luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,918
- Thread starter
- #101
mkuu kule maisha n magumu kuliko huku ikiwa huna kazSijui kwa nini huwa nashangaa ninaposikia mzungu kibaka.
yan kule kaz ndii heshima
mkuu kule maisha n magumu kuliko huku ikiwa huna kazSijui kwa nini huwa nashangaa ninaposikia mzungu kibaka.
Wakuu mpo pouwa?
Miez miwili iliyopita nilikuwa na tour yangu binafsi nchini Ujerumani, safari yangu ilianzia ktk uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro airport hadi Dubai nikitumia Ethiopian airline.
baada ya kufika Dubai nilichukua air Berlin hadi uwanja wa kimataifa wa Frankfurt ujerumani
nilikaa mjini Frankfurt siku mbili kabla ya kupanda treni ya umeme hadi ktk mji uitwao Cologne (koln) ambapo nilikutana na ndugu yangu ambaye ni padre wa kanisa katoliki.
Nilichokiona huko ni kuwa watu wa kule wapo busy sana hawana hata sekunde moja ya kupoteza, wanachakarika sana yaani, vile vile sitasahau siku hiyo nikiwa natoka Frankfurt kwenda koln niliporwa Pesa kama dola 200 nilikuwa nimeziweka mfuko wa mbele wa shati kumbe kuna vibaka kama huku sema wapo more advanced
Mwenyeji wangu aliniambia kuwa vibaka na matapeli wapo sana tu
Siku moja tukasafiri hadi mjini Dortmund kumsabahi padre mmoja hivi mtanzania jina lake padre Mosha nilienjoy sana siku hiyo nilipelekwa hadi uwanja wa mpira ktk mechi ya Borrusia Dortmund ilikuwa ikicheza na timu iitwayo Hertha Berlin ktk uwanja uitwao signal iduna arena hapo mjini Dortmund
Nilimuona live Aubemyang aliekuwa mchezaji wa Dortmund kabla ya kuja Arsenal
Basi nilimaliza ziara yangu ya siku 15 huko German na nikarejea bongo wakati nikirudi nilitumia etihad aiways nikapita Amsterdam Uholanzi then tukapumzika kidgo safari ikaanza hadi Dubai baadae. Nikachukua Ethiopia airline hadi Kilimanjaro international airport
I enjoyed my tour.
Yes indeed haujatulia na ni kweli umelenga katika kuwatanabaisha wana forum kuwa ulikwenda German. In fact mimi binafsi nilidhani utajikita katika kufafanua uchakarikaji wao hasa ukichukulia kicha cha habari.uandishi wako haujatulia!!,kwa mtu asiye mwelewa ataona km unajisifia
Mkuu ni one trip au one way ticketvisa alinishulikia ndgu yangu n padre si unajua ma padre wana exposure fulan tofauti?
nauli nilitumia almost million 5.7 one trip
nilikata tiketi cku moja kabla ya safari na nilipanda second
hiyo hela n pmj na garama ya hotel ya nyota 2,niliyolala cku 2 pale Frankfurt
Ala! Umekunywa waragi au? Nilishakuomba unitafutie ndege mimi?Ngoja nikutafutie ndege ya kutoka moja kwa moja KIA Via Mombasa to Germany... Ukifanya booking mapema miezi miwili au mitati kabla nauli una weza kuta dollars 500 mpaka 800... Kuna ndgu yangu huwa ana tumia sana hiyo root ana niambia Mara nyingi ni wanafunzi na watalii ndio wanatumia sababu ya unafuu wa gharama
Unajua unapotoa maelezo yakaacha mashaka lazima watu wakuulize mwaswali na unatakiwa uyajibu vzr! Umeulizwa mbona hakuna ndege ya Ethiopian ya kutoka KIA mpaka Dubai? Kwa nini hamkupitia Addis Ababa ambapo ndio kwenye ngome ya Ethiopian? Ukajibu wewe ni mgeni na pengine mlipitia lakini hukujua! Sasa huoni hili jibu ni kichekesho? Hivi ndege imekuwa dala dala ambayo inaweza kupita kituoni bila mtu kujua? Huoni ukimweleza mtu aliyewahi kusafiri na ndege kupitia Addis Ababa atakucheka sana? Ina maana uliteremka kwenye ndege na kubadilisha nyingine huku umelala na hujui kinachoendelea?cjaona,picha cjui Ku attach
namaanisha daraja LA pili yaan bussnes sio kila MTU anajua maana ya bussnesNdege haina second class mkuu hapo ndio unapoharibu.
1st class
Bussiness class
Economy class
Labda kama ww ulipanda treni ya TRL
hahaha vya chai n kama kipi hapo meku?Kuna vyaukweli na chai asante kwa taarifa mchagga mwenzangu
nyumbn wapi?Ungemalizia hivi " nilipotoka kilimanjaro airport nilienda Ubungo, nikawahi basi la kimotco kurejea nyumbani "
haahahaAla! Umekunywa waragi au? Nilishakuomba unitafutie ndege mimi?
Wakuu mpo pouwa?
Miez miwili iliyopita nilikuwa na tour yangu binafsi nchini Ujerumani, safari yangu ilianzia ktk uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro airport hadi Dubai nikitumia Ethiopian airline.
baada ya kufika Dubai nilichukua air Berlin hadi uwanja wa kimataifa wa Frankfurt ujerumani
nilikaa mjini Frankfurt siku mbili kabla ya kupanda treni ya umeme hadi ktk mji uitwao Cologne (koln) ambapo nilikutana na ndugu yangu ambaye ni padre wa kanisa katoliki.
Nilichokiona huko ni kuwa watu wa kule wapo busy sana hawana hata sekunde moja ya kupoteza, wanachakarika sana yaani, vile vile sitasahau siku hiyo nikiwa natoka Frankfurt kwenda koln niliporwa Pesa kama dola 200 nilikuwa nimeziweka mfuko wa mbele wa shati kumbe kuna vibaka kama huku sema wapo more advanced
Mwenyeji wangu aliniambia kuwa vibaka na matapeli wapo sana tu
Siku moja tukasafiri hadi mjini Dortmund kumsabahi padre mmoja hivi mtanzania jina lake padre Mosha nilienjoy sana siku hiyo nilipelekwa hadi uwanja wa mpira ktk mechi ya Borrusia Dortmund ilikuwa ikicheza na timu iitwayo Hertha Berlin ktk uwanja uitwao signal iduna arena hapo mjini Dortmund
Nilimuona live Aubemyang aliekuwa mchezaji wa Dortmund kabla ya kuja Arsenal
Basi nilimaliza ziara yangu ya siku 15 huko German na nikarejea bongo wakati nikirudi nilitumia etihad aiways nikapita Amsterdam Uholanzi then tukapumzika kidgo safari ikaanza hadi Dubai baadae. Nikachukua Ethiopia airline hadi Kilimanjaro international airport
I enjoyed my tour.
nimepitiwa wakt nakujibuUnajua unapotoa maelezo yakaacha mashaka lazima watu wakuulize mwaswali na unatakiwa uyajibu vzr! Umeulizwa mbona hakuna ndege ya Ethiopian ya kutoka KIA mpaka Dubai? Kwa nini hamkupitia Addis Ababa ambapo ndio kwenye ngome ya Ethiopian? Ukajibu wewe ni mgeni na pengine mlipitia lakini hukujua! Sasa huoni hili jibu ni kichekesho? Hivi ndege imekuwa dala dala ambayo inaweza kupita kituoni bila mtu kujua? Huoni ukimweleza mtu aliyewahi kusafiri na ndege kupitia Addis Ababa atakucheka sana? Ina maana uliteremka kwenye ndege na kubadilisha nyingine huku umelala na hujui kinachoendelea?
trip mojaMkuu ni one trip au one way ticket
kwamba?Hujatoa report bado