Dec nilikua huko....nilikaa sana Koln na Bonn...mm sijaibiwa kama Wewe Mkuu..hahahahakumbe na ww ulifikaga huku?
nipe story zilizokusisimua
Dec nilikua huko....nilikaa sana Koln na Bonn...mm sijaibiwa kama Wewe Mkuu..hahahahakumbe na ww ulifikaga huku?
nipe story zilizokusisimua
Ni kweli Mkuu, pia wanauza miili yaoWaromania ni raia wa Romania,wamevamia sana Nchi zilizoendelea za Ulaya ya Magharibi, hasa miji mikubwa ya Ujerumani.
Hawafanyi kazi wao familia nzima baba, mama, mtoto, shemeji, mjukuu nk kazi yao ni ombaomba tu tena wanavizia sana wageni hasa Waafrika.
Wanajua sisi ngozi nyeusi tuna moyo wahuruma tunatoa .
Muulize JijiPoji Hamburg wapo wengi sana.
Mbona Shirika la ndege la air Berlin lilishafilisika na kuacha ku-operate tangu mwaka jana October?kivp mkuu? MBNA nimeeleza shortly vizur? wPi hapajaeleweka?
Wakuu mpo pouwa?
Miez miwili iliyopita nilikuwa na tour yangu binafsi nchini Ujerumani, safari yangu ilianzia ktk uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro airport hadi Dubai nikitumia Ethiopian airline.
baada ya kufika Dubai nilichukua air Berlin hadi uwanja wa kimataifa wa Frankfurt ujerumani
nilikaa mjini Frankfurt siku mbili kabla ya kupanda treni ya umeme hadi ktk mji uitwao Cologne (koln) ambapo nilikutana na ndugu yangu ambaye ni padre wa kanisa katoliki.
Nilichokiona huko ni kuwa watu wa kule wapo busy sana hawana hata sekunde moja ya kupoteza, wanachakarika sana yaani, vile vile sitasahau siku hiyo nikiwa natoka Frankfurt kwenda koln niliporwa Pesa kama dola 200 nilikuwa nimeziweka mfuko wa mbele wa shati kumbe kuna vibaka kama huku sema wapo more advanced
Mwenyeji wangu aliniambia kuwa vibaka na matapeli wapo sana tu
Siku moja tukasafiri hadi mjini Dortmund kumsabahi padre mmoja hivi mtanzania jina lake padre Mosha nilienjoy sana siku hiyo nilipelekwa hadi uwanja wa mpira ktk mechi ya Borrusia Dortmund ilikuwa ikicheza na timu iitwayo Hertha Berlin ktk uwanja uitwao signal iduna arena hapo mjini Dortmund
Nilimuona live Aubemyang aliekuwa mchezaji wa Dortmund kabla ya kuja Arsenal
Basi nilimaliza ziara yangu ya siku 15 huko German na nikarejea bongo wakati nikirudi nilitumia etihad aiways nikapita Amsterdam Uholanzi then tukapumzika kidgo safari ikaanza hadi Dubai baadae. Nikachukua Ethiopia airline hadi Kilimanjaro international airport
I enjoyed my tour.

Mkuu I raised the same concern...Hakuna ndege yoyote ya Ethiopian Airlines inayotoka Kilimanjaro Airport kwenda Dubai! Ikitoka Kilimanjaro destination ni Addis Ababa, na pale ndio unapata ndege nyingine ya kuelekea unakotaka kwenda! Swali ni kwamba ulikuwa na shughuli yoyote Dubai? Kama sio, kwa nini utoke Addis uzungukie Dubai ili uende Frankfurt? Kuna kitu hakiko sawa kwenye hili simulizi lako!
Haijafilisika, juzi tu nilikua Germany, na linafanyakazi kama kawaida...nilifly from Koln/Bonn Airport to Berlin na Air BerlinMbona Shirika la ndege la air Berlin lilishafilisika na kuacha ku-operate tangu mwaka jana October?
Haijafilisika, juzi tu nilikua Germany, na linafanyakazi kama kawaida...nilifly from Koln/Bonn Airport to Berlin na Air Berlin
Acha kudanganya watu. One way ni around $600 na Round Trip ni less than $900 ni nauli za sasa mpaka March. KILIMANJARO MPAKA KOLN.visa alinishulikia ndgu yangu n padre si unajua ma padre wana exposure fulan tofauti?
nauli nilitumia almost million 5.7 one trip
Uongo mwingine hauna maana, kwanini usiulize kwanza kabla ya kuandika? Hakuna Ethiopian airline inayoruka direct to Dubai bila kwenda Adis ababa wakitikea KIA, ungejisomea hata google tu ndio ukaja na fix zako ungeeleweka, na hiyo one trip ya 2800usd ulipanda 1st class ya shirika gani.ndio Ethiopia airline wana ndege moja inayotoka one way hadi Dubai,ila nyingi zinapitia adis Ababa kwanza
ndio Ethiopia airline wana ndege moja inayotoka one way hadi Dubai,ila nyingi zinapitia adis Ababa kwanza[/QUOTE)
Ndege ya ET lazima kwanza itue Addis ndio ielekee DXB
nauli tu unadhan German n hapo tegeta kwa ndevu?
[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]kwetu hiyo n kansa