Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Ila binadamu....

Kitu nimegundua hapa JF wanaoruhusiwa kujivuna ni ME, KE akijisifia ni kosa..

Kuna watu humu wana matambo ila sijawahi kuona wakisemwa wala kunyooshewa vidole...sasa ukiwauliza kwanini Wangari akijifanya mjuaji kwamba kila biashara anafanya kuna shida gani...Majibu hawana...
Wengine wanam'attack hadi maisha yake binafsi sababu tu eti anajifanya mjuaji[emoji849]....

Mahangaiko yao ni mengi aisee...
Si ndio hawa matapeli wa elfu 20 za wanafunzi, wewe unajitapa una mabiashara wakati yeye life la kuunga unga ataacha kukuchukia bila sababu. Wako na inferiority complex za kiboya sana, hata ukifuatilia wadhalilishaji wakubwa humu ni wanaume. Kuna uzi uliwahi anzishwa "wanaume wengi wa jf wana stress" ila ukafutwa haraka yawezekana ni kweli. Ni mabully hatari bila sababu za msingi.
 
Nilimfataga jukwaa la sports alipokuwa anashinda.
Kumuambia nipe pesa.
Weee akaona hapa nitaanzishiwa uzi akapotea.
Embu fikiria, mimi pesa sina namuombe kwa mwanaune wangu.
Halafu akanipiga kizembe.
Na pesa ya mwanaume wangu, halafu hata angesema nimuombee tu pia angempa.
Lakini akakubalo kupoteza urafiki na uaminifu kila pesa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo una nini Odo? Mbona hela ya Mwanaume wangu?

Na hela ya kupewa na Baby ilivyo tamu, na nzuri ya kupendeza then mtu mwingine aje aile kirahisi hivyo? Siyo poa..
 
Yaani anaweza kwenda bar anaagiza bia, na kama ana demu mkali anaagiza heineken halafu anampigia simu Mzigua90 amtumie pesa alipe bill.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo sio mzima, akili iko na shida.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo una nini Odo? Mbona hela ya Mwanaume wangu?

Na hela ya kupewa na Baby ilivyo tamu, na nzuri ya kupendeza then mtu mwingine aje aile kirahisi hivyo? Siyo poa..
Odo Hela ya mwanaume wangu inaniuma hadi leo woiiii niache
 
Mimi kama wewe sikuwepo hiyo siku ila sijui alimtapeli mchango wa kufungua biashara sheba, wakachanga..
Ila siamini jana kama control
Hii niliiona..

Tena tangu uzi uliletwa, ukafutwa ukarudishwa tena, ukafutwa tena mazima hadi leo niliuona...

Huzuni ni yule Dada maskini, sijui alikula life ban au vipi.. hadi leo sijawahi tena kumuona humu..
 
Wadada kwa nini mnapenda kutetea ujinga wa Wangari Maathai mnakumbuka watu walishawahi leta Uzi juu yake hadi vielelezo na waliishia kupigwa Life BAN?? Wangari Maathai Ni tapeli, tena uikiingia kwenye 18 zake anakula pesa zako, kwa miadi ya kukupa Chaka la business za migodini huko! Tulishapigwa,tumekaa kimya,funika Kombe mwana haramu apite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom