Nilitoa kafara miaka mitano kujifunza Forex

si maelezo tu, hata facts nimeleta. mimi kuto make haimaanishi hawapo professionals wanao make BIG profits. nb: haku na kabisa pesa rahisi.
mbna kazi yako ingekua rahisi pale ungepachika kaushahidi sasa apa maelezo mengi unategemea nn
 
ungejua tushaona zaidi ya maelezo, mbna watu wanapiga picha kabisa na ndinga na majumba ilihali wewe unatoa maelezo tu
naomba ujitahidi kuelewa. unataka fact au maelezo gani? maelezo yote nimetoa.
 
mbna kazi yako ingekua rahisi pale ungepachika kaushahidi sasa apa maelezo mengi unategemea nn
hujanielewa, nimesema hivi, tufanye mimi ni loser. ila haimaanishi hawapo watu wanaotambulika kisheria kabisa, ambao wanatengeneza pesa. umeelewa? au huo si uthibitisho?
 
amna anaetaka maelezo weka trading history, mbna kazi ndogo tu hio, kuscreenhsot ndo unaona kazi kubwa?
nimekuelewa. ila jiu kangu ni hili: sija plan ku share trading history yangu na yeyote kwa sasa na kwa muda wote wa hapo mbeleni.
 
hujanielewa, nimesema hivi, tufanye mimi ni loser. ila haimaanishi hawapo watu wanaotambulika kisheria kabisa, ambao wanatengeneza pesa. umeelewa? au huo si uthibitisho?
You cant make money from Forex, itsnot a business, FOREX itself isnt a market
 
nimekuelewa. ila jiu kangu ni hili: sija plan ku share trading history yangu na yeyote kwa sasa na kwa muda wote wa hapo mbeleni.
usiwe unapenda kujielezea sana, cha kwanza matajiri hua wanajitahidi sana kuficha ela izi zingine ni agenda zako binafsi na we sio wa kwanza
 
hahah kwanza ni wapi nimesema mimi ni tajiri? mimi si tajiri kabisa ni mdundulizaji.
 
nithibitishie kwa fact kwamba hakuna anaye make money kwenye forex TRADING?
kazi ndogo sana

1783176962523.png
 
kazi ndogo sana

View attachment 3622501
Yes, FX trading can make you rich in the long run, but it is highly improbable for the vast majority of retail traders. Institutional data and regulatory disclosures consistently show that 70% to 90% of retail forex traders lose money over time. Long-term wealth creation through forex requires strict risk management, substantial starting capital, and an edge that beats transaction costs.
 
hizo siasa mbna tushaziskia sana, si unaona mwenyewe hutak kuprove
 
mkuu, jitahidi kusoma kwa ufahamu. hizo 20% zilizobaki usidhani walio kwenye hizo basi ni malaika. no ni watu kama wewe, na hata wewe unaweza kuwa miongoni mwao.
 
mpaka imebidi nicheke 😂
cheka tu. ni wazi uliwahi kufanya fx trading ukakata tamaa na kuamua kunyoosha mikono juu, usiwa discourage vijana. acha watumie fursa. kukosea ndiko kujifunza.
 
Back
Top Bottom