inategemea alikata tiketi mda gani, na alipanda ndege daraja gan nauli ya ndege sio kama daladala it variesKuna mtu alikuja Tz kutoka USA mmoja mwezi wa 6 mwaka jana mwingine mwezi wa 12, ila nauli yao go and return haikufika 3M sasa hii yako imebishangaza
Huyu atakuwa anasema ukweli ila hajielewi.Uongo mwingine hauna maana, kwanini usiulize kwanza kabla ya kuandika? Hakuna Ethiopian airline inayoruka direct to Dubai bila kwenda Adis ababa wakitikea KIA, ungejisomea hata google tu ndio ukaja na fix zako ungeeleweka, na hiyo one trip ya 2800usd ulipanda 1st class ya shirika gani.
acha papara mkuuUongo mwingine hauna maana, kwanini usiulize kwanza kabla ya kuandika? Hakuna Ethiopian airline inayoruka direct to Dubai bila kwenda Adis ababa wakitikea KIA, ungejisomea hata google tu ndio ukaja na fix zako ungeeleweka, na hiyo one trip ya 2800usd ulipanda 1st class ya shirika gani.
parokia ya mwikaNgoja nilale mzee,hivi unasali parokia gani Marangu route
hahaHongera kwa kuvuka border na kusafisha macho.
nilikata tiketi mda mfupi kabla ya safari ndio maanaAcha uongo wewe 5mln one trip ulipanda daraja gani? Then Etihad siku hizi connection inafanya Dubai?
inawezekana n ushamba wangu mkuuDec nilikua huko....nilikaa sana Koln na Bonn...mm sijaibiwa kama Wewe Mkuu..hahahaha
povu LA nn ndguToa movie tuu maan
duh sikujua haya wakuuNi kweli Mkuu, pia wanauza miili yao
hiyo million 5.7 n pamj na garama ya hotel niliokaa cku 2 pale Frankfurt na usafiri wa trenVP GARAMA ZA SAFARI KWA SIKU KM UTAKAA HOTELINI
naamInapendeza sana.
limefilisika lakin bado lina ndege chache halijafa totalyMbona Shirika la ndege la air Berlin lilishafilisika na kuacha ku-operate tangu mwaka jana October?
MBNA na ww umeandika taratibuMbona umeandika haraka haraka
nilifanyiwa connection hiyo na wakala wangu ambaye ninae huku mm sio mzoefu wa safar hizHakuna ndege yoyote ya Ethiopian Airlines inayotoka Kilimanjaro Airport kwenda Dubai! Ikitoka Kilimanjaro destination ni Addis Ababa, na pale ndio unapata ndege nyingine ya kuelekea unakotaka kwenda! Swali ni kwamba ulikuwa na shughuli yoyote Dubai? Kama sio, kwa nini utoke Addis uzungukie Dubai ili uende Frankfurt? Kuna kitu hakiko sawa kwenye hili simulizi lako!

Mbona route ndefu sana hiyo au ilikuwa ya bei rahisi au, ukichuua qatar airline mnaweza mkalala qatar tu na wanalipia wao au mnabadili ndege kutoka hapo ni moja kwa moja kwenda final destination dah ulichoka sana ETIHAD, ETHIOPIAN MhhhWakuu mpo pouwa?
Miez miwili iliyopita nilikuwa na tour yangu binafsi nchini Ujerumani, safari yangu ilianzia ktk uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro airport hadi Dubai nikitumia Ethiopian airline.
baada ya kufika Dubai nilichukua air Berlin hadi uwanja wa kimataifa wa Frankfurt ujerumani
nilikaa mjini Frankfurt siku mbili kabla ya kupanda treni ya umeme hadi ktk mji uitwao Cologne (koln) ambapo nilikutana na ndugu yangu ambaye ni padre wa kanisa katoliki.
Nilichokiona huko ni kuwa watu wa kule wapo busy sana hawana hata sekunde moja ya kupoteza, wanachakarika sana yaani, vile vile sitasahau siku hiyo nikiwa natoka Frankfurt kwenda koln niliporwa Pesa kama dola 200 nilikuwa nimeziweka mfuko wa mbele wa shati kumbe kuna vibaka kama huku sema wapo more advanced
Mwenyeji wangu aliniambia kuwa vibaka na matapeli wapo sana tu
Siku moja tukasafiri hadi mjini Dortmund kumsabahi padre mmoja hivi mtanzania jina lake padre Mosha nilienjoy sana siku hiyo nilipelekwa hadi uwanja wa mpira ktk mechi ya Borrusia Dortmund ilikuwa ikicheza na timu iitwayo Hertha Berlin ktk uwanja uitwao signal iduna arena hapo mjini Dortmund
Nilimuona live Aubemyang aliekuwa mchezaji wa Dortmund kabla ya kuja Arsenal
Basi nilimaliza ziara yangu ya siku 15 huko German na nikarejea bongo wakati nikirudi nilitumia etihad aiways nikapita Amsterdam Uholanzi then tukapumzika kidgo safari ikaanza hadi Dubai baadae. Nikachukua Ethiopia airline hadi Kilimanjaro international airport
I enjoyed my tour.
nilifanyiwa connection hiyo na wakala wangu ambaye ninae huku mm sio mzoefu wa safar hizHakuna ndege yoyote ya Ethiopian Airlines inayotoka Kilimanjaro Airport kwenda Dubai! Ikitoka Kilimanjaro destination ni Addis Ababa, na pale ndio unapata ndege nyingine ya kuelekea unakotaka kwenda! Swali ni kwamba ulikuwa na shughuli yoyote Dubai? Kama sio, kwa nini utoke Addis uzungukie Dubai ili uende Frankfurt? Kuna kitu hakiko sawa kwenye hili simulizi lako!
n kweli nilichoka sana,connection nilifanyiwa na MTU maana mm n mgeniMbona route ndefu sana hiyo au ilikuwa ya bei rahisi au, ukichuua qatar airline mnaweza mkalala qatar tu na wanalipia wao au mnabadili ndege kutoka hapo ni moja kwa moja kwenda final destination dah ulichoka sana ETIHAD, ETHIOPIAN Mhhh