Niliyoyaona Mumbai(Bombay)

Niliyoyaona Mumbai(Bombay)

Hahahahahdhah

Kwa ninayoyasoma hapa naanza kupata kichefuchefu ptuuuu!!!

Wahindi wachafu

Kwakweli wahindi ni wachafu. Kuna siku nilienda kunyoa saluni kwenye lile sink la kuoshea baada ya kunyoa jamaa humo humo wanatema mate. Tena bora yangekuwa mate ya fasta ni kama udenda halafu yamebadilika rangi.
 
hakuna fahari ya kutembea na gari huko BORA nibaki BONGO ,

Mumbai ni bora ukodi bajaji ambayo wanaita rickshaw kwenye foleni inajitahidi kidogo na bei sio kubwa.Upande wa Tax zinatofautiana bei zenye ac amna ambazo hazina.
 
Mbona hawa wahindi wa hapa mjini wana kiburi sana utadhani wanatokea sehemu ya maana kumbe OLD manzese type??? Lini watarudi kwao Mumbai bana?
Nimerekebisha manake manzese saivi inatisha kwa magorofa kkoo soon itasubiri
 
Mimi nilienda last year Mumbai.juu ya honi na u busy Wa mji wao. Sijaona ajali barabarani.Mimi niliona wahindi wakarimu tofauti na nilivyohisi.chakula sikukipenda .na lugha ilikuwa ngumu usafiri wangu ulikuwa bajaji.muendesha bajaji kizungu hajui tunaelekezana kwa vitendo.na mji wao ni rahisi kupotea.
 
Umenena vyema sana ndugu ila nahisi una asili ya uponjoro wewe maana una full data ya Mumbai, mpaka bethidei yake unaijua.
Hahaha kanjibal huyu siku hizi magabachori wamejaa hadi jf
 
vp huko unaweza pata kimwana faster ukarudi nae bongo
 
. Ni mji peke duniani ambao kuna chui wanaishi mjini. Usipokuwa makini Mumbai utajikuta unaliwa na chui.
. Ni lazima utembee na viatu Mumbai, la sivyo utakuwa unakanyaga mavi ya watu tu muda wote na kuhatarisha maisha yako
. Ukikuta chupi kando kando ya barabara usiiokote, ni ya mtu kaanika.....kule kauka nikuvae imeshamiri sana
. Mara nyingi kwenye migahawa, mteja akila vyombo havioshwi....vinapanguswa tu kwa ajili ya mteja mwingine
. N'gombe na wanyama wengine kuzagaa mitaani bila sababu
. Karibu kila hoyeli kubwa ina makahaba wa kila jinsia kwa ajili ya kuburudisha wateja wao wengi wa makahaba wao ni wavulana na visichana chini ya miaka 15, I couldn't believe it.
 
Kingine ni ubaguzi wa wahindi kwa watu weusi. Mtu mweusi India hana heshima kama ambavyo nchini petu tunavyowaheshimu watu wa rangi zote.
 
Mara nyingi sana ukiona mtoto wa kike amejiua wakati mwingine inatokana na kuwa alimpa utamu kijana akiwa na matumaini kuwa atamuoa, akighairi inakuwa ni shida kuolewa maana hatakuwa na Bikra. Ujue India kuna aina mbili za ndoa yaani love marriage na arranged marriage. Kuna wanaooa kwa kujichagulia mchumba na ambao wanatafutiwa mchumba na wazazi wao. Vijana huku ni waungwana na ni wasikivu kwa baba zao, hivyo baba akikataa usimuoe binti fulani huoi. Usisahau kuwa Wahindi hukaa katika kaya moja hivyo ukioa mke wako anakuja kuishi katika kaya yenu. Kama bibi yako yupo hai ndiye boss wa mama yako na mke wako. Akifa bibi, mama anatawazwa kuwa boss. Mpaka mama yako atoweke ndiyo mke wako atakuwa boss. Kwetu utaambiwa bado unakula kwa mama? Niishie hapo ila kama una zaidi
Aisee duh,

Kwa maana nyingine akiolewa bila kuwa bikra inakua ni aibu kwa familia husika.!?
 
. Ni mji peke duniani ambao kuna chui wanaishi mjini. Usipokuwa makini Mumbai utajikuta unaliwa na chui.
. Ni lazima utembee na viatu Mumbai, la sivyo utakuwa unakanyaga mavi ya watu tu muda wote na kuhatarisha maisha yako
. Ukikuta chupi kando kando ya barabara usiiokote, ni ya mtu kaanika.....kule kauka nikuvae imeshamiri sana
. Mara nyingi kwenye migahawa, mteja akila vyombo havioshwi....vinapanguswa tu kwa ajili ya mteja mwingine
. N'gombe na wanyama wengine kuzagaa mitaani bila sababu
. Karibu kila hoyeli kubwa ina makahaba wa kila jinsia kwa ajili ya kuburudisha wateja wao wengi wa makahaba wao ni wavulana na visichana chini ya miaka 15, I couldn't believe it.
Uuh, aisee.
 
Chui kabisa.?!
 
eeeh bado wanauza nywele za maiti....wanauzia nani tena?
No, za walio hai. Kuna namna wanawanyoa halafu wanawalipa halafu kuna namna zinaoshwa, wana anika then wanauza kwenye viwanda vya mawigi nao wana export

Kama ulishawahi sikia kuhusu mawigi ya kihindi

(wanaita india nini sijui)
 
Back
Top Bottom