Niliyoyaona nchini German katika tour yangu

Niliyoyaona nchini German katika tour yangu

MBNA povu?
habari za watz kuuawa na kunyanyaswa huko kwa wapuuz uarabuni huzisikiag?
au unaishi pori gan ewe mvaa ndala?
miarabu upumbavu unawasumbua maana hawana elimu hata ya chekechea wao n kuchinja watu na kuoa wNawak 4 shwain I hate them
Kumbe ni habari za kusikia tu eeh! Hao wazungu wamekuibia hiyo 200 usd (kama ni kweli) unawasifu eti "wako advanced!!"

Bongo albino wanakatwa viungo wakiwa hai,wazee wanauawa kwa imani za kishirikina tu! Vibaka watuhumiwa wanachomwa moto wakiwa hai mpaka wanakufa! Hayo wewe hua huyaoni?

Panua uwezo wako wa kufikiri na uache kuishi kwa kukariri tu! Waarabu hawana akili? Hebu angalia maendeleo kwenye nchi zao utoe huo ujinga unaokutawala kichwani mwako.
 
Unajua maana ya forum? Kwanini ulipost hapa? Kwanini hukuwalezea rafiki zako huko unakoishi? Kwa taarifa yako ukishaweka kitu hapa ni lazima kihojiwe kama kina walakini. Ni ni juu yako kutoa majibu kutetea! Na huna majibu ndio maana umeshindwa kujibu
Mkuu huyu mleta mada ushamba unamsumbua tu,nadhani ni mara yake ya kwanza kusafiri abroad,utoto unasumbua akikua ataacha tu.
 
Wakuu mpo pouwa?
Miez miwili iliyopita nilikuwa na tour yangu binafsi nchini Ujerumani, safari yangu ilianzia ktk uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro airport hadi Dubai nikitumia Ethiopian airline.

baada ya kufika Dubai nilichukua air Berlin hadi uwanja wa kimataifa wa Frankfurt ujerumani
nilikaa mjini Frankfurt siku mbili kabla ya kupanda treni ya umeme hadi ktk mji uitwao Cologne (koln) ambapo nilikutana na ndugu yangu ambaye ni padre wa kanisa katoliki.

Nilichokiona huko ni kuwa watu wa kule wapo busy sana hawana hata sekunde moja ya kupoteza, wanachakarika sana yaani, vile vile sitasahau siku hiyo nikiwa natoka Frankfurt kwenda koln niliporwa Pesa kama dola 200 nilikuwa nimeziweka mfuko wa mbele wa shati kumbe kuna vibaka kama huku sema wapo more advanced

Mwenyeji wangu aliniambia kuwa vibaka na matapeli wapo sana tu

Siku moja tukasafiri hadi mjini Dortmund kumsabahi padre mmoja hivi mtanzania jina lake padre Mosha nilienjoy sana siku hiyo nilipelekwa hadi uwanja wa mpira ktk mechi ya Borrusia Dortmund ilikuwa ikicheza na timu iitwayo Hertha Berlin ktk uwanja uitwao signal iduna arena hapo mjini Dortmund

Nilimuona live Aubemyang aliekuwa mchezaji wa Dortmund kabla ya kuja Arsenal

Basi nilimaliza ziara yangu ya siku 15 huko German na nikarejea bongo wakati nikirudi nilitumia etihad aiways nikapita Amsterdam Uholanzi then tukapumzika kidgo safari ikaanza hadi Dubai baadae. Nikachukua Ethiopia airline hadi Kilimanjaro international airport
I enjoyed my tour.
Uandishi wa hii insha pamoja na yaliyomo ni level ya Primary. Upo darasa la ngapi bamdogo?
 
nilikata tiketi cku moja kabla ya safari na nilipanda second
hiyo hela n pmj na garama ya hotel ya nyota 2,niliyolala cku 2 pale Frankfurt
Dogo acha uongo basi siku moja kabla?? Kwani safari ulipangia hapo Airport??
 
Basi nilimaliza ziara yangu ya siku 15 huko German na nikarejea bongo wakati nikirudi nilitumia etihad aiways nikapita Amsterdam Uholanzi then tukapumzika kidgo safari ikaanza hadi Dubai baadae. Nikachukua Ethiopia airline hadi Kilimanjaro international airportI enjoyed my tour.

Mkuu, kama hii sio hadithi tu, ilikuwaje urudi kutoka Germany kwa kutumia Etihad na upitie Amsterdam Uholanzi? Na ungetumia Etihad ungepandia Dussseldorf kwenda Abu Dhabi kwanza. Hapo umejikoroganya kwenye hadithi yako😀😀😀
 
umekariri kuwa lazma itoke Düsseldorf ? kwan etihad wana ndege moja?
kama wewe ulipanda etihad ukapita Dusseldorf had Abu Dhabi usikariri zama zmebdlk
 
Kumbe ni habari za kusikia tu eeh! Hao wazungu wamekuibia hiyo 200 usd (kama ni kweli) unawasifu eti "wako advanced!!"

Bongo albino wanakatwa viungo wakiwa hai,wazee wanauawa kwa imani za kishirikina tu! Vibaka watuhumiwa wanachomwa moto wakiwa hai mpaka wanakufa! Hayo wewe hua huyaoni?

Panua uwezo wako wa kufikiri na uache kuishi kwa kukariri tu! Waarabu hawana akili? Hebu angalia maendeleo kwenye nchi zao utoe huo ujinga unaokutawala kichwani mwako.
miarabu kilichowabeba n mafuta tu
wasingekuwa na mafuta cjui wangekuaje
kule uarabuni wataalam wote n wagen hakuna mwarabu mtaalam labda awe junior sana,miarabu haijasoma
 
Unajua maana ya forum? Kwanini ulipost hapa? Kwanini hukuwalezea rafiki zako huko unakoishi? Kwa taarifa yako ukishaweka kitu hapa ni lazima kihojiwe kama kina walakini. Ni ni juu yako kutoa majibu kutetea! Na huna majibu ndio maana umeshindwa kujibu
nimekujibu vizur tu wote wameelewa isipokuwa we
 
Me ni mcheku hapo kwenye gharama tena round trip ni chai tena kahawa
wewe mcheku bhana
ungeuliza kwann
hapo nilikata ticket cku moja kabla ya safari maana ilikuwa ya kushtukiza kutokana na suala LA visa
pia hiyo Pesa n pmj na malaz unajua pale Frankfurt nililala hotel ya nyota 2 na pia nikaibiwa dola 200 jaman ka million 5 hakaishi hapo?
 
Back
Top Bottom