Nilitoa kafara miaka mitano kujifunza Forex

Nilitoa kafara miaka mitano kujifunza Forex

Sawa tafta siku uje arusha ninafuga kondoo na mbuzi kisasa kabsa na wanafaida ya wazi niikikupa somo ukifuata unapata matokeo kama mm au zaidi.
sawa, nashukuru.
 
Hata kwenye betting mtu àkila mkeka mmoja kati ya mikeka 10 kichwa kinatuna na kujiona nguli wa kusuka mikeka.Ni sawa na FX unaweza kuwa unapata pesa kweli ila ulizopoteza ni nyingi kuliko ulizoingiza.Hakuna pesa za ku download duniani huo ni utapeli kama utapeli mwingine
 
kwani nani amesema zipo pesa za ku download? hakuna pesa rahisi.
 
no, huwezi kuwa correct kwenye kila positin. kuwa pro means kuwa profitable on the long run, kwamba winners ni nyingi kuliko losses. na siyo kwa bahati bahati. yes unaweza kui multiply $20 mpaka $200 kwa kubahatisha trade moja au mbili tu. sasa hapo huwezi kuseam wewe ni pro. ila unabahatisha bahatisha.
Kk ni ngumu kuwaelewesha watu do what is right for you most of people wanao ku challenge aren't ready to learn just here kukubeza let them believe what they live for mzee
 
Uzuri umeeleweka nq watu waliokuelewa mimi ni mwezi wa 6 nachukua skills kutoka kwenye vitabu.
 
Uzuri umeeleweka nq watu waliokuelewa mimi ni mwezi wa 6 nachukua skills kutoka kwenye vitabu.
yes, a lot of tanzanians dont wanr to bother themselves in reading books. wanataka youtube videos zilizotafsiriwa. kama ni hivyo basi si wengi wangefaulu?
 
Back
Top Bottom