Niliyoyaona nchini German katika tour yangu

Niliyoyaona nchini German katika tour yangu

Huna haja ya kusimulia watu safari yako binafsi halafu unasema kuwa kuna uliyoyaona na wala hujayasema zaidi ya kuibiwa dola mia bili tu. Anyway sawa ume enjoy
 
miarabu kilichowabeba n mafuta tu
wasingekuwa na mafuta cjui wangekuaje
kule uarabuni wataalam wote n wagen hakuna mwarabu mtaalam labda awe junior sana,miarabu haijasoma
Huna ulijualo wewe endelea tu kuishi maisha ya kufikirika,ulimbukeni tu ndio unaokusumbua.
 
umekariri kuwa lazma itoke Düsseldorf ? kwan etihad wana ndege moja?
kama wewe ulipanda etihad ukapita Dusseldorf had Abu Dhabi usikariri zama zmebdlk
Mkuu unazidi kuonyesha uongo wako. Suala sio Etihad wana ndege nyingi kuna nyingine zinaenda Dortmund na nyingine Dusseldorf. Hakuna ndege ya Etihad inaenda Dortmund, hata kama wana ndege 10,000. Suala ni kwamba haiwezekani kuwa ulisafiri toka Germany ukaenda Uholanzi kwa Etihad. Hakuna kitu cha namna hiyo kuonyesha kuwa hii hadithi umetunga kujipa ujiko tu kuwa ulkuwa Germany. Waulize wazoefu wa safari kwa nini nasema wewe ni mwongo kuwa ulisafiri kwa Etihad toka Germany kwenda Uholanzi.

Kwa nini Watanzania tunakuwa waoungo kiasi hiki? Inakufaidi nini kudanganya humu JF?
 
wewe mcheku bhana
ungeuliza kwann
hapo nilikata ticket cku moja kabla ya safari maana ilikuwa ya kushtukiza kutokana na suala LA visa
pia hiyo Pesa n pmj na malaz unajua pale Frankfurt nililala hotel ya nyota 2 na pia nikaibiwa dola 200 jaman ka million 5 hakaishi hapo?
Meku Sasa ulitoa Maelezo in a very brief ndo maana uliacha maulizo sana
 
naam hata German ubaguz upo ila sio kivile sii kama kwa miarabu,wazungu wamestaarabika
Frankfurt nilikaa cku mbili mkuu
nilitaka pia kutembelea uswiss ila visa ikasumbua,maana uswiss na ujeruman sio mbali kivile
Wewe jamaa vipi? Unajua visa ya German ni nini? Hivi unajua maana ya Shenzhen visa kweli?
 
Etihad toka Amsterdam hadi Dubai?? ndo leo nasikia hii. Najua Etihadi zinapitia Abu Dhabi....
Kwani unaamini huyu mtu alisafiri kwenda huko?
Huyu kama alishawahi kusafiri basi ni kwa treni au bus hayo ya ndege na wapi wapitie ni bahar kwake utamuonea bure kama utamuuliza hayo maswali.
 
Kwani unaamini huyu mtu alisafiri kwenda huko?
Huyu kama alishawahi kusafiri basi ni kwa treni au bus hayo ya ndege na wapi wapitie ni bahar kwake utamuonea bure kama utamuuliza hayo maswali.
Kwa mashambuliZi haya mtoa mada atajuta kuifahamu JF
Jamaa wala hakusafiri wala nn.
Labda kwa ngorika toka rombo kwenda babati.
Ukitaka kudanganya hapa JF ujipange haswaa
 
Wakuu mpo pouwa?
Miez miwili iliyopita nilikuwa na tour yangu binafsi nchini Ujerumani, safari yangu ilianzia ktk uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro airport hadi Dubai nikitumia Ethiopian airline.

baada ya kufika Dubai nilichukua air Berlin hadi uwanja wa kimataifa wa Frankfurt ujerumani
nilikaa mjini Frankfurt siku mbili kabla ya kupanda treni ya umeme hadi ktk mji uitwao Cologne (koln) ambapo nilikutana na ndugu yangu ambaye ni padre wa kanisa katoliki.

Nilichokiona huko ni kuwa watu wa kule wapo busy sana hawana hata sekunde moja ya kupoteza, wanachakarika sana yaani, vile vile sitasahau siku hiyo nikiwa natoka Frankfurt kwenda koln niliporwa Pesa kama dola 200 nilikuwa nimeziweka mfuko wa mbele wa shati kumbe kuna vibaka kama huku sema wapo more advanced

Mwenyeji wangu aliniambia kuwa vibaka na matapeli wapo sana tu

Siku moja tukasafiri hadi mjini Dortmund kumsabahi padre mmoja hivi mtanzania jina lake padre Mosha nilienjoy sana siku hiyo nilipelekwa hadi uwanja wa mpira ktk mechi ya Borrusia Dortmund ilikuwa ikicheza na timu iitwayo Hertha Berlin ktk uwanja uitwao signal iduna arena hapo mjini Dortmund

Nilimuona live Aubemyang aliekuwa mchezaji wa Dortmund kabla ya kuja Arsenal

Basi nilimaliza ziara yangu ya siku 15 huko German na nikarejea bongo wakati nikirudi nilitumia etihad aiways nikapita Amsterdam Uholanzi then tukapumzika kidgo safari ikaanza hadi Dubai baadae. Nikachukua Ethiopia airline hadi Kilimanjaro international airport
I enjoyed my tour.
ilikuwa mara yako ya kwanza kwenda ulaya mkuu?
 
ilikuwa mara yako ya kwanza kwenda ulaya mkuu?
Asiwachoshe huyu hakwenda popote. Unaona anasema alitaka kwenda U-Swiss lakini visa ikagoam eti? Hajui kuwa ukiwa na visa ya Ujerumani hiyo hiyo inatumika mpaka u-Swiss kwani ni eneo la Schengen linalotumia visa moja. Na asidanganye kuwa hakujua kwani kama alimtembelea mtu anayeishi huko vitu kama hivi anavijua.
 
Back
Top Bottom