Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,733
Ndo maana wenzako tukiendaga tunaenda New Delhi. Hii ndo India ya kisasa ya wastaarabu.
Wadau wikiiliyopita nilibahatika kwenda matembezi ya wiki moja nchini India Nilifikia katka jiji la Mumbai. kama ilivyo kawaida sehemu yeyote ukifika kwa mara ya kwanza lazima kuna mambo kadhaa kama si yote yatakuwa ni mageni kwako. Yafuatayo ni baadhi ya yale niliyo yashuhudia huko Mumbai. (1) Foleni ya magari na Pikipiki Sijawahi katika maisha yangu kudhani hata siku moja kama kuna sehemu kunawezakuwepo na msongamano wa magari na pikipiki kama ilivyo mumbai (2) Kelele za honi za magari na pikipiki nadhani kuna maeneo india kama chombo chako cha moto hakina honi huwezi kuendesha Ninaposema kelele za honi ni kelele kweli huwezi amini pikipiki imefungwa honi ya gari (3) Uchafu jamani ukweli ni kwamba hawa ndugu zetu ni wachafu Ukiingia kwenye mighahawa hii ya hali ya chini kwakweli kama una kinyaa huwezi kula. Nimambo mengi sana nimejionea mwenyewe huko kwa wenzetu lakini sio rahisi kuyaeleza yote hapa. Mwingine aliewahi fika huko kwa wadosi amwage hapa alichojifunza. Sikunyingine nitaelezea nilichofahamu kuhusu zile Hospitali maaarufu za Appolo Nawasilisha
Mkuu hamisj hivi basi la Mahuta kupitia Kisangara bado lipo??duuuh huko utawasumbua sana Wamakonde dadeki...hasa pale Newala mjini karibu na Posta kwa Braza Adam...Inapikwa sambusa moja tamu sana!Msimu wa mihogo kila mtu na kipisi cha muhogo mdomoni....Daaah Newala kuchereeeeeHizo honi hapa bongo naweza zipata dukani?? nataka nisumbuane na shemeji zangu wa kimakonde mahuta huku
Ha ha ha.Punguza Uvelu Wako.
Mumbai ni kusafi ukilinganisha na Kolkata. Magari ni mengi lakini hukuti ajali kama kwetu. Heshima ya uhindini huwezi ipata popote, hebu fikiria mtoto anamwogopa baba utadhani ni malaika. Bikra uhindini ni jambo lenye tija. Ingawa uchafu, kutema mate ovyo, kukojoa barabarani hata kama Samora Avenue ni jambo la kawaida na watoto wa kiume kwenda kujifunza au kupunguza uhanga kwa machangu ni kawaida.Mie Nikiingiaga ndani ya daladala kuchefukwa... mashule yetu mengi wanafunzi hujisaidia vichakani....
Nikipita mitaa ya Congo hupataga kisunzi...........
Nikiingia uwanja wa maonyesho ya 77 nazuiga tumbo hadi baadae...
Nikipandaga mabasi ya mikoani na bana pua na kuziba masikio.........
Sijui eapoti maji hakuna Hospitali maji na umeme wa kusasua...........
WEWE mf bean. Mumbai ni jjiji lenye wakazi (24m) Zaidi nusu ya idadi ya waTZ.... halafu huduma za tiba zote hupatikana papo hapo!! na kila aina upasuaji na ubadilishaji viungo bila kucheleweshwa na mlolongo wa Siasa... ni pesa yako !!
Jijila Mumbai lina miaka Zaidi 3000 toka lijengwe.... Soko la kwanza la dhahabu duniani ni Mumbai... bandari kuu imeshemiri usafiri wa maji kuunganisha dunia.....
mara ingine anza na Ukweli na haki ya mazuri yenye faida!!
Uhanga ndo nini?Mumbai ni kusafi ukilinganisha na Kolkata. Magari ni mengi lakini hukuti ajali kama kwetu. Heshima ya uhindini huwezi ipata popote, hebu fikiria mtoto anamwogopa baba utadhani ni malaika. Bikra uhindini ni jambo lenye tija. Ingawa uchafu, kutema mate ovyo, kukojoa barabarani hata kama Samora Avenue ni jambo la kawaida na watoto wa kiume kwenda kujifunza au kupunguza uhanga kwa machangu ni kawaida.
Hamu ya kutoka na mwanankeUhanga ndo nini?
Hivi ccm mkiitwa viazi mnaona sifa?INDIA umetoka wiki iliyopita thread unaanzisha leo baada ya narendra modi kuhutubia mie nawaambia hivi.... mtaisoma namba na mikataba imeshasainiwa tufanye kazi, tujenge nchi chadema hamuwezi chukua nchi kwa thread zisizokuwa na kichwa wala miguu kama hizi
Wanathamini sana bikra.?!Mumbai ni kusafi ukilinganisha na Kolkata. Magari ni mengi lakini hukuti ajali kama kwetu. Heshima ya uhindini huwezi ipata popote, hebu fikiria mtoto anamwogopa baba utadhani ni malaika. Bikra uhindini ni jambo lenye tija. Ingawa uchafu, kutema mate ovyo, kukojoa barabarani hata kama Samora Avenue ni jambo la kawaida na watoto wa kiume kwenda kujifunza au kupunguza uhanga kwa machangu ni kawaida.