luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,918
- Thread starter
- #81
n kweli maana mm n mgen wa safar za njeHuyu atakuwa anasema ukweli ila hajielewi.
kuna vitu anamix
n kweli maana mm n mgen wa safar za njeHuyu atakuwa anasema ukweli ila hajielewi.
kuna vitu anamix
Jamaa mpuuz bin mshamba Ujerumani one trip 5.7? angekuwa muungwana aseme budget ya safari.Acha uongo wewe 5mln one trip ulipanda daraja gani? Then Etihad siku hizi connection inafanya Dubai?
Ugeni ndio umekufanya ushindwe kujua umetua Addis Ababa ukajua ni Dubai, kwenye transit hukujua kabisa kuwa hapa ni wapi na boarding pass yako si inaonyesha origin na destination yako sasa hukuona kuwa ni KIA to Addis Ababa then nyingine ni Addis Ababa to Frankfurt?acha papara mkuu
unajua tiketi nilikata cku ngapi kabla ya safari?
je unajua nilipanda daraja LA ngapi? vitu vingine uwe unafikiria
kuhusu Ethiopia airline kutua ads Ababa,huenda ni ugeni wangu wa safari nkashindwa Ku tambua
nilikata tiketi cku moja kabla ya safari na nilipanda secondAcha kudanganya watu. One way ni around $600 na Round Trip ni less than $900 ni nauli za sasa mpaka March. KILIMANJARO MPAKA KOLN.
cjui Ku attach pichaTourism bila picha!! Sawa na zero
shirika halijafa total lina ndege chacheAcha kudanganya watu kijana! Ndege ya mwisho ya Air Berlin iliruka 27.10.2017 kutokea Munich Airport 21:36 Hrs na kutua Berlin Airport 22:45 Hrs - Airbus A320 D ABNW!
nilienda kutalii muraakwa hiyo umejifunza nini huko?au ulienda kuzurura tu
wewe n kabila gan?We ni kabila gn!
bangi ya wapi hii?P0
Q1q1qqat\aq\aaaaqqqqq1q9nrdxI'll
M
Ľ0l
sawaUgeni ndio umekufanya ushindwe kujua umetua Addis Ababa ukajua ni Dubai, kwenye transit hukujua kabisa kuwa hapa ni wapi na boarding pass yako si inaonyesha origin na destination yako sasa hukuona kuwa ni KIA to Addis Ababa then nyingine ni Addis Ababa to Frankfurt?
Sasa wewe na mimi nani afikirie wakati umeeleza kitu kilichoshangaza wengi? Halafu hiyo second class ndio nini sasa? Au unamaanisha business class?
Tujifanye tu ulikuwa German majuzi na ulitoka KIA mpaka Dubai kwa Ethiopian Airlines.
hiyo million 5.7 MBNA nimesema n safari ya kwenda tu? yaan nauli,garama za hotel pale Frankfurt,nilioibiwa,na matumiz binafsJamaa mpuuz bin mshamba Ujerumani one trip 5.7? angekuwa muungwana aseme budget ya safari.
may be KIA- Dubai
Dubai- Frunkfut
Au ukipitia Dsm-Anstardam
Amsterdam-Fruknfut
au amechanganya za kuingilia uwanjani huko Dortmund? amejumlisha Na alizoibiwa.
ukidanganya ufikirie uwiano.
aseme budget aache ushamba.
Ngoja nikutafutie ndege ya kutoka moja kwa moja KIA Via Mombasa to Germany... Ukifanya booking mapema miezi miwili au mitati kabla nauli una weza kuta dollars 500 mpaka 800... Kuna ndgu yangu huwa ana tumia sana hiyo root ana niambia Mara nyingi ni wanafunzi na watalii ndio wanatumia sababu ya unafuu wa gharamaMbona Shirika la ndege la air Berlin lilishafilisika na kuacha ku-operate tangu mwaka jana October?
ndioKwa hiyo uliyoyaona ni watu kuchakarika na mechi ya Dortmund tu....
kwan ulitaka cha ajabu?Kipi cha ajabu ss au ulitaka tujue ulienda German?,
cjaona kilimo kwakuwa nilikuwa mijin tu mkuuHujatueleza wenzetu huko ujeremani wanashughulika na kilimo gani
cjaona,picha cjui Ku attachHukuona mashoga huko yakirandaranda? Weka na picha basi