Niliyoyaona nchini German katika tour yangu

Niliyoyaona nchini German katika tour yangu

Yes indeed haujatulia na ni kweli umelenga katika kuwatanabaisha wana forum kuwa ulikwenda German. In fact mimi binafsi nilidhani utajikita katika kufafanua uchakarikaji wao hasa ukichukulia kicha cha habari.

Pili nilitaraji kuona ufafanuzi wa vibaka ambao wewe umewaita wame-advance! The 200 USD take from your shirt pocket sidhani kama kuna wafanya hao vibaka kuwa advance......we have more knowledgeable pick pockets in kariakoo than elsewhere.
hao vibaka cjui hata waliniibiaje maana ckujua kama kuna wazungu vibaka
 
We jamaa ni pumba kabisa. Yani hata mtu akikuambia naomba ujielezee wewe ni nani am sure utapata 20% kwa sababu hutokesea jina lako na mwaka wako wa kuzaliwa.

Hii tour yako umeshindwa kuieleza kabisa. Naona unatutajia tu mapadre, umetutajia route za ndege, umefulahi kumuona aubameyang

Sijaona cha maana.
 
Kweli mkuuu mi ninaenda uswisi kesho tatizo LA kule ni racism Frankfurt nilishawahi fikka kwenye mji unaitwa Marburg
naam hata German ubaguz upo ila sio kivile sii kama kwa miarabu,wazungu wamestaarabika
Frankfurt nilikaa cku mbili mkuu
nilitaka pia kutembelea uswiss ila visa ikasumbua,maana uswiss na ujeruman sio mbali kivile
 
We jamaa ni pumba kabisa. Yani hata mtu akikuambia naomba ujielezee wewe ni nani am sure utapata 20% kwa sababu hutokesea jina lako na mwaka wako wa kuzaliwa.

Hii tour yako umeshindwa kuieleza kabisa. Naona unatutajia tu mapadre, umetutajia route za ndege, umefulahi kumuona aubameyang

Sijaona cha maana.
nimeeleza kwa kifupi,ningeandka kwa kirefu mngesena nawachosha nimezingatia uvivu wa watz ktk kusoma
ningeandka yote ningemaliza masaa 3
 
inawezekana n ushamba wangu mkuu
lugha n changamoto kwangu kule hawajui English n kijeruman tu,mwenyeji wangu alini save sana yy anajua pure German
Sio kwamba hawajui english,wajerumani wanathamini lugha yao,hawapendi kuongea english hata kama wanaijua,hata ukienda France ni hivyo hivyo wanaongea lugha yao tu.
 
naam hata German ubaguz upo ila sio kivile sii kama kwa miarabu,wazungu wamestaarabika
Frankfurt nilikaa cku mbili mkuu
nilitaka pia kutembelea uswiss ila visa ikasumbua,maana uswiss na ujeruman sio mbali kivile
Wewe ni zaidi ya mshamba tena hujielewi,huko kwa waarabu ulienda ukakuta huo ubaguzi au ndio kusikia tu kutoka kwenye vijiwe vya kahawa?
 
nimeeleza kwa kifupi,ningeandka kwa kirefu mngesena nawachosha nimezingatia uvivu wa watz ktk kusoma
ningeandka yote ningemaliza masaa 3
umeshindwa kuweka highlights za muhimu za safari yako. nimeona moja tu kuwa watu wa German wapo busy all the time. otherwise vitu vyote ni pumba tuu
 
Hata hauleweki labda lengo lako ni kutuambia umemuona Aubemayang live
 
Wewe ni zaidi ya mshamba tena hujielewi,huko kwa waarabu ulienda ukakuta huo ubaguzi au ndio kusikia tu kutoka kwenye vijiwe vya kahawa?
MBNA povu?
habari za watz kuuawa na kunyanyaswa huko kwa wapuuz uarabuni huzisikiag?
au unaishi pori gan ewe mvaa ndala?
miarabu upumbavu unawasumbua maana hawana elimu hata ya chekechea wao n kuchinja watu na kuoa wNawak 4 shwain I hate them
 
hujalazmshwa kuamin
Unajua maana ya forum? Kwanini ulipost hapa? Kwanini hukuwalezea rafiki zako huko unakoishi? Kwa taarifa yako ukishaweka kitu hapa ni lazima kihojiwe kama kina walakini. Ni ni juu yako kutoa majibu kutetea! Na huna majibu ndio maana umeshindwa kujibu
 
Back
Top Bottom