Nilivyovuka vikwazo vya kidini kutetea penzi

Nilivyovuka vikwazo vya kidini kutetea penzi

Status
Not open for further replies.
njiwa KWANI WEWE UNA UHAKIKA KUWA UTAIONA PEPO? UMETENDA DHAMBI NGAPI HAPA DUNIANI MPAKA UNAMHUKUMU MTU ALIYEBADILI DINI?

KUBADILI DINI SIYO KUMBADILI MUNGU, MUNGU NI MMOJA TU NA DINI NI NJIA TU YA MAWASILIANO KATI YA BINADAMU NA MUNGU.. HVYO KUITWA MUISLAMU HUKU UKITENDA DHAMBI HAIKUONDOLEI ADHA YA MOTO HUKO JEHANAMU.. KABLA YA KUMHUKUMU MWENZAKO JIHAKIKISHE KUWA WEWE NI MSAFI KWA 100%

ALIYERITHI DINI NI MPUMBAVU KULINGANISHA NA MTU ALIYEINGIA KATKA DINI AKIWA NA AKILI ZAKE TIMAMU.
Mkuu heshima kwako,mkuu mungu wa waislam si mungu wa wakristo au wa dini yeyote, kila wenye imani yao wana mungu wao na kuthibitisha hilo ndo maana wenye kuabudu jua mungu wao ni JUA wenye kuabudu MOTO mungu wao anaitwa moto pia waislam mungu wao ni ALLAH wakristo nao wako kwa BWANA YESU, kwa hiyo kauli ya mungu wetu ni mmoja mnh! si sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mm na Ninja ni bila bila hata nikimkuta dukani aseh si ingii ni mtazamo wangu tu lakin, ila kama amevaa ushungi sawa ninja nooo
 
Kwa hesabu za haraka kutoka 2008 mpaka sasa ni kama miaka 9, nikitoa miaka 3 ya ualimu inabaki 6. Miaka 6 tu mmeuaga umaskin na kuajiri watu 300, si mchezo sijui mna kiwanda




ni biashara ya mbao Mkuu na duka..


wafanyakazi 300 sio mchezo mchezo....ni biashara ya mtaji zaidi ya Billion..

Wàlahi naenda oa mvaa ki-ninja...wana 'kismati' ati..!
 
Umesema kwamba wazazi walikuwa waislamu halafu na wewe ulijikutatu muislamu siyo!.
Acha hadisi.

SIJUI KESHO.
 
Kwa hesabu za haraka kutoka 2008 mpaka sasa ni kama miaka 9, nikitoa miaka 3 ya ualimu inabaki 6. Miaka 6 tu mmeuaga umaskin na kuajiri watu 300, si mchezo sijui mna kiwanda
Hata kwa miaka mi2 inawezekana. Acha uzembe wa fikra

Hate me at your own risk
 
Dada Salma habari yako, umesema kwamba wazazi wako ni waislam kwa hiyo na wewe ukajikuta unaangukia huko, naomba nikuulize hivi je huo uislam wako wewe ni wa kurithi tu kwa kuwa baba na mama ni waislam au uliusoma uislam na ukajua taratibu zake?.
Maana unaweza ukajifariji kuwa umetetea upendo wako lakini hukujua kile ulichokiacha kwa sababu ya upendo kina thamani gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dini zote tunarithi mkuu. Kwanza unarithi alafu ndo unafundishwa dogma. Laiti wangekuwa wanatuacha mpaka tunafikisha miaka 18 ndio waanze kutufundisha ili tuchague wenyewe kaa tuakubali au lah! huenda hata wewe hiyo dini uliyo nayo usingekuwa na hiyo.

Huu ndio ukweli mchungu japo utapinga.

Hate me at your own risk
 
Hakuna mafunzo wala nini hapo...maana hakukuwa na kizingiti chochote ulichovuka. Kuongea tu wazazi wakakubali kuna nguvu gani umetumia?
After all mwanamke hana dini.

Na mtu mwenye imani yake huwezi kumng'oa dini yake hata kwa nini, labda ukaroge. Fainali ni siku ya ufufuo, hizi dini mbwembwe tu.


Sukari Yenu
 
Hii story yako inamikumbusha dada mmoja kule Tanga yeye alikuwa mkristo alipata boy friend half caste wa ki-Arabu, yule kijana baba yake alikuwa Dubai binti wazazi walimgomea kubadili dini akatia ngumu aliolewa na jamaa kwakweli walipendana.

Wazazi sasa hivi hawajali tena tofauti yake ya dini yeye ndiye amewajengea nyumba kwa msaada wa mume wake na amewafungulia biashara.
Mwanamke hana dini
 
Story yako itafanya watu wajisikie vibaya, we haya tu[emoji12] Humu stories zenye positive ending huwa hazipendwi, utaambiwa it's just a matter of time Allex atakuletea watoto wa nje[emoji12].
Najua lkn hayo maneno yao hayatabadiri nilichoamua, tunaishi Leo kesho tunaifikia kwa imani pamoja na hilo si kila mwenye imani ya kuifikia kesho huifikia
 
Mkuu heshima kwako,mkuu mungu wa waislam si mungu wa wakristo au wa dini yeyote, kila wenye imani yao wana mungu wao na kuthibitisha hilo ndo maana wenye kuabudu jua mungu wao ni JUA wenye kuabudu MOTO mungu wao anaitwa moto pia waislam mungu wao ni ALLAH wakristo nao wako kwa BWANA YESU, kwa hiyo kauli ya mungu wetu ni mmoja mnh! si sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nani kakwambia Mungu wa wakristo ni Bwana Yesu..!?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom