Kumbe Tuna soma mhuni mmoja aliie mla mama ake mzazi na bibi ake. uyu jini atakua ana vuta bangiSimba; Unauliza nani anaweza, sio simba your behind? just your foot? wanapoyagfanya hayo wengi sana. Tena hayo ni madogo sana, umepata mtu mwenye ujasirf wa kuyaweka wazi, kuna watu mpaka leo wanayafanya kwa siri kabisa. Hawana ubavu wa kuyasema na kuheal. Huo ni utamaduni wa kishenzi, hata mimi nakubali nimeufanya sana na ukoo wote, nilikua kizani. Simba kama hamjalana basi hujawa simba. Usijifanye kushangaa sana, huo utamaduni wa simba, wewe kama pimbi ua utamaduni mwengine, kama hukuzikuta tamaduni hizo, Shukuru Allah kakuepusha nzao.
Tulifata mila na jadi za kishetani, Uislam umetutoa huko. Tumeomba toba.
Allahi kaahidi anasamehe dhambi zote kasoro kumshirikisha?
Na hio ndio ushahidi wako wa sheikha wako kua elimu yake sio finyu? Au Adam ndio mtu wa kwanza, au Hawa mmemtoa wapi?
Simba.
Hao ni Mbuzi wanaoishi majini km sijakoseaArsis nna swali moja ulipokua unatoka Tanga kwa mara ya kwanza baada ya kufunguliwa macho ukiwa ndani ya gari kuna kama mijitu ilikua na miguu mirefu ikawa inafata gari kwa nyuma ila baadae, ikafanywa isiwapate nina hamu ya kuelezwa hapo hao jamaa walikua na lengo gani na ni viumbe gani.
Usiogope Mama kivuruge hao hawatishi wala niniKaribu baba kivuruge! Uzi wa majini huu tafuta pengine pa kuniitia
Please am not interested, mpk nimeandika hivyo ujue sipataki hapaUsiogope Mama kivuruge hao hawatishi wala nini
Sawa Mama kivuruge basi ngoja nitafute sehemu tulivu kwenye upepo mwanana na mziki kwa mbaaaliPlease am not interested, mpk nimeandika hivyo ujue sipataki hapa
BossArsis: Safi kabisa. Hapo umehitimisha niliyoyasema, nilisema Waislam hamuifati qur'an, mnachukua ya kwenye biblia na kuja kutafsiri kwayo.
Umeshindwa kuleta ushahidi wa kua adam ni mtu wakwanza au unao wa Qur'an? Pia Muislam umemtoa wapi Hawa? Au kwenye biblia vile vile?
Kwa mwenye uelewa, umeufanya mjadala kua mwepesi sana.
Arsis.
Lakini tunaambiwa zilipita dahar na dahari na binadamu hakuwa wa kutajwa kwa maana hakuwepo kabisa,sasa kotendo cha Allah kumuumba adam kwa udongo wenye kutoa sauti,inaonyesha lwa dalili kuwa hiyo ndo wa kwanzaSalaam, "and when the Lord say to the angels: 'I am about to place Vicegerent in the earth"
The world VICEGERENT means the choosen person to represent the ruler
and this gives us that there where other people before Adam (as)
kwahiyo member alietumia (Surat Al baqarah ch.2: v.31) Yuko sahihi ila haisemi kama ye ndiye mtu was kwanza katika Dunia ila ni MTU WA kwanza kupewa U-kharifa Kwa binadamu wote.
Mwenyeezi Mungu ndio mjuzi na atuongoze katika njia iliyonyooka, Tupo katika kutafuta elimi🙏
BossArsis: Kama nilivyoahidi nitarudi, nimerudi.
Hiyo aya hapo ni wapi inapoonesha Adam ni mtu wa kwanza? Halfu hioaya inakupinga sana. Ikiwa adam ndio mtu wa kwanza malaika hapo walijuaje kama Adam atafanya ufisadi humo na kumwaga damu? Humo wapi?
nakuuliza hayo upate kufiki aidi, kwanza kama adamu ndiye mtu wa kwanza hao malaika walijuaje atamwaga damu humo? Allah pekee ndoiye mwenye kujua ghai b au sivyo? Hapo mimi naona inamaanisha walikua tayari wapo adam wengine waliyoyafanya hayo kabla ya huyo aliepewa ukha;ifa kupewa ukhalifa.
Nakushauroi anza kusoma aya ya 26 utaiona raha yake mpoaka hapo ulipogfika, kama hujaelew zina husiana vipi, nitakuja kuzieleze zaidi. Hio haihusiani na uumbaji inahusiana na kupewa ukhalifa. Kwenye Qur'an khalifa ni huyo tu?
Mpaka hapo hakuna mtu wa kwanza katika dalil zako.
Arsis.
Arsis: Mpaka hapo hujaonesha wapi Adam ni mtu wa kwanza kwenye Qur'an, ulileta nukuu za biblia kua Adam mtu wa kwanza.Boss
Nimejua point yako ni ipi,kumbe kigezo chako wewe ni malaika kusema kuwa bimadamu ataleta ufisadi katika ardhi?
Sasa tambua ndugu zako majini walikuwa hapa duniani kabla ya adam na ndio hao walileta umwagaji damu katika ardhi au hata kama sio majini basi kulikuwa na viumbe wengine kabisa,ndio maana malaika wakasema vile
Boss una porojo sana wewe
Mkuu nijibu hili tafadhaliArsis: Mpaka hapo hujaonesha wapi Adam ni mtu wa kwanza kwenye Qur'an, ulileta nukuu za biblia kua Adam mtu wa kwanza.
Hili la Biblia ulioleta ndio [poit yangu haswa. Unaitafsiri Qur'an kwa kufata biblia?
Hawa mmetoa wapi Waislam? Nataka ushahdii (dalil).
Arsis
Arsis; Ujanja upi wa maneno? Umeleta aya za biblia hapo au hujaleta?Boss
Unatumia ujanja wa maneno mengi kukwepa ukweli,mbona wewe hudhibitishi kuwa adam sio binadamu wa kwanza?
Nachukulia kwamba huna hoja ya kidhibitisha hilo
Asante
Swali langu page 1919 hajajibiwa
Swali langu page 1919 hajajibiwa
Arsis; Hilo linasababishwa na umasikini na kutokufanya ibada. Mizimu haiwezi kukuadhibu wewe kwa kosa la baba yako au babu yako.Naomba kuuliza kuna Ukoo utakuta hauna mwenye mafanikio hasa kiuchumi, unatumia nguvu kubwa sana kutafuta ilà huendi mbele, maelewano pia hakuna ,je ni mizimu imekasirika au agano fulani la mabàbu au Mungu ndio kapanga hivyo.
Naomba nihamie ukòo wa simba kama inawezekana..
Arsis: Qur'an ni muujiza unaoishi. Hakuna dalil ya kukisia.Lakini tunaambiwa zilipita dahar na dahari na binadamu hakuwa wa kutajwa kwa maana hakuwepo kabisa,sasa kotendo cha Allah kumuumba adam kwa udongo wenye kutoa sauti,inaonyesha lwa dalili kuwa hiyo ndo wa kwanza
Lau asingekuwa wa kwanza basi angezaliwa kwa maji ya kuchupa kama sisi na tusiongeonyeshwa asili yake
Ni dhahir adam ndio wa kwanza na Allah anajua zaidi
Simba;Mkuu nijibu hili tafadhali
nna swali moja ulipokua unatoka Tanga kwa mara ya kwanza baada ya kufunguliwa macho ukiwa ndani ya gari kuna kama mijitu ilikua na miguu mirefu ikawa inafata gari kwa nyuma ila baadae, ikafanywa isiwapate nina hamu ya kuelezwa hapo hao jamaa walikua na lengo gani na ni viumbe gani.
Yani we umesema unajibu swali lolote lkn maswali magumu hutaki kujibu full yaeleweke unajibu kwa mkato Sasa sisi tukikwambia ukweli unajibu fyongo kama ulimvojibu huyo jamaa hapo sa sijui ndo maelekezo ya Babu Yako aliyokwachia ama nn mana alikeambia mtu akiwa na swali majibu and hamna shidakutumia herufi kubwaSimba; Kutumia maandishi makubwa kwenye kuandika ni kufanhya matangazo, kama unaniuliza au kunieleza mimi hauna haja ya kuandika kwa herufi kiubwa ka huyo uliemjibu.
Habaguliwi mtu wala jini hapa. Uliza kwa kutumia herufi ndogo, usomeke vizuri.
Simba.
Kwani mbali na binaadam ni kiumbe gani kingine kina sifa ya “Damu” mpaka Malaikah wazungumzie umwagaji damu ?Boss
Nimejua point yako ni ipi,kumbe kigezo chako wewe ni malaika kusema kuwa bimadamu ataleta ufisadi katika ardhi?
Sasa tambua ndugu zako majini walikuwa hapa duniani kabla ya adam na ndio hao walileta umwagaji damu katika ardhi au hata kama sio majini basi kulikuwa na viumbe wengine kabisa,ndio maana malaika wakasema vile
Boss una porojo sana wewe