Kusena
JF-Expert Member
- Aug 25, 2020
- 287
- 179
Kumpata ni kipengele wengi ni matapeliFind a good mentor ambaye yupo legit to shorten the path
Kumpata ni kipengele wengi ni matapeliFind a good mentor ambaye yupo legit to shorten the path
ilo ni tatizo makanjanja ni wengi kinouma na wengine wana majina makubwaKumpata ni kipengele wengi ni matapeli
Asante sana kwa post hii ya kweli na ya moyo. Umesema mambo ambayo wengi wanajua lakini wachache wanakuwa tayari kusema wazi.Habari kila mwanachama humu... mimi niko salama kabisa na naendelea na majukumu yangu ya kujenga taifa kama ilivyo ada.
Humu jukwaani, na si humu tu, bali hata mitaani kwa kweli mapokezi ya fursa hii ya teknolojia ya kidigitali ya forex yamekuwa hafifu na yakupigwa sana vita. sababu ni nyingi na kila mmoja ana sababu zake. binafsi kwa upande wangu nina historia yangu kuhusu forex.
Maswali ni mengi sana. mara oog hakuna anayefanikiwa au aliyetoboa kupitia forex, mara ooh forex ni utapeli tu, mara ooh hakuna pesa rahisi(ni kweli na ndiyo maana akili ni lazima iumie kwelikweli) na maneno kadha wa kadha.
Stori yangu.
nimekaa kimya kwa muda mrefu mno... leo naona ni wakati sahihi wa kueleza kile nijuacho kuhusiana na forex trading.
1. Forex trading ni biashara kama zilivyo zingine. ni halali kisheria kwenye mataifa makubwa kama USA na UK na inahusisha kulipa kodi kisheria. kuna sheria zinasimamia hii ili kudhibiti cheating. tofauti kubwa ni kwamba forex trading inafanyika online(hapa ndipo watu wanatania na kuita pesa za kudownload)
2. Kama ilivyo kawaida, kila biashara ina hasara na faida. pia forex ina hasara pia, na si vema kuifanya kwa mihemko, ni lazima risk iwe managed.
3. Kwa nchi zetu, ni biashara inayokua kwa kasi ingawa kwa tz bado hearsay ni nyingi na scandal za utapeli ni nyingi.
4. Ni rahisi kutengeneza pesa forex ila ni ngumu pia. kama ilivyo kwenye biashara nyingine yoyote. uzoefu na umakini pamoja na kukubali hasara. hata wanaowekeza kwenye hisa na hatifungani nadhani wanatambua hii concept.
5. Elimu, elimu, elimu. hapa namaanisha elimu sahihi isiyoghoshiwa.
experience yangu:
1. Nilijifundisha forex kwa miaka zaidi ya 5 ndipo nikaanza rasmi trading. baada ya miaka 2 ndipo nikaanza kuona faida na kumake baada ya kupoteza na kuchoma mtaji zaidi ya mara 20(mara nyingi sana). nakumbuka scenario moja ya kupata $420 kwa mtaji wa $200(market volatility ilikuwa juu mno).
2. Kipindi ha miaka mitano ya kujifunsisha, ndipo nili develop my own strategy.
3. Sikutaka na sikuwahi kuwa na mentor, kila kitu nilifanya mwenyewe... ni kusoma pdf's na ku practise.
youtube videos and classes sikuvitaka hata kuvisikia, nilijifundisha mwenyewe kila kitu,
4. Nili trade mwenyewe, sikuwa hi kumpa mtu hela yangu atrade badala yangu. hii iliniepusha na matapeli wengi mno na vilio ambayvyo havikuwa na ulazima.
5. Mwisho... siongei yote... lazima ieleweke kuwa mafanikio kwenye kitu chochote huenda kwa watu wachache na si wengi...
nb
Mimi siyo mentor na sufundishi mtu, nimetoa experience yangu tu.
ahsanteni sana.
Lugha inaweza ikawa tatizo kwa mtu ambae haelewi lugha otherwise nakataa kusema lugha ni issue kingine in every career to have a mentor is the easiest way ya kufupisha safari ako coz anakupa experience ambayo uwezi ipata kwa vitabu vya bure so ni mawili usome mwenyewe ikuchukue miaka mingi na pesa nyingi kupotea au utafute reputable mentor umlipe akupe uzoefuAsante sana kwa post hii ya kweli na ya moyo. Umesema mambo ambayo wengi wanajua lakini wachache wanakuwa tayari kusema wazi.
Ile point yako ya elimu, elimu, elimu ndiyo inanigusa zaidi. Ukweli ni kwamba tatizo kubwa la forex Tanzania si kwamba biashara hii haifanyi kazi, tatizo ni kwamba habari sahihi hazifiki kwa lugha inayoeleweka. Kila kitu kiko kwa Kiingereza, PDFs ngumu, YouTube za kizungu, na watu wengi wanakimbia haraka kwa sababu msingi haupo. Unakuwa unajifunza na kutrade kwa wakati mmoja, ndiyo maana unachoma mtaji mara 20 kama unavyosema, sio kwa sababu ya upumbavu bali kwa sababu hakuna aliyewahi kukuelezea vizuri na kwa lugha yako.
Miaka 5 ya kujifunza kabla hujaanza rasmi ndiyo njia ya kweli. Wengi wanataka haraka, wanaweka pesa siku ya tatu ya kujifunza. Kisha wanasema forex ni utapeli.
Swali moja kwako kwa sababu una uzoefu zaidi, unafikiri njia bora kwa mwanzo wa kweli Tanzania ni ipi hasa? Kujifunza peke yako kama ulivyofanya wewe, au kuna rasilimali za Kiswahili zinazoweza kusaidia kupunguza muda huo wa miaka 5? Nimekuwa nikitafuta na kukutana na vitu kama bingwafx.com lakini bado sijaelewa kama elimu ya mtandaoni inaweza kufanya kazi vizuri kama kujifunza mwenyewe kwa vitendo. Unaonaje?
nitakujibuAsante sana kwa post hii ya kweli na ya moyo. Umesema mambo ambayo wengi wanajua lakini wachache wanakuwa tayari kusema wazi.
Ile point yako ya elimu, elimu, elimu ndiyo inanigusa zaidi. Ukweli ni kwamba tatizo kubwa la forex Tanzania si kwamba biashara hii haifanyi kazi, tatizo ni kwamba habari sahihi hazifiki kwa lugha inayoeleweka. Kila kitu kiko kwa Kiingereza, PDFs ngumu, YouTube za kizungu, na watu wengi wanakimbia haraka kwa sababu msingi haupo. Unakuwa unajifunza na kutrade kwa wakati mmoja, ndiyo maana unachoma mtaji mara 20 kama unavyosema, sio kwa sababu ya upumbavu bali kwa sababu hakuna aliyewahi kukuelezea vizuri na kwa lugha yako.
Miaka 5 ya kujifunza kabla hujaanza rasmi ndiyo njia ya kweli. Wengi wanataka haraka, wanaweka pesa siku ya tatu ya kujifunza. Kisha wanasema forex ni utapeli.
Swali moja kwako kwa sababu una uzoefu zaidi, unafikiri njia bora kwa mwanzo wa kweli Tanzania ni ipi hasa? Kujifunza peke yako kama ulivyofanya wewe, au kuna rasilimali za Kiswahili zinazoweza kusaidia kupunguza muda huo wa miaka 5? Nimekuwa nikitafuta na kukutana na vitu kama bingwafx.com lakini bado sijaelewa kama elimu ya mtandaoni inaweza kufanya kazi vizuri kama kujifunza mwenyewe kwa vitendo. Unaonaje?
tunasubiria jibu wenginitakujibu
Hii inanitia moyo wa kujifunza kwanzaMe toka 2018 mpk 2022 nasoma kutrade nimeanza 2022 hiyo hiyo kuona profits nimeanza 2024 untill now naingiza mshahara wa mtu alieajiriwa ndani ya setup mbili au tatu kwa week😋
NB:Sishauri mtu afanye forex