luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,928
- Thread starter
- #21
hahaha[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

vingine n siri yangu yaani hata kama nimeenda kwa ajili ya kugegeda niseme hapa?Sasa Mbona Hatuoni Ulichoendea Huko.. maana Ni sawa na Msukuma Ametoka Mwanza amekuja Dar. Umeelezea Vitu Common sana Ambavyo Lazima Mtu afanye.. kupanda Treni.. ndege...
tutabanana hapahapasi ungezamia tu huko huko mkuu, walah nisingerud kwa sizonje katili
kuna wahun walinisoma ramankweli wako bize kuchakarika.
HADI WANAKUIBIA
hata hivyo maana kuku mgeni hakosi kamba mguunWalijua kuwa no zoba? Kutoka kwa sizonje
Direct flight from Dubai to KIA na Ethiopian airline? No, hapo umebugi Mkuu, maana actually Ethiopian airline their first destination from abroad ni Addis alafu ndio sasa ije Kia, au Nyerere etcWakuu mpo pouwa?
Miez miwili iliyopita nilikuwa na tour yangu binafsi nchini Ujerumani, safari yangu ilianzia ktk uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro airport hadi Dubai nikitumia Ethiopian airline.
baada ya kufika Dubai nilichukua air Berlin hadi uwanja wa kimataifa wa Frankfurt ujerumani
nilikaa mjini Frankfurt siku mbili kabla ya kupanda treni ya umeme hadi ktk mji uitwao Cologne (koln) ambapo nilikutana na ndugu yangu ambaye ni padre wa kanisa katoliki.
Nilichokiona huko ni kuwa watu wa kule wapo busy sana hawana hata sekunde moja ya kupoteza, wanachakarika sana yaani, vile vile sitasahau siku hiyo nikiwa natoka Frankfurt kwenda koln niliporwa Pesa kama dola 200 nilikuwa nimeziweka mfuko wa mbele wa shati kumbe kuna vibaka kama huku sema wapo more advanced
Mwenyeji wangu aliniambia kuwa vibaka na matapeli wapo sana tu
Siku moja tukasafiri hadi mjini Dortmund kumsabahi padre mmoja hivi mtanzania jina lake padre Mosha nilienjoy sana siku hiyo nilipelekwa hadi uwanja wa mpira ktk mechi ya Borrusia Dortmund ilikuwa ikicheza na timu iitwayo Hertha Berlin ktk uwanja uitwao signal iduna arena hapo mjini Dortmund
Nilimuona live Aubemyang aliekuwa mchezaji wa Dortmund kabla ya kuja Arsenal
Basi nilimaliza ziara yangu ya siku 15 huko German na nikarejea bongo wakati nikirudi nilitumia etihad aiways nikapita Amsterdam Uholanzi then tukapumzika kidgo safari ikaanza hadi Dubai baadae. Nikachukua Ethiopia airline hadi Kilimanjaro international airport
I enjoyed my tour.
Mkuu ilifika hapa? Cathedral...Wakuu mpo pouwa?

kuna wahun walinisoma raman
hahaha cjabahatika kuwaonaHukukutana na wale ombaomba wa Kiromania.
Maana ule ni mradi wa familia nzima kule Ulaya ya Magharibi.
kumbe na ww ulifikaga huku?Mkuu ilifika hapa? Cathedral...
visa alinishulikia ndgu yangu n padre si unajua ma padre wana exposure fulan tofauti?
nauli nilitumia almost million 5.7 one trip
nimesema hiyo niliopanda ilipita one way hadi Dubai,ila zingine huwa zinapitia adis AbabaDirect flight from Dubai to KIA na Ethiopian airline? No, hapo umebugi Mkuu, maana actually Ethiopian airline their first destination from abroad ni Addis alafu ndio sasa ije Kia, au Nyerere etc
nauli tu unadhan German n hapo tegeta kwa ndevu?Safari nzima ni 5.7? Au nauli tu ndiyo 5.7 tena kwenda tu?
hahaha cjabahatika kuwaona
wanakuwagaje?
Ngoja nilale mzee,hivi unasali parokia gani Marangu routevisa alinishulikia ndgu yangu n padre si unajua ma padre wana exposure fulan tofauti?
nauli nilitumia almost million 5.7 one trip
Acha uongo wewe 5mln one trip ulipanda daraja gani? Then Etihad siku hizi connection inafanya Dubai?visa alinishulikia ndgu yangu n padre si unajua ma padre wana exposure fulan tofauti?