Nilitoa kafara miaka mitano kujifunza Forex

mkuu, nuru nione mara ngapi? mpaka naleta uzi huu ina maana si nuru tu, bali jua kabisa in its full powers. na ndiyo maana nimekuja kupinga misconceptions za wengi humu kuhusiana na forex trading. only that. sitafuti kichwa cha mtu yeyote wala fedha ya mtu yeyote.
Kindege
 
Habari kila mwanachama humu... mimi niko salama kabisa na naendelea na majukumu yangu ya kujenga taifa kama ilivyo ada.

Humu jukwaani, na si humu tu, bali hata mitaani kwa kweli mapokezi ya fursa hii ya teknolojia ya kidigitali ya forex yamekuwa hafifu na yakupigwa sana vita. sababu ni nyingi na kila mmoja ana sababu zake. binafsi kwa upande wangu nina historia yangu kuhusu forex.

Maswali ni mengi sana. mara oog hakuna anayefanikiwa au aliyetoboa kupitia forex, mara ooh forex ni utapeli tu, mara ooh hakuna pesa rahisi(ni kweli na ndiyo maana akili ni lazima iumie kwelikweli) na maneno kadha wa kadha.

Stori yangu.
nimekaa kimya kwa muda mrefu mno... leo naona ni wakati sahihi wa kueleza kile nijuacho kuhusiana na forex trading.

1. Forex trading ni biashara kama zilivyo zingine. ni halali kisheria kwenye mataifa makubwa kama USA na UK na inahusisha kulipa kodi kisheria. kuna sheria zinasimamia hii ili kudhibiti cheating. tofauti kubwa ni kwamba forex trading inafanyika online(hapa ndipo watu wanatania na kuita pesa za kudownload)

2. Kama ilivyo kawaida, kila biashara ina hasara na faida. pia forex ina hasara pia, na si vema kuifanya kwa mihemko, ni lazima risk iwe managed.

3. Kwa nchi zetu, ni biashara inayokua kwa kasi ingawa kwa tz bado hearsay ni nyingi na scandal za utapeli ni nyingi.

4. Ni rahisi kutengeneza pesa forex ila ni ngumu pia. kama ilivyo kwenye biashara nyingine yoyote. uzoefu na umakini pamoja na kukubali hasara. hata wanaowekeza kwenye hisa na hatifungani nadhani wanatambua hii concept.

5. Elimu, elimu, elimu. hapa namaanisha elimu sahihi isiyoghoshiwa.

experience yangu:
1. Nilijifundisha forex kwa miaka zaidi ya 5 ndipo nikaanza rasmi trading. baada ya miaka 2 ndipo nikaanza kuona faida na kumake baada ya kupoteza na kuchoma mtaji zaidi ya mara 20(mara nyingi sana). nakumbuka scenario moja ya kupata $420 kwa mtaji wa $200(market volatility ilikuwa juu mno).

2. Kipindi ha miaka mitano ya kujifunsisha, ndipo nili develop my own strategy.

3. Sikutaka na sikuwahi kuwa na mentor, kila kitu nilifanya mwenyewe... ni kusoma pdf's na ku practise.
youtube videos and classes sikuvitaka hata kuvisikia, nilijifundisha mwenyewe kila kitu,

4. Nili trade mwenyewe, sikuwa hi kumpa mtu hela yangu atrade badala yangu. hii iliniepusha na matapeli wengi mno na vilio ambayvyo havikuwa na ulazima.

5. Mwisho... siongei yote... lazima ieleweke kuwa mafanikio kwenye kitu chochote huenda kwa watu wachache na si wengi...

nb
Mimi siyo mentor na sufundishi mtu, nimetoa experience yangu tu.
ahsanteni sana.
Nataka kujifundisha hii nadropshipping
 
mkuu, nuru nione mara ngapi? mpaka naleta uzi huu ina maana si nuru tu, bali jua kabisa in its full powers. na ndiyo maana nimekuja kupinga misconceptions za wengi humu kuhusiana na forex trading. only that. sitafuti kichwa cha mtu yeyote wala fedha ya mtu yeyote.
Sawa mkuu kama umefanikiwa kumake dola baada ya kafara ya muda mrefu, kwa haraka kwasasa win rate yako ni kwenye % ngapi mkuu.. ilo la kutafta kichwa umelisema wewe,
 
kabla sijajibu swali lako... nikueleze tu kuwa, mimi sikuwahi kutumia demo account... kamwe. nilikuwa na interact na real live market. so, nilipigika sana. ila, kila nilipo lose nilikaa nikawaza why i lost. success yangu ilianza hapo, kidogo kidogo.
 
SAsa hilijibu linausiana nn na swali langu? Au unajibrand?
 
hapana mkuu... nikisema rate yangu nitakuwa kama natafuta vichwa... na mimi sikuleta uzi kwa lengo la kutafuta vichwa kwa wala kupokea pesa kwa YEYOTE. nilileta uzi ili kuonesha kwamba inawezekana. success niliyopata inabaki siri kwangu.
 
Umri wako mkuu? Pengine ungejaribu kupitia nyuzi zinazohusu fx kama yako humu, ungezikuta si chini ya 50 na hakuna mpaka kesho aliyewahi thibitisha kufaidika kupitia fx zaidi ya blah blah tu.

Endelea tu na fani yako iliyotukuka ya uhandisi kabla fx haijakufilisi
 
Habari kila mwanachama humu... mimi niko salama kabisa na naendelea na majukumu yangu ya kujenga taifa kama ilivyo ada.

Humu jukwaani, na si humu tu, bali hata mitaani kwa kweli mapokezi ya fursa hii ya teknolojia ya kidigitali ya forex yamekuwa hafifu na yakupigwa sana vita. sababu ni nyingi na kila mmoja ana sababu zake. binafsi kwa upande wangu nina historia yangu kuhusu forex.

Maswali ni mengi sana. mara oog hakuna anayefanikiwa au aliyetoboa kupitia forex, mara ooh forex ni utapeli tu, mara ooh hakuna pesa rahisi(ni kweli na ndiyo maana akili ni lazima iumie kwelikweli) na maneno kadha wa kadha.

Stori yangu.
nimekaa kimya kwa muda mrefu mno... leo naona ni wakati sahihi wa kueleza kile nijuacho kuhusiana na forex trading.

1. Forex trading ni biashara kama zilivyo zingine. ni halali kisheria kwenye mataifa makubwa kama USA na UK na inahusisha kulipa kodi kisheria. kuna sheria zinasimamia hii ili kudhibiti cheating. tofauti kubwa ni kwamba forex trading inafanyika online(hapa ndipo watu wanatania na kuita pesa za kudownload)

2. Kama ilivyo kawaida, kila biashara ina hasara na faida. pia forex ina hasara pia, na si vema kuifanya kwa mihemko, ni lazima risk iwe managed.

3. Kwa nchi zetu, ni biashara inayokua kwa kasi ingawa kwa tz bado hearsay ni nyingi na scandal za utapeli ni nyingi.

4. Ni rahisi kutengeneza pesa forex ila ni ngumu pia. kama ilivyo kwenye biashara nyingine yoyote. uzoefu na umakini pamoja na kukubali hasara. hata wanaowekeza kwenye hisa na hatifungani nadhani wanatambua hii concept.

5. Elimu, elimu, elimu. hapa namaanisha elimu sahihi isiyoghoshiwa.

experience yangu:
1. Nilijifundisha forex kwa miaka zaidi ya 5 ndipo nikaanza rasmi trading. baada ya miaka 2 ndipo nikaanza kuona faida na kumake baada ya kupoteza na kuchoma mtaji zaidi ya mara 20(mara nyingi sana). nakumbuka scenario moja ya kupata $420 kwa mtaji wa $200(market volatility ilikuwa juu mno).

2. Kipindi ha miaka mitano ya kujifunsisha, ndipo nili develop my own strategy.

3. Sikutaka na sikuwahi kuwa na mentor, kila kitu nilifanya mwenyewe... ni kusoma pdf's na ku practise.
youtube videos and classes sikuvitaka hata kuvisikia, nilijifundisha mwenyewe kila kitu,

4. Nili trade mwenyewe, sikuwa hi kumpa mtu hela yangu atrade badala yangu. hii iliniepusha na matapeli wengi mno na vilio ambayvyo havikuwa na ulazima.

5. Mwisho... siongei yote... lazima ieleweke kuwa mafanikio kwenye kitu chochote huenda kwa watu wachache na si wengi...

nb
Mimi siyo mentor na sufundishi mtu, nimetoa experience yangu tu.
ahsanteni sana.
kuna mtu anatafutwa akandwe, na watapatikana tu wajinga wa kuwakanda
 
Umri wako mkuu? Pengine ungejaribu kupitia nyuzi zinazohusu fx kama yako humu, ungezikuta si chini ya 50 na hakuna mpaka kesho aliyewahi thibitisha kufaidika kupitia fx zaidi ya blah blah tu.

Endelea tu na fani yako iliyotukuka ya uhandisi kabla fx haijakufilisi
haiwezi kunifilisi kwa sababu naifanya kama kazi, na naiheshimu.
 
hapana mkuu... nikisema rate yangu nitakuwa kama natafuta vichwa... na mimi sikuleta uzi kwa lengo la kutafuta vichwa kwa wala kupokea pesa kwa YEYOTE. nilileta uzi ili kuonesha kwamba inawezekana. success niliyopata inabaki siri kwangu.
Kwajinsi unavojibu maswali humu kuna uwezekano mkubwa sana kuwa wewe ni tapeli au nimpenda sifa.
Akuna popote ulipoproof wewe kama wewe kuwa umefaidika, no trade history no win rate zaidi ya kujisifu.
Usiku mwema bro.
 
Kwajinsi unavojibu maswali humu kunauwezekano mkubwa sana kuwa wewe ni tapeli au nimpenda sifa.
Akunapopote ulipoproof wewe kama wewe kuwa umefaidika, no trade history no win rate zaidi ya kujisifu.
Usiku mwema bro.
sawa, na kwako pia. jitwike msalaba wako ufuate trading kwa heshima na umakini. hakuna pesa rahisi. ni wewe kuingia sokoni na kujifunza mwenyewe. usitake short cut ya kutafuniwa. anyway, tufanye nakuonesha trading history... then utapata faida gani??
 
Kwani ulivo anzisha huu uzi ulikua unataka watu wafaidike na nini?
 
swali zuri. humu ndani kumekuwa na nyuzi nyingi sana za watu wakiseam fx trading ni utapeli, hakuna aliyetengeneza pesa, na blah blah nyingi... nimekaa kimya muda wote huo... ila nikaona hali inazidi kuwa tete, ikabidi nije na uzi huu kukanusha kwa fact kwamba si kweli. kuna watu wanaishi kwa fx na ndiyo wameifanya kazi ya kuwaweka mjini... US na nchi nyingi wameirasimisha na ni halali na watu wanalipa kodi kisheria... so nikaleta uzi kujitolea mfano mimi na wengine wengi ambao wanafanikiwa/wamefanikiwa kupitia fx
 
ili nieleze kwamba mafanikio kwenye chochote yapo, na mara nyingi wenye mioyo migumu kama mimi ndiyo hupata. miaka 5 no mentor no youtube najifunza mwenyewe we huogopi?
Mkuu kwahiyo miaka 5 uliyojifunza mafanikio yako ni yapi.
 
swali zuri. humu ndani kumekuwa na nyuzi nyingi sana za watu wakiseam fx trading ni utapeli, hakuna aliyetengeneza pesa, na blah blah nyingi... nimekaa kimya muda wote huo... ila nikaona hali inazidi kuwa tete, ikabidi nije na uzi huu kukanusha kwa fact kwamba si kweli. kuna watu wanaishi kwa fx na ndiyo wameifanya kazi ya kuwaweka mjini... US na nchi nyingi wameirasimisha na ni halali na watu wanalipa kodi kisheria... so nikaleta uzi kujitolea mfano mimi na wengine wengi ambao wanafanikiwa/wamefanikiwa kupitia fx
Hakuna uthibitisho wowote uliouweka kuonesha mafanikio yako katika fx, Kwahyo uwezi kuja kifua mbele kusema fx inalipa.
 
Back
Top Bottom