisha hivyo
Sasa kama kila kitu ambacho hakipo katika qur'an hukikubali,je hizo swala tano unaswali za nini wakati qur'an haijaelekeza namna ya kuziswali? Je unaswali swala ya jeneza ya nini wakati qur'an haijaeleza na listi itakuwa nyingi hapo
Yeyote mwenye akili huru na timamu atakubaliana na hoja zetu juu ya kuwa adam ni mwanadamu wa kwanza.
Nimechangia hili kwasababu naona unakwepa hoja za Lidafo kitoto kabisa
Mwambie Arsis aendelee na mada yake
Arsis muulize kuhusu Ummu Subiyan nasikia ana jinsia 2 me na ke na huyu ndo vijana humuota waki baleghe anawafanyisha mapenzi embu bwana Arsis atoe elimu kuhusu hilo.
Kwaiyo mkuu hapo inaonesha imekataza kuwaabudu na kuwaamini si ndio?Elimu niliopewa mimi ni kua chochote kama hakijakatazwa kwenye Qur'an na serikali ya unapoishi unaruhusiwa kukifanya.
Kuhusu majini imekatazwa kuwaabudu kwenye Qur'an.
Kumbuka pia majini kwenye Qur'an wametajwa kama kikundi cha watu ambao kwa sasa tunawaita "wasioonekana", ki lugha Jini ni neno linalotokana na Jan au kutokuonekana (wasioonekana). Nimetoa mfano mara kadhaa huko nyuma, "ki lugha" hata sisi hapa JF ni majini kwa kutokuonekana kwetu.
Soma hizi aya mbili za Qur'an, tarajama ya Ali Muhsin Barwani, nadhani zipo wazi kabisa, zipo kwenye Sabaa Q34; 40-41.
40. Na siku atakayo wakusanya wote, kisha atawaambia Malaika: Je!Hawa walikuwa wakikuabuduni?40
41. Waseme: Subhanak, Umetakasika. Wewe ndiye kipenzi chetu si hao.Bali wao walikuwa wakiwaabudu majini; wengi wao wakiwaamini hao.41
Simba.
NAKAZIASorry, Uislamu wote kwangu sio dini sahihi, ni ushirikina mtupu, mmejiunganisha sana na majini kwenye mambo yenu mpaka nashindwa kuiona nguvu ya Mungu na uwezo wake kwenye kutatua shida zenu.
Matatizo yenu mengi mnatatuliwa na majini, huku jina la Mungu mkilitaja juu juu tu ili ionekane mnamuamini, nashangaa nikimsoma huyu mleta story kuna mahali mpaka inaonekana Quran inashindwa kuondoa majini kwa wagonjwa, ila jini la mgonjwa linaondolewa na jini lingine {refer. mwanamke aliyetolewa jini na jini la mleta story Shinyanga}, sasa nyie msaada wenu mnaupata kwa Mungu au majini?!
Hii story nawaambia ukweli, imekuja kuivua nguo kabisa dini yenu, na kitabu chenu, na ndio maana nikimsoma faiza foxy kwenye hii story anaonekana kuipotezea, kama kukipuuza kile mleta mada anachoandika, ni kwasababu ameshaona dini yake anayoipigania humu kila siku, ina muunganiko wa moja kwa moja na majini, anaona aibu anajaribu kuificha, lakini haifichiki!.
Pesa za jamii ya waarabu wengi ni kwa msaada wa majini, sio Mungu, kufanikiwa kwenye mambo mengine kama safarini ni kwa ulinzi wa majini, sio Mungu, wengine wenu mnayafuga majini ndani, mimi nitashangaa sana kama siku ikifika nikamuona muislamu yeyote wa hii dunia ameurithi ufalme wa Mungu, unless muwe na hiyo pepo yenu wenyewe ya mabikra 72!, lakini sio yule Mungu wa rohoni ninae mwabudu mimi na kumtumikia, kwa jina la Yesu Kristu wa Nazareth.
Umelazimishwa kuinywa? Poor uChai
ASILI YA MAJINI -- 1Shusha vitu mkuu mimi naamini quran ni kitabu cha mwenyezi Mungu pia.
Vionjo vya Arsis 5 - 2Vionjo vya Arsis 5 - 1
nilivyokutanishwa na majini ya Kingazija (Comoros) na Kipemba Kojani.
Baada ya kurudi kisa cha Unguja mengi sna yaliendelea lakini kw aufupi nilirudi kwenye maisha yangu kawaida ya kwenda kutengeza magarei na kushughulika na kiduka changa kidogo, kwa siku hizo, cha spare za umeme wa magari.
Tulipoondoka unguja, yule binti na mamake walikuja Dar na mamangu, ilifanywa siri kubwa kuondoka kwao na wakaja kwa ndege ya kukodisha na ndugu wengine ili waweze kujifich kuondoka kwao, kuepusha kujulikana kwani Unguja minong'ono ya kisa ilikua mingi.
Kwa ufupi yule mama nilikuata nae Dar na binti yake lakini hawajakaa sana Dar wakaondoka nchi za nje, walikua hawana kabisa hamu na Tanzania, bara wa Unguja. Mambo yaliwakumba si madogo.
Katika kua nao Dar, yule mama akanihadithia kua mwanamke aliemstua, alikua ni mke wa yule DSheikh wa Unguja tulikua nae siku ya kikao na wahalifu. Akanambia yule Shehe ndio tuna w))wasiliana na kamuomba namba zangiu za simu, nikampa. Tukawa na mimi tuna mawasiliano ya hapa na pale na yule Sheikh.
Siku moja akanambia kwenye simu, Simba, nafahamu ulikua kimya sana kwenye kikao cha siku ile ya hukumu pale nyumbani lakini mimi naelewa wewe ndio ulikua kiongozi wa yote yale ingawa u kijana mdogo sana. Nafahamu kwa pete yako ulioivaa, hio pete sio ya kawaida kabisa na wenyewe waliokipa hio pete wana nguvu kubwa sana. Natamani niwaelewe. Nimeshindwa mbinu zangu zote kuwafahamu.
Mimi; Unafikiria tu hivyo.
Sheikh, mimi nafahamu babu yako na namfahamu yule Sheikh wa Tanga mlikja nae tulikutana nae kwa babu yako tanga miaka si mingi sana nyuma. babu yako ndio mwenye hio pete, naona kakuachia mikoba.
Mimi; hapana, ana yake.
Sheikh: mimi nimeongea na babu yako juzi, kuna tatizo jingine kabisa limetukabili, akanambia niongee na wewe. Toka siku zile mnaondoka mimi nawasiliana na babu yako. Nilifikiri kakujulisha kua tunafahamiana.
Mimi: Nafahamu mnafahamiana, toka nilipokua Unguja.
Sheikh; Sikiliza Simba, kuna dada mmoja niDaktari wa binadam, huyu dada ni mgazija, na yupo huko huko Dar. lakini ana matatizo makubwa sana ya mambo yao ya majini ya Kingazija sijui ya hapa Unguja, maana huyo ameshaolewa mara mbili, zote na madaktari hukohuko dar, lakini zote kaachika, mmoja kazaa nae, mmoja hajawahi kuzaa nae.
Wazee wake walinifata hapa Unguja, ni watu maarufu sana, wakamleta hapa Unguja, tukamshugulikia sna, lakini hayo majini yanatulia anafanya mambo yake vizuri sema ayataki kabisa awe na mahusina na mwnamme. Binti wa Kiislam ana kisomo chake cha juu, ana mtoto wa kike mmoja anakua tena, lakini kawa mlevi, hatoki ma-klabu ya starehe huko na hata akija hapa. Wazee na ndugu zake sio watu wa hivyo kabisa, anawaibisha sana. Simba tunamsaidia vipi huyu ndugu yetu?
Mimi; Kwa jinsi unavyonieleza, huyu mkamate koo babu. Mimi siyajui kabisa mambo haya jamani. Mimi ni kama bendera, nasukumwa na upepo tu, unakovuma ndio huko huko.
Sheikh: sasa huo upepo umevumia kwa huyo binti Daktari, wacha ukupeleke utakavyo. babu yako kasema tuongee na wewe, anakijua hiki kisa chote.
Mimi: Sheikh mimi nakushauri huyo mchukueni tu mumpeleke kwa babu, mkimfikisha pale babu hachomoi, itabidi amshughulikie tu. Lakini mimi binafsi siyajui yote hayo.
Sheikh; Nimekuelewa sana Simba, wacha tuone tunafanya nini maana huyo binti ukimuona wala huwezi kujua mambo yake, anaishi vizuri tu anapoata kazi nzuri nzauri tu, lakini atishi maisha ya kihuni mpaka lini? Aliekua mumewe ni Daktari mkubwa sana na mwenye heshima sana Tanzania. Yeye mwenyewe anafahamiu tatizo lakini anashindwa kujizuia hio hali. Anajishangaa.
Tutaongea tena Simba ikiwezekana, wacha niendelee kumrai na kumsihi babu yako atusaidie. Kumwendea ghafla itakua si vizuri, na hatujui hata kama huyo binti atakubali kwenda, babu yako kasema Dar hawezi kuja kwa sasa, tuongee na wewe.
Mimi; Ongeeni nae tu, babu mtaalamu, mimi sina nilijualo.
Tukaagana kwenye simu. Siku kama tatu kupita babu yangu akanipigia siimu. Tukasalimiana, kama kawaida yetu tukataniana kidogo, mtu na wajina wake. Akalianzisha...
Babu; Simba, vipi unakataa kusaidia watu?
Mimi; Vipi tena babu? (Ingawa nilijua anamaanisha nini).
Babu; Sheikh... wa Unguja kanipigia simu, kanambia aameongea na wewe, lakini anachokwambia unamsukumia kwangu, usifanye hivyo Simba, huyo binti yupo Dar, itakua wepesi sana wewe kumuona, tena Sheikh anasema kuna bwana mmoja wa Kipemba yupo hapo Buguruni si mbali na kwenu, anajaribu kumsaidia huyo binti kimatibabu, lakini Sheikh anasema, hata huyo binti atakata tamaa maana muda unazidi kwenda, haioni ile tija anaoitarajia.
Mimi; Buguruni ya wapi hio, babu usifikiri kila buguruni ni karibu na kwetu, buguruni kubwa.
Babu: Cha msingi sio hicho Simba, hata iwe mbali vipi, nyie mna magari huko, hamtembei kwa miguu, halafu buguruni si ndio njia ya kwenda na kurudi kazini kwako Tabata?
Mimi; Babu, ukitaka lako unajidai profesa. Niache nipambane na magari huku, wewe pambana na binadamu. Hizo kazi zako zinatisha, kasheshe la Unguja halikua dogo.
Babu; Simba, kwani wewe unafanya nini zaidi, wewe wawachie wenye kazi zao, mimi nataka wewe ujifunze ya dunia, ujionee mwenyewe ndio kuna siku utaona ni heri usaidie watu kuliko kusaidia magari.
Babu; Wewe arrange siku tu na huyo Sheikh wa Buguruni ukamjue, ni vizuri, utajionea wanavyofanya tiba zao, ni elimu hio. hakikisha tu siku unayokwenda na huyo Dada awepo anashughulikiwa, wewe uwepo kama mtazamaji tu, tuanzie hapo Simba.
Mimi; babu mbona unanipa kazi ngumu?
Babu: nenda, unaweza kukuta toto la Kingazija jisomi hilo, limenona, ukajipaytia mke wa Kunguja. Muhimu wewe nenda, yule Shjheikh hatojua umeenda kufanya nini, mimi nimemwabia huyu Sheikh wa Unguja rafiki yake, asimwambia kabisa unaenda kufanya nini, yeye amwambie, wewe unaenda kwa mabo yakohuyoi Sheikh, lakini yeye mwenyewe Sheikh atanuelea, hatomueleza chochote kuhusu kazi zetu, maana hawa waganga wengi waoo wachawi tu, hatopenda kuingiliwa himaya yake.
Mimi: babu mimi sitaki, kwanza umeshanitisha hapo, yamalizeni wenyewe.
Babu; Usiwe hivyo, usikatae mwito kataa uliloitiwa.
Mimi: Si nimeshajua ninaloitiwa babu?
Babu; Simba wacha niende, tutaongea kesho, naona leo hatuelewani lugha.
Nikacheka, babu na yeye akacheka, akanichomekea, huyo mtoto ukimuona na sifa zake nilizopewa natamani nije huko Dar, toto, toto kweli, si mchezo. Unamuogopa sana mkeo?
Mimi; Njoo wewe babu.
Babu; Natamani kuja, lakini umri ushakimbia tena.
Mimi: babu kawahi kusali, wacha na mimi nikawahi. Kwa heri
Tukaagana pale. Nikaendelea na mambo yangu.
Simba.
... 5.2
Ipo very clear hio aya. Mkitaka ufafanuzi wake zaidi, wacha nimalize kumpigia type Arsis na kisa chake cha Adam , kaahidi atakuja kutoa somo la majini kutokana na Qur'an na uelewa wake. Anasema ni somo zuri sana kwa watu wote bila kujali dini zao. Ni kinyume kabisa na watu wanavyofikiria.Kwaiyo mkuu hapo inaonesha imekataza kuwaabudu na kuwaamini si ndio?
Hilo mbon nimelijibu kiwepesi kabisa, nani au wapi niliwahi kusema kila ninalolifanya lipo kwenye Qur'an. Nilioyafanya mimi wewe huwezi hata ya kuyafikiria, lakini kuanza kufundishwa Qur'an kwa kina na Arsis, nashukuru nimeyaacha maovu yanayoikatazwa na Qur'an.Umeona sasa!, kwahiyo umekiri kuwa sio kila jambo unalolifanya lipo kwenye quran
Ikiwa hivyo ndivyo nimebaini yafuatayo kwenye maelezo yako.
1. Ulikuwa unaswalia maiti bila kuwa na ushahidi wowote kwa kuiga tu wazazi wako.
2. Baadae ukawa unaswalia maiti kwa kusoma kwa muhadithun.
Sasa nisome vizuri hapa..., Ikiwa uliweza kufanya jambo kubwa la ibada ya kumswalia maiti pasina uthibitisho wa quran na pasina uthibitisho kutoka kwa muhadithun vipi unapinga Suala la Adamu ambalo katajwa kwenye quran na wanazuoni wakubwa wenye heshima kubwa katika dini kama Ibn Kathir (Ismail ibn Umar ibn Kathir) katika fasiri yake ya quran na Ibn al-Jawzi katika kitabu chake cha "Al-Muntaẓam fi Tārīkh al-Mulūk wa al-Umam" - Kitabu cha historia ambacho kinaeleza maisha ya Mitume pamoja na historia ya Adam. Wametaja kuwa Adamu ndio mwanadamu wa kwanza kuumbwa.
Sasa nijibu maswali yangu
1. Ni kipimo gani ulitumia kuikubali sala ya maiti na haijaelezwa katika quran na ni kipimo gani umetumia kukataa kuwa Adamu sio mwanadamu wa kwanza na kaelezwa kwenye quran?
2. Ikiwa sala ya maiti umeijua kupitia muhadithun kama ulivyosema na sio qur an kwanini suala la Adamu unataka kulijua kupitia Quran na sio Muhadithuni?
Naamini wengi watamuelewa kidogo kidogo. Hua hachoki kufundisha, angechoka na mimi "bichwa la spana".Yap nililiona mapema sana ukimsoma btn the lines namfananisha na mwalimu anayefundisha kwa mfumo wa kuulizia maswali
Sifahanu swala la sala zote zile, linahusiana vipi na Adam kutokutajwa kwenye Qur'an. Mbina nimelijibu hilo wazi kabisa? Nini hujakielewa katika majibu yangu kuhusu hili la sala ya maiti?Bwana Arsis kuna kitu nimekiona kwako ambacho si kizuri katika kutafuta elimu,,unaleta ubishi badala ya kusikiliza na kisha upime kile unachoambiwa
Bwana Lidafo alikuwa anakuuliza kuhusu kuswali swala ya jeneza / Maiti,msingi wa hoja yake,je kwenye qur'an limeelezwa hilo? Jibu ni hapana je kwanini watu wanaswalia maiti wametoa wapi hayo?
Unaanza kukimbia kwa kujua kwamba tutakuja kule kule kwenye hoja yetu ya msingi,kuswali maiti kumeelezwa na Mtume,kwahiyo hata adam kuwa mwanadamu wa kwanza qur'an haijaweka wazi lkn kupitia ulimi wa Mtume Muhammad (s.a.w) ametufahamisha hivyo
Sasa kama kila kitu ambacho hakipo katika qur'an hukikubali,je hizo swala tano unaswali za nini wakati qur'an haijaelekeza namna ya kuziswali? Je unaswali swala ya jeneza ya nini wakati qur'an haijaeleza na listi itakuwa nyingi hapo
Yeyote mwenye akili huru na timamu atakubaliana na hoja zetu juu ya kuwa adam ni mwanadamu wa kwanza.
Nimechangia hili kwasababu naona unakwepa hoja za Lidafo kitoto kabisa
Mwambie Arsis aendelee na mada yake
Sijakiona cha kuelewa mimi au kutokuelewa, kwani wapoi niliandika au kusema kila ninalolifanya limetoka kwenye Qur'an?Ewaaaa! sasa unaanza kuelewa haya niambie wapi pameandikwa adamu si binadamu wa kwanza?
Mimi ni mtu lakini kwa sasa hivi kwa kua sijaonekana ni jini, kam wewe na wengine wote hapa JF, kasoro wale "verified members".Wewe tusisemane wewe ni mtu unaweza sio huwezi walahi na wala sikupingi na nimeshawaambia watu wewe ni mganga mie ni nao tu vitu kwa watu vibaya basi nawakuagua niwewe
Naomba mnitag muendelezo wa hiiInatokea post namba 2023.
Vionjo vya Arsis 4 Kumwokoa Msukule Unguja 4.
Nikawahi bandarini faster, ile nafika nikawakuta wote wasili nje, Tukasalimiana kijana akanipa ticket.
Kijana; Tumewahi sana, gtunaweza kupata kahawa, nimeona pale kuna mkahawa.
Mimi; Poa.
Jini 3; Mimi mtanisahe, tutakutana ndani, nawatafutia viti.
Kijana: Usiingie, tusubiri tutaingia wote kama hutaki kahawa.
Jini 3; Sawa, basi nawasubiri hapo nje mkimaliza tutagfatana.
Kijana: Ahsage kamanda.
Mimi: Unampa order kamanda wako?
Kijana: kwanini kiongozi?
Mimi; Umemwambia Usiingie tusubiri. Hiyo ni amri, sio ombi.
Kijana: kawaida, hio majini hawana kuremba remba kama Watanzania.
Mimi: Dunia nzima inatakiwa uwe na lugha nyepesi kwa kamanda wako.
Kijana; Nimemuita kamanda lakini sio kamanda wangu, kumbuka mimi ni binadam kama wewe sio jini.
Mimi; Hilo mimi bado halijaniingia kichwani la kua wewe ni mtu.
Kijana: kweli kabisa, kwanini huniamini, sisemi uongo, ni mwiko.
Mimi; Inafikirisha sana.
Kijana: Simba wewe utajifunza kusafiri haraka, kujificha, yaani mambo ya kijini yote utayajua, ukitaka lakini. Arsis kanifundisha yote ni elimu, sisi binadam tuna nguvu na majini wanatuheshimu na wanatuogopa sana. Tukiwa nao pamoja hata akiwa mfalme, mimi si lolote si chochote kwa nbbinadam wenzangu lakini kwo Mfalme ataniona mimi bora na nitakua karibu nae na atanitii.
Mimi; Kwanini?
Kijana; Kuna siku utaelewa. Soma.
Mimi; Twende tusichelewe.
Kijana; kunywa kahawa usijali, hawaondoki bila sisi.
Mimi: Unalegta uchawi?
Kijana; Hapana, ugaelewa tu.
Tukaondoka tukamkuta Jini3 aanatungoja nje, tukaondoka, kugfika kwenye biti, sisi ndio wa mwisho kabisa lakini hatujaulizwa kitu kabisa. Tukaingia ndani, tukakaa kidogo Jini 3 akasema mimi nakwenda nje, kijana akasema twendeni wote nje tuone bahari. Tukatoka nje, hapo biti imeshaondoka.
JUini3: Pale ndio tulipokutana jana.
Kutazama naona ananionesha oshen rodi kwa kutokea baharini, tumepaacha nyuma kidogo, tukasima tunaongea ongea, nikawambia mimi nakwend kukaa juu ya viti, nasikia kusinzia.
Nikaingia ndani nikapitiwa na usingizi mzito, kustuka, watu wanashuka Unguja. Na mimi nikaanza kushuka. Nikawoana wenzangu wapo nyuma yangu, nikawaza kumbe waliingia ndani mimi nimelala.
Nikasikia kama sauti ya kijana inanisemesha, tazama hapo bandarini utayaona mengi. nikqjuq huyu ananisemesha kama anavyonisemsha Arsis siku zingine, huwa namsikia kwenye mawazo, mwenyewe anaita telepathy. Na mimi nikamsemesha kimawazo, ukiona kitu sio cha kawaida kibinadamu nioneshe.
Kijana: Tazama hao wanaopokea watu.
Dah, kutazama, nusu yao majini, wa kila aina kila rangi, lakini kama hukuwatazama vizuri utaona wote ni binadam. Nikamwabia au unanifanyia mazingaombwe.

Kijana; Hapana, umewaambia wagtuokee bandarini?
Mimi; hapana.
Kijana; umefanya vizuri, sasa nisikilize, mimi hawanijui, waambie mimi ni mgeni rafiki yako tumetoka nae Dar. Na kamanda usijali hutamuona mpaka huko, kutaum kweli huko, hatupo.
imi: mnafanya vituko sio?
Kijana; hapana, imebidi yeye awahi.
Itaendelea.
Simba.
Mbina nimejibu nisema nimekuta wazazi wangu wanafanya hili na mimi nikawa nalifanya la kuswali maiti kwa kuiga wazazi wangu, na nilipolisoma kwenye baadhi ya muhadithin na sikuliona lilkikatazwa na Qur'an sijaliacha.Safii !!! kama ni kabla ulifanya kwa ushahidi gani na umesema hujaisoma kwenye quran na ulikuwa hujawasoma muhadithin?
sasa nikupe oja hewa? Ambayo haipo?Alafu sijabadili mada nipo kwa Adamu bado ila kwakuwa wewe unaubishi usio na hoja ngoja nikufundishe kwa mifano rahisi. Mbona Arsis kaanza kutuelezea mfano wa mbu nahatujamwambia ana badili mada? Tunajua kuna hoja anayo kupitia mfano huo na mimi kupitia swali hilo nina hoja wewe jibu utaelewa tu. Uzuri nishajua ni kwanini huelewi kwahiyo nimebadili njia ya kukufundisha hii njia itendana na ubishi wako swali lingine umesema umekuta wazazi wako wanafanya Je uliwauliza wanafanya hivyo kwa nini? na wametolea wapi?
Nimeshalijibu hilo rudi juu kidogo kanisome. Nimesema kabla, nimewakuta wazazi wangu wanasalia na mimiu nikwa nasalia maiti. Sio sala hiyo tu, sala zote ni hivyohivyo.Jibu maswali twende taratibu hapa najua uwezi toka, Ulianza kuswalia maiti baada ya kuwasoma baadhi ya mhadithin au kabla ?