Simeone
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 1,157
- 1,314
Sawa lakini nyinyi mnaosema mmejifunza miaka ni waongo huo u-pro mtu anaupata kwa ndani ya miezi 4 tu, miaka ni kitu gani unajifunza?no, huwezi kuwa correct kwenye kila positin. kuwa pro means kuwa profitable on the long run, kwamba winners ni nyingi kuliko losses. na siyo kwa bahati bahati. yes unaweza kui multiply $20 mpaka $200 kwa kubahatisha trade moja au mbili tu. sasa hapo huwezi kuseam wewe ni pro. ila unabahatisha bahatisha.