luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,928
- Thread starter
- #181
unajua Nina visa ya aina gani?Asiwachoshe huyu hakwenda popote. Unaona anasema alitaka kwenda U-Swiss lakini visa ikagoam eti? Hajui kuwa ukiwa na visa ya Ujerumani hiyo hiyo inatumika mpaka u-Swiss kwani ni eneo la Schengen linalotumia visa moja. Na asidanganye kuwa hakujua kwani kama alimtembelea mtu anayeishi huko vitu kama hivi anavijua.
mnachekesha sana nyie wasakatonge
visa yangu ilikuwa ya cku 19 tu kwahiyo huko uswiss ningeendaj hebu kuweni na aibu